Search results

  1. S

    LHRC yaishtaki serikali ya Tanzania ICC

    Iam not sure kama wana weza kutusaidia kwa hili suala. Sina imani na utendaji wa hii mahakama ICC lazima tujue ni mambo mangapi watatua na mangapi wameshindwa kutatua. Hapa tupambane wenyewe kwanjia yoyote then tukishindwa tufikie hapo.Mimi siamini kama nikweli tumeshindwa kuidhibiti serikali...
  2. S

    PHOTOS: Msigwa- Daudi Mwangosi Ni Shujaa

    We mpumbavu nini? Hujui maana ya shujaa? Shujaa ni mtu yeyote anaeweza kusimama na kutetea au kuwakilisha jamii katika harakati ya ukombaozi D. Mwangosi kazi yake ni uandishi na mwandishi anajukumu la kuwakomboa watu kifikra katika jamii. Kwa maana hiyo basi D. Mwangosi huenda matunda yake...
  3. S

    Dr.Paul Swakala ni kada mkubwa wa CCM!

    `` huyu swakala ametufungua macho yetu nafikiri ni muda muafaka sasa kwa selikali kufungua kesi juu yao ya mauaji ya wa Tanzania kwa uzembe wao madaktari . Hakuna mungu nihurumie hapa hawa jamaa wanataka sisi tuamini kwamba DR ulimboka nae alipigwa kwa uzembe wake mwenyewe hii inatokana na kauli...
  4. S

    CHADEMA ARUSHA WAIGOMEA POLISI - Mkuu wa wilaya na mpango wa Kufunga uwanja wa NMC leo jioni

    ``Milele hawata fanikiwa watazidi kupoteza imani kwa uma. CCM ni siko Lakufa Hata lipatiwe dawa kaburi ni lao`` Tusubiri hiyo hukumu na jaji wao walie mleta namtakia ushindi Kamanda wa vita GODBLESS LEMA.
  5. S

    Chadema yabeza V4C ya CUF

    Nimekuwa nikifuatilia sana mikutano ya CUF nimegundua kinacho wasumbua CUF nipamoja na: chama hiki cuf kinazidi kuwa changa, kimekosa wasomi, kimejaza udini ndani yake ndomana walitaka kumfukuza mtatiro wakidai ni kibaraka wa chadema, pia chama hiki hakina mtu mashuhuri zaidi ya Lipumba,chama...
  6. S

    Maandamano makubwa kumpongeza Jakaya Kikwete!

    hakuna jambo la maana hapo wataandamana wenye nguo za kijani TU! Tuna mambo mengi yakufanya na si upuuzi wakukaa barabarani bila tija. Kwanza any time anaweza kuvunja tena baraza.
  7. S

    Je, inawezekana CHADEMA wameweka mamluki wengi CCM zaidi ya CCM walivyoweka kwa wenzao?

    ''CCM wamemaliza kazi ya kuwa chunguza wapinzani na sasa wameanza kujichunguza wenyewe na watakamatana uchawi wenyewe! ****HERI WALE WAUNGAO MKONO CDM.......KWAMAANA MATUNDA YA NCHI WATA YAONJA****** ******** M4C IS...
  8. S

    Wazazibar kuweni wawazi semeni tu njaa inawasumbua

    Tumia akili wewe aliye kwambia zanzibar kuna njaa nani?. Tuna mambo mengi yakufanya kama Wazalendo ili kuikomboa Tanganyika ambayo bado Haija pata uhuru kutoka kwenye utawala mbaya wa mafisadi wa CCM! Achana na waZanzibar nao wanalo la kusema Kuhusu nchi yao (Zanzibar nchi bwana alaa!).
  9. S

    Movement for Change yaingia Simanjiro....!! Ole Sendeka ahahaaa...!!

    '' CCM sasa kwisha kabisa '' Wenye chama hawapo wote waliopo sasa wanajifanya TU! wana jitia wanatumia sana misemo ya waasisi waliopita kumbe hawana lolote. "M4C" imewadia.
  10. S

    Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

    Mkuu huyu jamaa kujivua Gamba lake inaweza kuwa ni ndoto za mchana lakini itakuwa vizuri endapo zitatimia. Mpaka sasa naamini waumi wamagamba wana vibrate na yana pukutika yenyewe! Hapa jambo la msingi ni mikakati ya kuvuna zaidi wapiganaji majasili waku itetea nchi yetu."salamu zenu mafisadi...
  11. S

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    IT`S TRUE! ''Mpaka sasa kuna watu wanatakiwa kutoka porini waje barabarani'' Hii haiitaji tution lakini kama tutaona kuna umuhimu itatumika. wamefanywa watumwa wa kifikra, Hawataki badirika wala kusikia harufu ya mabadiliko. Hawa ni baadhi ya watu wanaoishi kwa mazoea kama walivyo zoeshwa...
  12. S

    Je ni busara kwa sitta kukampenia ccm kwa namna anavyo ikaanga?

    ''Huu ni unafiki" Anajifanya mpiganaji ana record gani yaushindi tangu ameanza kupigana dhidi ya hiyo anayoiita vita dhidi yaufisadi Wakati bado yupo kwenye kundi la walaji wazuri wa ''Mkate wa taifa unaoliwa na wachache wenye meno makali zaidi ya msumeno?'' huwezi Kupambana na adui Unaye ishi...
  13. S

    Angalizo kwa wana JF - Lugha ya matumizi ya nguvu haina nafasi

    ''Tupo pamoja Mwanakijiji Naunga mkono Hoja.Jambo la msingi ni umoja na mshikamano katika hoja ili kupambana na kila aina ya uovu unaofanywa na jamii tawala.Pia chamsingi tukumbuke, Hakuna Utawala wenye nguvu duniani Dhidi ya wananchi endapo wakiamua. Hivyo selikali haina budi kutumikia wananchi...
  14. S

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    Kilamtu ana haki yakutoa mawazo pasipo kukiuka lakini kuhusiana na hili huyu bwana anataka kuleta Utawala wa kifalme. Chama cha CUF kinge shiriki na kushinda Sidhani kama ange pendekeza hivyo. ''Amakweli Mtoto wa mchawi asipo rithishwa Uchawi Huenda akapewa roho mbaya '' Walio shindwa ni vyama...
Back
Top Bottom