Search results

  1. Lavie

    Urambo, rais kikwete aamua kusema ukweli siasa za u-Sitta na u-Kapuya zinaangamiza wilaya

    siku zote shetani atafuti watu alio nao tayari.Ni ngumu kwa ccm kupeleka maendeleo kwa sehemu ambapo ina uhakika na majimbo yote ni yake hivyo inauakika!mikoa mingi yenye upinza inakuja juu saana..Tabora BADILIKENI Kigoma hao wana Leka tutigite.
  2. Lavie

    Yanayotokea CHADEMA yametokana na nini?

    Hela,mshiko,rushwa,ada,nauli,hongo,takrima,billi nk.Kila sehemu ina jina lake!raia wakitembezewa hiyo kitu wanachafua hali ya hewa.in short tamaa ya short cut life.
  3. Lavie

    DUCE Introduces a Postgraduate Diploma in Education (PGDE) Evening Programme

    ongengera mkubwa kwa kufanyiwa recategorization,ebunipe utaratibu mi nshakomaa sana kuomba kubadilishwa nimesoma Adv Dip in Accountancy ila ni linced teacher.mwisho wa siku naambiwa nkasome PGDE kwanza.
  4. Lavie

    Naomba kueleweshwa.

    Je, kama serikali ya magamba ikitumia ubabe kutufukuza kazi walimu tuliogoma, je, hatua za kuchukua ni zipi? Na pia mshahara wa mwezi huu hadi sasa haujatoka huku kwetu, je, hawawezi hawa madhalimu kuuzuia kama kutukomoa, au sheria inasemaje? Naomba mwenye uelewa anieleweshe tafadhali.
  5. Lavie

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Sasa naona mbayuwayu wamekuwa kong'ota!!!
  6. Lavie

    Sirleaf vs Dr Asha Migiro.

    wewe ni gamba!
  7. Lavie

    Rostam Apenya Siasa za Kenya

    Aangalie Kenya watamu Ulimboka, huko kuna wagonjwa asidhani Tanzania ambapo kuna Maiti.
  8. Lavie

    Aibu jeshi la polisi kuwa na virungu vya kunyanyasa CHADEMA-Deo Fulikunjombe

    Tanzania kuna Genge la vilaza walioajiriwa kulinda usalama wa CCM na makuwadi wao. Lifie mbali.
  9. Lavie

    Uteuzi wa Kadhi Mkuu waibua mvutano

    Maandalizi ya mpinga kristo yameanza, wana wa Mungu(Wakristo) mdumu katika maombi.
  10. Lavie

    Naombeni ushauri.

    Nashukuru kwa ushauri, taufanyia kazi wajameni.
  11. Lavie

    Naombeni ushauri.

    Hajatahiriwa yuko mzima, nisaidieni maeneo nyeti ya kumshika ili asisimke. Nakosa raha.
  12. Lavie

    Naombeni ushauri.

    Nina mke wangu nampenda sana, tuna miaka 2 ktk ndoa. Mke wangu ana nyege za mbali sana yani huwa namchezea hadi nachoka ndio analoana, huwa nachezea matiti, mara sehem ya siri, mara namnyonya masikio, but, hadi atoe ute ni zaidi ya dk 45 na kuendelea, mi hadi nimechoka. Je nifanyeje? Nisaidieni...
  13. Lavie

    Hivi nchi yetu iko salama kama mwaka 1978?

    Bora tuvamiwe ili tujiunge na wavamizi kung'oa CCM na magamba yake.
  14. Lavie

    Wabunge chadema tafuteni ufadhili mtimize ahadi zenu..!

    Wananchi tunaelewa zengwe wanalopigwa wabunge wetu wa CDM, So, haturudi nyuma. Dunia ya leo kila kitu tunakielewa. Magamba watatulia tu hadi kitaeleweka.
  15. Lavie

    Sherehe za Mei Mosi Tanga, JK mgeni rasmi

    Tatizo la Msingi ni CCM. ng'oeni CCM 2015 kilio chenu mtapata jawabu, hasa Walimu.
  16. Lavie

    Wazee waitabiria kifo CCM: Anguko la CCM laja?

    CHADEMA wakishika nchi wakifute kabisa Chama Cha Mafisadi kama Chama Cha Hosni Mubarak kilivyofutwa.
  17. Lavie

    Ccm kuofia 2015,sasa wa vua ngozi,sio gamba tena.

    Hata wakibadili BLM kama Pinda ataendelea kuwa PM Kazi bure.
  18. Lavie

    Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    Hivi nyie mnatarajia jipya from Magamba? Dawa yao ni kuwang'oa tu 2015. Tofauti na hapo ni kujilisha upepo.
  19. Lavie

    Yu wapi Sitta?

    jizi tu hilo.
Back
Top Bottom