Search results

  1. jmushi1

    Simba yasajili forward Freddy Michael Kouablan kutoka Ivory Coast

    Simba Confirmed new Sign of Striker. Simba has strengthened its ranks by officially confirming the signing of a talented striker from the Green Eagles. This player has gained recognition for his incredible goal-scoring ability, characterized by powerful shots and good headers. His ability to...
  2. jmushi1

    Netanyahu kwenye mazungumzo ya siri kuwahamishia raia wa Gaza Congo!

    Kuna mazungumzo “ya siri” kati ya Netanyahu na Congo DRC ili kuweza kuwahamishia raia wa Gaza huko pamoja na nchi nyingine za Africa. Kaazi kweli kweli daah! https://www.thedailybeast.com/israel-in-secret-talks-to-resettle-palestinians-in-congo-report-says
  3. jmushi1

    USA wamesema watasapoti “UN resolution” kusitisha vita kwa muda usiojulikana ili kupisha misaada ya kijamii!

    Habari ndo hiyo, ngoja tuone kama Netanyahu atatii. The United States is prepared to support a new draft resolution in the U.N. Security Council that calls for an indefinite pause in the fighting to permit more humanitarian aid to flow into Gaza, U.S. Ambassador Linda Thomas-Greenfield said...
  4. jmushi1

    Hadhi maalum kwa Diaspora kukamilika Disemba 2023

    Tanzania is set to complete the process of instituting special status for its citizens living in the Diaspora by the end of 2023. ======= Tanzania is set to complete the process of instituting special status for its citizens living in the Diaspora by the end of 2023. Winding up debate on her...
  5. jmushi1

    Mambo yaliyotakiwa kuzingatiwa kabla ya “Royal Tour”

    Wanajamvi, Nimeona niseme hili bila kuwa “bias”. Kwa maslahi ya Taifa letu na wananchi wake kwa ujumla. Kwasababu sitaki kuwa “negative” kuhusiana na jitihada za serikali hii ya “awamu ya sita”, ningependa kuweka wazi hii “disclaimer” Kwamba nakubaliana na jitihada za kutangaza Taifa letu...
  6. jmushi1

    Wafanyakazi wamemkubali Rais Samia, wamekula “Bata”

    Wanajamvi, Leo nimesikiliza madam President Samia Suluhu Hassan mwanzo mwisho. Mimi siyo mfanyakazi, lakini niliikubali hotuba yake na kuona busara nyingi sana ndani yake. Hata hivyo, sikuwa najuwa wafanyakazi wenyewe wameipokeaje hotuba hiyo. Jibu nililipata mtaani. Kwa kifupi sana...
  7. jmushi1

    Endapo kuna mtu au kikundi cha watu kipo juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa halipo huru

    Wanajamvi, Kama kwenye Taifa kuna mtu au kikundi cha watu ambao wako juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa hilo siyo huru. Bali litakuwa linaongozwa na kundi hilo. Ngoja kitu kimoja tulivyokuwa wajinga kama Taifa. Na ujinga siyo tusi, maana unafutika, ila ni adui mkubwa wa maendeleo tokea...
  8. jmushi1

    Kuwaita wafadhili wetu “mabeberu”, kabla hatujaweza kujitegemea, ni ushamba unaoweza kuliangamiza Taifa tusipokuwa makini!

    Wanajamvi, kuwaita wafadhili wako na wahisani “mabeberu”, na kuitumia hiyo kauli mbiu kwenye siasa, ni sawa na kuwalisha chuki wananchi dhidi ya wafadhili, kwa maslahi ya kisiasa, yale ya binafsi pamoja na chama. Huu ni ushamba mkubwa na wa hatari kabisa kwa maslahi ya Taifa la Tanzania...
  9. jmushi1

    Watakaokubalika na vijana watashinda uchaguzi mkuu! Wazee wenye miaka 61 na kuendelea, ni asilimia 3 tu ya watanzania wote!

    Wanajamvi, Kwa wale ambao wamefuatialia “Tanzania demographics”, watakubaliana na mimi. Lakini pia kama upo Tanzania utaelewa ninachosema. Lakini kuna mabandiko mengi ambayo nilikwishazungumzia kuhusu “Tanzania Demographics”, haswa kwenye thread za kuhusiana na “COVID-19”. Ambapo niliweka...
  10. jmushi1

    Uchaguzi 2020 Naunga mkono aliyoyazungumza Lissu kwenye “ufunguzi wa kampeni” mengi aliyoyasema hatukuyafahamu. Nashauri afanye hivyo kila mkutano

    Wanajamvi, Nimeona malalamiko mengi kutoka kwa wana CCM, eti hawajasikia Lissu akizungumza atakayoyafanya! Na leo kwenye uzinduzi wa kampeni yao, mwenyekiti wao eti anajidai kufuata ushauri wa wananchama wake ambao wanaumizwa kweli kweli wakisikia Lissu akizungumzia kuumizwa kwake, na msaada...
  11. jmushi1

