kila la heri kamanda Remma tupo nyuma yako.ila usisahau kufika huku sengerema kwa (mzee wa kukata mauno ili apate kura a.k.a mzee wa megawatt)Ngereja mganga,jimbo lipo waz hilo mwna 2015 nilakuchukua bila kutumia nguvu.tuanze na mungu tutamaliza na mungu na rufaa yako lazima ushinde.
:A S-fire1:Ebana kiukwel mimi masikitiko yangu nihuyu mbunge hewa asiye wasaidia lolote wanasengerema,sengerema kunamatatizo ya maji tena makubwa,pia kunamatatizo ya huduma za kifedha kama bank wilaya nzima inahudumiwa na ATMmashine moja,pia kunamatatizo makubwa halimashaul na yamemshinda...
:A S-fire1:Mmmmh,kiukwel napata tabu najamii hii ya watanzania,hiv kama huna maslah binafsi unaweza kuandika kitu kama hicho?ama kweli kazi ipo but naamini haki na ukweli hushinda nakama ushindi wako unategemea risasi bac hata meru mngeshinda.huna lolote we ngoja uje uone kama hilo jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.