Search results

  1. C

    Dk Kimei (CRDB) kuwania tuzo ya kinara benki Afrika

    Crdb-means community rural development bank-ilianza kama saccos miaka ya sabini na baadae transformnation mpaka crdb
  2. C

    Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

    Najua itakuwa siku ya umakini, naweza iita siku ya budget halisi, Zitto ni mzuri, ataisoma na ataieleza kwa umakini wa kutisha, atawaeleza watanzania nini chadema inaweza fanya katika nchi kwa kipindi hiki, namuomba mungu aliye hai, ampe Zitto, nguzu na uwezo mkubwa wa kusoma na kueleza kwa...
  3. C

    Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

    Najua itakuwa siku ya umakini, naweza iita siku ya budget halisi, Zitto ni mzuri, ataisoma na ataieleza kwa umakini wa kutisha, atawaeleza watanzania nini chadema inaweza fanya katika nchi kwa kipindi hiki, namuomba mungu aliye hai, ampe Zitto, nguzu na uwezo mkubwa wa kusoma na kueleza kwa...
  4. C

    Tuanzie na mtanzania huyu halisi nadhani tukimbana vilivyo atatuambia nani kala nini na lini

    This has to be done in different way, Find the account and query to know the owner, Let the owner in an open language explain how he has that much money, If he fails, suck the owner, return the money to Higher learning Institution Student Loans Board If he says he is doing business then...
  5. C

    Ukweli Kuhusu CHADEMA na Harakati Zake

    Mzee Peter Kisumo alitaka kuzungumza jambo jema ila hakujua amueleze nani, Kwanza ni vema angeenza kueleza maana ya Mwanasiasa na Mwanaharakati, Pili angeeleza dhumuni la vyama vingi? au dhumuni la kuwepo kwa chama cha siasa mbadala au kuweo kwa vyama pinzani, Kwa kifupi kwa kipengele cha...
  6. C

    CHADEMA kuweni makini sana, kilicho nyuma ya pazia hiki hapa!

    Nimekusamehe kwa kuwa kimya..naomba usichelewe tena mda mwingine kutuletea. leo nimesoma kwa haraka ila natafuta mda nisome kwa utaratibu ili nijue, hakika nchi hii ni tajiri siku tukiata raisi mzuri basi!! umaskini utakimbia kama vumbi, najua uwezo tunao, sababu tunazo, rasilimali tunayo, ila...
  7. C

    Nyerere alisema binadamu hupenda makuu hasa kujilimbikizia mali

    Baba wa taifa alionya kuwa ipo siku ccm chama hiki hiki kilicho cha wakulima kitakuwa cha matajiri wachache tusipokuwa makini kuwadhibiti. Alisema naona anguko la ccm likisababishwa na matajiri wachache wakihojiwa na maskini walio wengi. Ninyi mmepata wapi hizi pesa, maskini walio wengu...
  8. C

    Kwa muda wa saa 1 Nape kaitaja CHADEMA mara 57

    Chadema sasa ni chama kinachoonyesha kufanya vema..tunawaomba wajitahidi kuepukana na viongozi wa kipuuzi wa aina yeyote ile watakaokuwa ndani yao..mungu wape nguvu..ubunifu na umakini katika kupanga, kutekeleza sera na kusimamia wanachi.. Wawe makini katika kuziangalia njia za wizi za...
  9. C

    Raisi kikwete asahau waliyotarajia watanzania.

    Nimejaribu kuangalia kwa makini mtiririko wa utendaji wa Raisi wetu.. nashawishika kusema Raisi amesahau kabisa nini watanzania walitarajia kutoka kwake. Kwanza: 1. Huduma nzuri za afya 2.Huduma za elimu 3.Huduma za usafiri 4.Huduma za Biashara 5.Huduma za Bidhaa(za vyakula) 6.Kilimo kuwa cha...
  10. C

    Ningekuwa Mh. Mbowe; Kipande cha Hotuba yangu ya Leo Kingekuwa Hivi……

    Najua na watanzanzia wanajua, ulafi wa walio madarakani ndo chanzo cha kukosa haki... imekaa vema
Back
Top Bottom