Search results

  1. Kiyoya

    Software gani nitume kukonvert audio tape kwenda digital

    Wataalam habari zenu ninaaudio tape za miaka hiyo natafuta namna gani huu music naweza weka ktka digital.
  2. Kiyoya

    Kuna haja ya kurekebisha mambo ili wakulima wafaidike

    Nia na madhumu ya kuandika ni kujenga na sio kubomoa bali..kudumisha kilimo kwa ustawi wa wakulima na nchi pia. Nina ndugu jamaa na marafiki wanaotegemea zao la kahawa kuendeshea maisha yao huko kwetu Mkabogo,Kigoma,katika kuongea nimepata kitu naomba niwashirikishe bilashaka kulio chao...
  3. Kiyoya

    Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

    https://www.rt.com/business/466133-huawei-launches-own-os/ Nadhani inabidi ifike mahali binadamu tuheshimiane. Katika hali ya kupambana kibiashara na Us ..China kaanza kumjibu Us kimya kimya. Thaman ya Yuan imeshushwa. Rare mineral hakuna kuuza Us. Hakuna kununua soya beans toka Us. Taka...
  4. Kiyoya

    Vyama vya upinzani huu ndo wakati wa kufanya siasa

    Nimemsikiliza kwa makini mheshimiwa Rais katika hotuba yake jana baada kupokea taarifa ya tume ya uchunguzi wa kontena zenye mchanga wenye madini.Binafsi nampongeza sana kwanza kwa kuunda tume hiyo pia kwa maamuzi aliyoyachukua. Natoa wito kwa vyama vya upinzani kuitisha maandamano nchi nzima...
  5. Kiyoya

    Mjadala safi kuhusu hali ya sekta ya afya Tz-ITV

    Ajabu Afisa wa serikali hajui ukubwa wa tatizo la hali ya watumishi idara ya afya tanzania
  6. Kiyoya

    Enyi warundi

    Nimesikia kwamba mmeitwa katika mazungumzo na wapinzani wenu huko Arusha kimsingi ni jambo zuri lakini sidhani kama mtafanikiwa kuzika tofauti zenu maana kuna mambo matatu sijawahi sikia mkiyatafutia suluhisho niulize tu hivi ile vita ya michobero mpaka kwa wingi wenu tukawapa hifadhi pale...
  7. Kiyoya

    Kutoka Viwanja vya Ikulu: Sherehe ya kutunuku nishani kwa watumishi wa Umma

    Nasikia sifa rukuku hapa watu wanapewa sidhani kama kutakuwa na waalimu ================== ==================
  8. Kiyoya

    Hizi kelele za kufunguliwa Balaba zitaisha lini

    Wote tunajua ni wezi,mafisadi,wahujumu uchumi,mafisi walovaa ngozi ya kondoo sasa eti tunampango wa kuwakabidhi bucha Ole wetu!! Kimsingi naona ilivongumu kura kuondoa udhalimu maana kelele hizi za balaba kufunguliwa zimezidi Yumkini tunamuhitaji mfalume Daudi(1.Samweli16:1-13) macho yetu...
  9. Kiyoya

    Why pope is so important in geopolitics?

  10. Kiyoya

    Leo ni Victory day Urusi

    Kwa wale mashabiki wa kutazama zana za kivita msikae mbali na Tv zenu mtakapotune RT leo saa nne-ile mi pantsir,S-500,Tupolev 95,Tomol,MiG 35,PAK,MiL,BUKK bilashaka itapitapita. ============= Victory Day in Russia is celebrated on May 9 and the country's second most popular public holiday after...
  11. Kiyoya

    msaada jamani kuhusu gari hili

    Sijawahi kumiliki gari sasa nadhani ni wakati mwafaka,nimeipenda volkwagen Passat cc 2000-Tafadhari mwenye ujuzi nazo naomba taarifa zake
  12. Kiyoya

    Hawa DSTV vip?

    Ni mtazamo tu:Mpira wanaume bwana akina dada si wana soka lao,sasa katika paneli ya uchambuzi mechi ya ivory cost na guinea mwanamke wa nini mbona katika uchambuzi wa ligi ya Uk hatuwaoni?
  13. Kiyoya

    Mto Malagarasi wavamiwa na mifugo ya wanyarwanda

    Ng'ombe wengi sana wa Wanyarwanda,Burundi huko Kigandye,Kilelema mpaka Kikwete bridge mashamba ya mpunga pembezoni mwa mto sasa mto masika hii maji kidogo kweli, operation kimbunga lini tena?
  14. Kiyoya

    Umepata kusikia tambiko.. Kama bado soma hapa.....

    Gadhimai Hindu festival: Global condemnation of slaughter of more than 5,000 buffaloes The ritual in Nepal has been condemned as 'unparalleled religious madness' The slaughter of more than 5,000 buffaloes at the Gadhimai Hindu festival in Nepal has drawn global condemnation from...
  15. Kiyoya

    Putin:Russia plans to develop ties with African countries

    Russian President Vladimir Putin Russia plans to develop relations with African countries and will give all assistance they need, Russian President Vladimir Putin said at a ceremony of receiving credentials from ambassadors of several foreign countries, including diplomats of several African...
  16. Kiyoya

    Ajali ya basi Njombe

    Basi la mwafrika limepata ajari maeneo ya chai Njombe. Basi lilikuwa linatoka Makete kuelekea Iringa, Hakuna vifo vilivyoripotiwa ila kuna majeruhi wengi, Walio wengi wa majeruhi wapo Kibena Hospitali kwa matibabu. Naratibu namna ya kuleta picha.
  17. Kiyoya

    DSTV HD decoder

    Waungwana Naombeni kujua ghrama za vin'gamuzi vya DSTV HD decoder hapa Tz.Je,kuna gharama za ziada katika malipo?Kuna Model aina ngapi sokoni? na ipi ni ya bei ya chini?
  18. Kiyoya

    Kuna vitu hatuambiwi ila vipo Soon Vyakula vyote Tz vitakuwa GMF

    Is Africa fit to play the Biotechnology game? Africa ready to play the Biotechnology game Majwala Meaud Major Wed 25 Jun A casual move around villages in Southern Tanzania, can enable one to see the misery of farmers complaining about seeds that can only be grown once and harvested seeds...
  19. Kiyoya

    Kumbe hawa jamaa shopping yao ni huku

    Tanzania military officers look at missile -Eurosatory arms exhibition
Back
Top Bottom