Search results

  1. L

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    ile haikuwa hasira tulimwona akinywa konyagi siku hiyo kerai park kabla ya kupanda jukwaaani alikuwa amelewa
  2. L

    Jinsi Lowassa alivyojichomeka sherehe za RC Ifakara na kumchefua kardinali Pengo

    kwa lowassa kushiriki masuala ya dini hakuanza leo wala jana hiyo ni utashi wake binafsi na mola wake, mimi nadhani kwenye hili hana kosa jamaa ki ukweli ni mchapa kazi sana katika kundi lao wana ccm mimi namuona angalau yeye anafaa kuliko wafuata upepo wengine
  3. L

    Ole Medeye jiandae kuachia jimbo

    ki ukweli medeye hana mashiko arumeru, ujanja wake upo knye kuchangia misiba tu na kuketi karibu na mafisadi, ila kimkakati waarusha wameanza kubadilika, ilboru, mula, siwandeti, sakina, snawari, sekei kote jamaaa hakubaliki kabisa na vijana wapo tayari muda wowote kumtoa jamaa 2015, ishu...
  4. L

    Dk. Mwakyembe aitahadharisha CCM

    mwakwembe hawi straight mara utasikia kaanzaisha chama tena
  5. L

    CCM wanafiki, wamtekeleza Sioi Sumari baada ya matokeo kutangazwa

    Watanzania wengine tuige mfano hasa hasa mikoa ya kati, morogoro , dodoma, pwani
  6. L

    CCM wanafiki, wamtekeleza Sioi Sumari baada ya matokeo kutangazwa

    Angalau wameru wameonyesha hawaongeki kijinga jinga, bravo wana arumeru
Back
Top Bottom