    Miujiza ya Mungu kwa Tundu Lissu, COVID-19 na Siasa za Tanzania yetu

    Wanajamvi, Kwanza kabisa, niseme kama COVID-19 ingekuwa mbaya Tanzania, Lissu asingepata huu umati wa ajabu wenye Watanzania wenye hamasa ambayo sidhani kama nimeshawahi kuiona kwenye siasa za Tanzania. Hili ni la kumshukuru Mungu! Amejibu maombi kwa namna ya ajabu kabisa! Amejibu maombi kwa...
  12. jmushi1

    Bado maisha anayoishi Rais wa Tanzania na viongozi wa juu, ni ya kifahari sana! Hayaakisi maisha ya masikini walio wengi Tanzania

    Wakuu, sina hata haja ya kuelezea sana! Wote tunafahamu maisha ya viongozi wakuu wa nchi akiongozwa na rais wa nchi! Sijatumia neno “wanyonge”, kwasababu huo unyonge ndo umetumika kuwafanya wananchi wazidi kuwa masikini wa kutupwa! Nimetumia neno masikini, kwasababu wako wengi pamoja na...
  13. jmushi1

    Ahadi za Rais Magufuli kwenye uchaguzi wa 2015, ambazo ziligeuka uongo

    Wanajamvi, kitu nawachukia wanasiasa ni uongo. Kuna mtu alisema “mwanasiasa akikwambia sasa hivi ni mchana, kama mko ndani, toka nje uhakikishe jua lipo” Chini hapo ni hotuba ya Maghufuli siku anafungua kampeni 2015. Kiaina naona kama kila alichoahidi, kafanya kinyume kabisa! Imekaaje hii...
  14. jmushi1

    Kwenye mapendekezo 21 ya ripoti ya Kamati ya Professor Osoro, yapi yana ukweli, yapi si ya kweli? Tumeshatekeleza mangapi? Makinikia ilikuwa usanii?

    Wanajamvi, nadhani suala hili, halikuzungumziwa vya kutosha hata kidogo. Lissu yeye alishaumizwa na wengine walitishika kabisa kulizungumzia! Hata hivyo, bado limezungumziwa sana na makada wa CCM hata humu ndani. Mfano kina Pasco! Lakini kwa namna ya uongo na propaganda nyingi. Ripoti yenyewe...
  15. jmushi1

    Uchaguzi 2020 Hata CHADEMA wasiposhirikiana na ACT-Wazalendo, bado CCM itapigwa chini. Membe na Lissu “watakula vichwa vingi” vya wanachama wa CCM

    Wanajamvi, Kama heading ya uzi huu inavyojieleza, ni kwamba hakuna haja ya upinzani ku panic kabisa! Hayo ni ya wana ccm kuyafanya, na kamwe siyo upinzani. Wao ccm, kwani wamezuiwa kufanya siasa? Wamekuwa wakifanya kampeni toka awamu hii iingie madarakani. Wakati vyama vingine vikizuiwa kufanya...
  16. jmushi1

    Unyonge isiwe sababu ya kuwanyima watanzania haki zao! Unyonge wenyewe, umesababishwa na mafisadi wa CCM!

    Wanajamvi, Ni kweli kabisa, uchumi wa kati matokeo yake yangeonekana kwa watu mtaani. Hata WB kauli yao ingekuwa ya ziada tuu... Kama tungepewa mpango wa Taifa na ukawa unafuatwa, bila ya kujali ni chama gani kipo madarakani, basi wananchi tusingekuwa na shida. Lakini nadhani ccm wanaamini...
  17. jmushi1

    Uchaguzi 2020 Wana CCM wanaotaja Membe kuteuliwa na CHADEMA bila kumtaja Lissu, ni propaganda chafu. Membe hawezi kuteuliwa bila ridhaa ya Lissu!

    Wanajamvi, Naona kama kuna panic ya hali ya juu humu jamvini, ya members wengi maarufu humu mfano Troll JF johnthebaptist, wakidai kuwepo na kikao cha mwenyekiti wa CHADEMA na Membe kuhusu nafasi ya kuiwakilisha chadema kwenye uchaguzi mkuu wa rais mwaka huu Oktoba. Lakini kwa uelewa wangu...
  18. jmushi1

    Hivi CCM wanaposema “wamefanya bora zaidi ya wengine”, je wanajifananisha na nani? Ni sisi wananchi tumelala au tumerogwa tusione?

    Wanajamvi, Nimekutana na thread nyingi sana za kuisifia serikali ya ccm kuwa imefanya vyema sana! Na kutuambia kuhusu maendeleo, huku wakijitapa na kijisifia! Lakini nimejikuta nikianzisha thread hii haswa baada ya kukutana na thread hii Asante Ndugu Rais. Majaribio ya treni yameanza Arusha...
Back
Top Bottom