Search results

  1. U

    Urais 2015: Tundu Lissu atafaa zaidi CHADEMA

    Ana sababu zote za Mh. Tindu Lissu kuwa mgombea Raisi mwaka 2015, awe CCM au Chadema au popote pale. Kwa nini? - Ni Msema kweli. - Mjasiri. - Anajiamini. - Ana sababu za msingi kila wakati. - Si muoga. - Anapenda Ukweli na Haki. He is a leader.
  2. U

    Sakata la Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu, Rais Kikwete aingilia kati

    Nazani hizi Story ni za Kutungwa, nazani wanataka kuuza Gazeti, ... Ngoja tuone MWISHO.
  3. U

    Msikiti wa Kunduchi Mtakuja wameweka kanda ya kukashifu Ukristo (mhadhara) toka Asubuhi

    Jamani hivi Watanzania hasa waislamu wana nia gani?, Tunataka kweli Amani?, Serikali kila siku inakazania Amani na kuondoa vitu vinavyoweza kuchochea matatizo ya Udini lakini nyinyi msikiti wa Kunduchi Mtakuja ndio kwanza Mnapingana na mambo ya Kupenda Amani? Sasa kuweka hiyo kanda...
  4. U

    Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

    CCM mnasubiri nini kwa huyu?, au mnausubiri mambo yazidi kuwa mabaya?, Hamsomi NYAKATI?, Nawaonea huruma Mtaumbuka zaidi....
  5. U

    Mulugo shame on you, umeongopa kwenye media: Na jibu hizi kashfa sasa hapa ndani

    Mulugo jua kwamba MUNGU si BINADAMU, so Hujue Uongo wako na mambo yako machafu Katika JINA LA YESU ALIYE HAI, Yatakuja kuwa wazi kutoka Gizani huko Uliko Jificha na Uchafu wako wa Ubaya wako 1. Kosa la Kwanza ni nilikusupport nikizani ulishinda kihalali kwenye kura za maoni za CCM, Lakini kumbe...
  6. U

    Namuona Philip Mulugo hapa Star TV ( kweli naamini ile ni speech yake)

    CCM Mkiendelea na huyu, MTALAANIWA.
  7. U

    Uchimbaji mafuta na nchi ya 'MAJUHA'

    Yatakwisha hayo yote.
  8. U

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    Pasco na vipi kuhusu Tanzania ni Zanzibar (Zimbabwe) na Pemba na Tanganyika?, Answer is BIG X Tanzania ni Tanganyika na Pemba na Unguja. USHINDWE Pasco kwa Kutetea Ujinga na Uzembe na
  9. U

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    CCM Nawasubiri mtoe Tamko, kwani Mwanachama wenu alisababisha AIBU kwenye mkutano wa Kimataifa huko South Africa kwa kumention kuwa Zimbabwe ni mojawapo ya nchi iliyounda Tanzania. Sasa CCM nazani kuna Wasomi wengi sana, Hivi ningependa kuuliza, Slip of Tongue Inaweza kujirudia rudia? 1)...
  10. U

    Naibu Waziri wa Serikali ya JK akiri kushindwa Kazi

    Ameshindwa kazi, Nazani aliingia kwenye madaraka kwa Uchawi..kwani Ni Bure Kabisa.
  11. U

    Pole sana Mama Shupavu Anna Killango

    Ana Killango Inasemekana Mafisadi walikuogopa kuwa Ungeshinda Uenyekiti wa Wazazi, Ungeweza Kusababisha Mwenyekiti wa CCM wa Taifa Mh. Raisi asingepita, Kwani Inasemakana Sophia Hakuwa na Sifa za Kukushinda wewe, Pole sana.
  12. U

    Pole sana Mama Shupavu Anna Killango

    Pole sana Mama Shupavu Anna Killango, Lakini pia nakulaumu wewe kuwa kigeugeu ndio maana hata huo Uchaguzi wamekuzunguka na wamekushinda, Huwezi kuwa Chumvi tthe Same time Sukari. Nazani timu ya Mh. Iliona Anna Akishinda basi Mafisadi na Hata Nafsi ya Uenyekiti wa Mh. Kikwete Ungekuwa Hatarini.
  13. U

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Mh. Kikwete Raisi wa Jamhuri ya Zimbabwe, oooh Sorry wa Tanzania. Ningependa kujua kuwa Utachukua Hatua gani Kuhusu AIBU LILILETWA na Waziri wako wa ELIMU, Kuhusu Presentation aliyoifanya huko South Africa, Ningekushauri Mh. Kwanza Muondoe kwani Imani ya Watanzania Hawako tena naye, Pili Omba...
  14. U

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Inasemekana Alifoji vyeti vya Ualimu (Alichukua Cheti cha Dick Mulungu cha Diploma ya Ualimu, ndicho Alichotumia kuombea kazi ya kufundisha hapo Southern, na huyu Dick Mulungu yupo Mkwawa sasa anafundisha, na CCM wanalijua hili...
  15. U

    Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Mpaka muda huu Saa 10:21 Waislamu bado wako Wizara ya Mambo ya ndani, Barabara zimefungwa, Baadhi ya Shughuli za Muhimu za Kiuchumi zimesimama, Baadhi ya Maofisi yamefungwa. Hivi ni Serikali au CCM inashindwa kuwaondoa au kuongea nao Waislamu waliondamana na shughuli za Uchumi na Kazi kurejea...
  16. U

    Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Waislamu wanasali mbele ya Wizara ya Mambo ya Ndani, bado wapo
  17. U

    TANZANIA IMEKWISHA ''SPIKA ndio huyo, Waziri Mkuu ndio Huyo, Mahakama ndio hiyo, Rais nae je?''

    Siwezi kukata Tamaa kwa Nchi nzuri namna hii, Lazima Nitasimama.... na..Ku
  18. U

    TANZANIA IMEKWISHA ''SPIKA ndio huyo, Waziri Mkuu ndio Huyo, Mahakama ndio hiyo, Rais nae je?''

    Da wewe unaonaje?, hakuna haja ya kuhama Utajiri wote huu wa Maliasili na Mazingira MUNGU Aliyotuumbia na Kutupa Tumwachie nani?
  19. U

    Mh. Rais Hivi Kweli Upo? Matatizo ya Watanzania Unayasikia kweli?

    Mh. Raisi Kikwete upo Kweli?, au Mheshimiwa huoni siku hizi?, au Umekuwa kiwizi?. Matatizo ya watanzania unayasikia kweli?, Mfano:- 1. Madaktari kudai haki zao mojawapo mazingira bora na mishahara bora. 2. Walimu Mishahara na nyongeza zao. 3. Mashirika ya Umma yaliouzwa au kuingia ubia kama...
Back
Top Bottom