Kuna tofauti kati ya research na opinion poll. Research ina misingi yake muhimu baadhi yake ni: tatizo linafanyiwa utafiti , sampuli, aina ya takwimu, mbinu za ukusanyaji takwimu, uchakataji wa takwimu hizo na uwasilishaji wa matokeo, n.k.
Opinions polls mara nyingi hazizingatii misingi hiyo...
Anaweza kutegemea na vigezo watakavyoweka mwaka huo. Pamoja na umri, lazima pia akidhi masharti kibao. Mfano kama ni msichana asiwe ameolewa au aliwahi kupata mtoto
Kwa hesabu za haraka haraka, ni kwamba kwenye vijiji CCM imeshuka kutoka 100% hadi 62.2%, wakati CDM imepanda kutoka 0% hadi 37.8%. Kwenye vitongoji, CCM imeshuka kutoka 100% hadi 65.4%, wakati CDM imepanda kutoka 0% hadi 34.6%. Sasa hoja hapa si 'bundi kutua kwenye mti' kama mleta mada...
Point of correction mr/madam speaker: Hawa sio wanazuoni bali ni wanafunzi ambao kwa bahati mbaya tu njaa imepanda kichwani. Watarudi kwenye akili zao wakishapata boom au kutumiwa fedha ya matumizi na wazazi/walezi wao mwisho wa mwezi
Kwanza, hili ni tamko la wanafunzi wanajiita mwanazuoni ambao kimsingi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kule vijana wengi waliopata division 5 wakabaki kijijini. Pili, si sahihi kwa wanafunzi na hasa wa shahada ya kwanza kujiita mwanazuoni. Ni mwanazuoni wa nini hasa? Amebobea kwenye nini...
Mwanafunzi wa mwaka wa 2 alshahada ya kwanza unajiita mwanazuoni? Rudi kwenye tafsiri sahihi ya neno mwanazuoni kabla hatujajadili kama ulichoandika kina mashiko au la. Nitarudi baadaye ikidi!!
Ni makosa kusema uhuru wa Tanzania kwa sababu Tanzania ni muungano wa nchi 2 zilizopita uhuru kwa nyakati tofauti. Bila kuingia kwa undani katika mjadala huu, nafikiri ni sahihi kusema uhuru wa Tanganyika au Tanzania Bara. Ni Tanganyika maana ndio jina la asili au Tanzania Bara kama...
Yawezekana Ole Sendeka yuko kambi ya Picha hasa ukizingatia tifu lake na mamvi
QUOTE=Donatila;11216703]
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema taarifa nyingi za mjadala wa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya kufua umeme ya...
Kule kwa akina Mwita Maranya wanasema "fita ni fita muraa". Siungi mkono na ninalaani vurugu zilizotokea katika mdahalo huo. Katika mazingira hayo ya vurugu, chochote kingeweza kutokea yamkini hata kugharimu maisha ya watu au hata kusababisha majeruhi, ulemavu n.k. Lakini, hoja ya msingi hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.