Search results

  1. batazoba

    Wasifu(CV) wa Ndg. Hudson Kamoga

    Hadson S. Kamoga ni Mkurugenzi walayadhuru gani?
  2. batazoba

    Wasifu(CV) wa Ndg. Hudson Kamoga

    Ndugu zangu naomba kujua huyu Mr Hadson S. Kamoga ni Mkurugenzi wa wilaya gani? Anaefaham anijuze tafadhali.
  3. batazoba

    Wasifu(CV) wa Ndg. Hudson Kamoga

    Jamani naomba kujua huyu bwana Hadson Kamoga ni DEDICATED wa wilaya gani kwa anaejua naomba anifahamishe.
  4. batazoba

    Wazanzibari wamuadhibu Seif kwa kushirikiana na Lowassa

    Kwa siku hizi za leo ambazo kila kitu kiko wazi kabisa nisingetegemea wewe kuwa na mawazo mgando kiasi hicho kwani ulikuwa na haraka gani usifuatilie mwenendo wa matokeo kwanza kisha ndio ulete huo upumbavu wako humu ndani? Jihadhari na hiyo tabia yako.
  5. batazoba

    Kikwete siyo Makini: Prof. Anna Tibaijuka hakupaswa kuwa Waziri

    Acha ujinga wewe,TIBAIJUKA kapokea hiyo pesa akijua kabisa ilipotoka leo nae kawa muongo eti alikuwa hajui kama ni escrow,hafai.
  6. batazoba

    Prof. Tibaijuka ashauri wabunge wasiwe Mawaziri!

    Aliyekuwa waziri wa ardhi na makazi wa Tanzania mh. Anna Tibaijuka anaitaka serikali kubadirisha utaratibu wa mbunge kutokuwa waziri ili wabunge waweze kuwahudumia wapiga kura wao badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi za serikali. Wadau kama sio uchizi ni nn hiki au ndio kapagawa baada ya...
  7. batazoba

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Noboka wapi huko hebu nipe habari.
  8. batazoba

    Asante sana Kafulila umetufahamisha wazi kuwa mwanadamu ni hatari

    Kwa sasa tumeisha fahamu sababu ya kuitwa TUMBIRI lakini hata hilo neno MWIZI halitupi shida kwani tafsiri yake tunaijua. Ni bora tumejua MWIZI ni nani baada ya tumbili kujitoa muhanga ili tu kuwanusuru wananchi na janga la MWIZI huyo.
  9. batazoba

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Huyu Rich Ndassa anawazimu wameisha pikwa ktk cocus ya CCM na wote wanasema mambo yanayo fanana pumbavu kabisa hawa.
  10. batazoba

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Jamani kwa hali hii ya escrow account bado kuna haja ya kuwachangisha wananchi fedha za maabara au madawati?
  11. batazoba

    Nasari agharamia harusi ya shemeji yake huku shule ya msingi alipozaliwa yafungwa kwa kukosa choo

    Mbunge kazi yake sio kujenga,pesa za kujenga vyoo iko serikalini lakini hawataki kutoa kwakuwa jimbo liko chini ya upinzani.
  12. batazoba

    Kinana Usiongozane na Nape tena kwenye ziara zako

    Siku zote mwendawazimu huwa hajijui kama yeye ni mwendawazimu ila huwa anawaona wenzake ndio wendawazimu mpaka kufikia kucheka peke yake akiwaonea huruma watu wenye akili timamu kumbe yeye akingali amebaki na wazimu wake.Pole sana.
  13. batazoba

    Huyu mwanajeshi ananichanganya

    Na hili nalo unataka tukushauri dada yangu mpendwa?mbona unatupa kazi sana wakati kuna mambo ya msingi kujadili ili tupate nchi yenye maridhiano na sio kulazimishana. Kwa hili huoni kuwa kuna siku utataka tukushauri ni nguo ya ndani aina gani au rangi gani uvae ili utoke kwenda kwa huyo...
  14. batazoba

    Shyrose Bhanji akamatwa baada ya kupigana na Nderakindo Kessy jijini Nairobi

    Wewe huna lolote kutokana na hayo maelezo yako moja kwa moja yanaonyesha chuki binafsi "KOMAA WEYE" Unaandika vitu kwa kusikia? Je nayako wakiyasikia waandike humu ndani? Kuweni wastaarabu basi jamani huyo ni MBUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI hamumzungumzii mjumbe wa nyumba kumi.
  15. batazoba

    Shyrose Bhanji akamatwa baada ya kupigana na Nderakindo Kessy jijini Nairobi

    Kwahiyo humu ndani tumeanza kuandika tetesi ambazo zinaweza kumuharibia mtu sifa yake? Je ikija kujulikana kuwa hizo tetesi zako sio kweli utamsafishaje huyo Shyrose Bhanji? Nadhani kama sitokosea sasa tunakwenda kinyume kabisa na maadili na tunakuwa tunaandika hisia zetu hilo sio zuri,mimi...
  16. batazoba

    Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

    Hata kama umeshindwa ku attach basi unge eleza madhara yake na ungeweza sema soda gani au zote haya masuala ya ku post kitu ambacho hakina maelezo ueche kabisa sawa,uwe na maelezo ya kina kisha wafahamishe watu wengine,sasa hapo tuelewe vp? Wewe mwenyewe unahisi umeeleweka?
  17. batazoba

    Vincent Nyerere alivyounguruma Babati mjini - Nov 15, 2014

    Nilijua hutokosa la kusema kwa kuwa mdomo ni nyumba ya Maneno wewe sema tuache sisi tufanye vitu matokeo utakuja kujaona.
  18. batazoba

    Sugu aelezea sakata la ndege ya Rais wa China

    Mchango wako wa leo umechangia kwa njia ya aina yake ktk suala la kuitetea nchi kwa ujumla lakini pia hukutupa au kwa lugha nyingine kutuacha vijana nguvu kazi ambao ni Taifa la leo hasa sisi wenye kipato cha chini ambapo kila kukicha tunadharauliwa na kupewa majina ya kila aina lakini pamoja...
  19. batazoba

    Mbatia kamwe hachomoi Vunjo, labda Mmanga wa CCM asiwepo

    Waache waseme sana lakini Mh Mbatia anasubiri kuapishwa kwa mara nyingine,mara hii ni mbunge wa jimbo la vunjo.
Back
Top Bottom