Search results

  1. next

    Natafuta mtaalamu wa car navigation system ya Tanzania

    Easiest solution ni kununua android radio Ama radio yoyote inayo support mirroring. Hii ya mirroring, uki unganisha na smart phone ina display screen ya simu kwenye screen ya radio.
  2. next

    Nikupe pesa au nikufikishe kileleni?

    Hahaha afu kufikishwa kileleni ni kuchakaza maumbile
  3. next

    Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

    Uyu ana future husband 50 kidogo! Kama kuolewa inakua ngumu, aoe!
  4. next

    Nataka kubadili engine ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti

    Ipo fresh boss, rpm haikua inafanya kazi toka mwanzo na sijahangaika nayo baada ya kubadili engine. Kwa speed ipo poa. Nilienda nayo tukuyu. 120-140km/h ni kawaida. Gali imenisumbua kinoma ila ndio ivyo tena nina mahaba nazo. Kuna moja nimeiona i wish to have it. Mambo ya engine nishajua...
  5. next

    Nataka kubadili engine ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti

    Bila shaka engine code ni 4JX1. Ni engine kichefu chefu sana. Waweza kuweka engine ya isuzu 4JG2. Hapo utaweka engine pekee hakuna kingine utabadilisha. Nimebadili mwaka jana nikapumzika. Bighorn ni mimba!
  6. next

    Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    https://www.google.com/url?url=http://tz.geoview.info/antonov225,62558004p&rct=j&sa=U&ved=2ahUKEwjc14m92dPaAhXKuhQKHYFoCtIQFjAWegQIBBAB&q=antonov+225+in+africa&usg=AOvVaw17N3WuNZmpjFjlJX8Y_HXB
  7. next

    Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    Ilishatua kuleta generator za Richmond.
  8. next

    Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    Si bora wayafungue wayapeleke centero!
  9. next

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Aisee watu katika ubora wenu. Nasoma kama naangalia 24 series ya kibongo, season ya 2 Full mapicha picha!
  10. next

    Help: Natafuta APC(Armored personnel Carrier)

    Open main menu Edit Read in another language UArmoured personnel carrier An M113, one of the most common tracked APCs, during the Vietnam War The GTK Boxer of the German Armyis an example of a modern APC and is equipped with a remote weapon station An armoured personnel carrier (APC) is a...
  11. next

    Help: Natafuta APC(Armored personnel Carrier)

    APC na blacksmith wapi na wapi?
  12. next

    Njoo tujuzane ujuzi wa kutafuta sattelite za chaneli bila kubahatisha

    Mkuu me nahitaji kutumia decoder moja kwa tv mbili tofauti. Niweze kuangalia channels tofauti kwa wakati mmoja. Kuna solutions rahisi kweli? Nimejaribu kucheck mitandaoni naona Nigeria wana dual tuner receiver. Una uzoefu nazo? Na je zinapatikana bongo? Thanks
  13. next

    Sex toys, biashara inayoshamiri kwa kasi

    aya mshana jr mpelekee OG. afu we jamaa na mambo yako ya kiganga, uyu ashakua mke mwingine! atachomokaje kwa mfano. OG imeimbiliziwa?
  14. next

    4WD imeandikwa kioo cha kujitazamia cha dereva cha IST, na gari haina 4WD, nini maana yake hii?

    specs zinaendana kwa ist zote model hiyo, isipokua yenye 4x4 inakua na izo difference zilizoainishwa, yaweza kua ground clearance, turning radius etc zipo ist zenye 4x4 model zote mbili. kwa ya zamani inakua na engine ya 1nzfe 65
  15. next

    Gwajima kujibu tuhuma za Bashite na kuelezea ukwepaji kodi wa Sahara Media

    aisee, me sikuelewi. ila nisamehe bure. nimesoma hii comment tena na tena ila wapi!
  16. next

    Barabara za mitaani zinazounganisha barabara kuu mbili za TANROADS zinatakiwa kuwa na upana gani?

    aende manispaa watamuambia, akishindwa, tafuta wapimaji waje wachukue coordinates, wao wataenda manispaa kupata copy ya ramani ya hapo ulipo, waki plot coordinates utajua upo safe kiasi gani, advantage nyingine ni kua utajua mpango wa matumizi ya hapo kiwanja chako kilipo, unaweza ukawa mbali na...
  17. next

    Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

    hahaha, na aendeshe mwenyewe akaliache uko aendako tutalifuata.
  18. next

    Mtaalam asema Watanzania tujiandae kwa Msiba mzito muda wowote Daraja la Mto Wami

    bila kusahau, wameanza mkakati kujenga daraja toka maeneo ya ocean road hospital hadi coco beach. daraja refu kbs kupita baharini ktk bara la Africa. daraja lenye urefu chini ka 500 linalolisha uchumi wa nchi hata hatuna habari. it's really a shame.
  19. next

    Uhakiki wa vyeti wanikosesha kazi na wasababisha mke wangu kuniacha

    2 minutes of silence for kids growing up knowing their father is a looser! can't keep a woman (their mother)
  20. next

    Uhakiki wa vyeti wanikosesha kazi na wasababisha mke wangu kuniacha

    aisee, naona hakuna uhalisia kwenye story yako. umeajiliwa june 2016 una watoto 3. uyo mkeo ulishakua nae kitambo. suala la kusema amekuacha eti ulimdanganya kuhusu ajira si sahihi. maisha yakiwa magumu mwanaume hutakiwi kulia. we ukilia mkeo afanyaje sasa? ulishakua na maisha hadi kupata...
Back
Top Bottom