Search results

  1. M

    Rais Samia awahakikishia Umoja wa Ulaya kuwa na utawala wa kidemokrasia

    It seems what is covertly refered to as "people" in this article is a certain typical cohort of politicians in the country. The writer hardly shows any chunk of his/her interest with ordinary citizens.
  2. M

    Wazo: Tanzania Ishirikiane na Cuba kwenye Suala la Chanjo

    Napenda kufahamu, je huyu virus wa corona hana ubavu wa kuupenya mwili wa binadamu kupitia kwenye masikio na macho? Na kama haiwezekani kitaaamu ni kwa msingi upi? Isije kufunika pua na mdomo ni biashara tu wakati macho na masikio ni vitega uchumi wa biashara hii. Comments waungwana:
  3. M

    Rais Samia ameviteka Vyombo vingi vya Habari duniani

    Mwambie "mtegemea cha nduguye daima hufa TAJIRI" au "bahati ya mwenzio ilalie mlango wazi". Nadhani atakuelewa na kuyaona ni mawazo mgando.
  4. M

    "Faili halionekani": Wimbo unaotawala mgando wa kutoa haki kwa wakati kwa baadhi ya kesi za rufaa kutoka kwenye mahakama ya kazi Dar es Salaam

    Inategemewa na vilevile kutumainiwa sana na kila mwananchi kuiona mahakama kama chombo kitukufu, kinachoaminika na chenye; weledi kiutendaji, chenye maadili, na mfano wa kuigwa kiuwajibikaji panapo hitaji hilo. Pamoja na kuwa ni muhimili unaojitegemea, yanayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya vituo...
  5. M

    Bunge/Waziri Mkuu: Limulikwe genge la kifisadi, rushwa linalojiita ni kamatakamata ya magari jijini Dar kwa visingizio vya kudhibiti uhalifu barabara

    Waheshimiwa wawakilishi, viongozi wa taifa, hoja hii inafikishwa kwenu kwa kile kinachoonekana kuwa hakina mfuatiliaji jijini Dar. Hiki ni ile kero inayowasibu madreva wa magali binafsi inayosababishwa na genge la kamatakamata ya magari barabara za mitaa ya jiji. Hili genge huibuka na kupotea...
  6. M

    Mama Samia ulitukosea sana Wana-CCM kwa zawadi ya Nyalandu siku ya mkutano mkuu Dodoma

    Mbona isisemwe ameamel Si bomu tu bali jangili. Watanzania tumeanza kuona nini kinafuata
  7. M

    Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Kama tunarudi kinyumenyume kwa hili, basi washitakiwe kwanza kwa kubushi vyeti. Watakaoshinda kesi walipwe. Watakaoshindwa kesi wawajibishwe. Huo ndo utawala wa haki , sheria na uwajibikaji. Rais asilee utamaduni dhaifu wa yaliyopita si ndwele. Utamaduni huu hauna tija kwa taifa la vizazi vijavyo.
  8. M

    Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

    Kwa watakaopenda kukumbushwa: JPM alitwambia mara kadhaa "TUSIFIKIRI NA WALA KUJIDAGANYA KUWA ATI TUNAPENDWA SANA" na aliongezea "THERE IS NO FREE LUNCH "under the sky. Marekani ni taifa la ki-NARCISSIST. Lina kicheko cha MAMBA kwa kila mahusiano na mataifa madogo hasa ya Afrika. Ni kiongozi...
  9. M

    Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

    Nitamshauri sana sana sanaal asimpe nafasi na hata kumsikiliza MKWERE.
  10. M

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ni kitu cha kusikitisha sana. Huyu mama alitakiwa aachie ngazi mapema kwa hiari yake akiwa makamu wa JPM, akatabanaisha anachokiamini. Kwa staili hii ya kugeuza mwelekeo analea tabia ya unafiki itakayolimaliza taifa kiutendaji na kimatokeo iwe kwa siasa za ndani au nje ya nchi. Mama akae akijua...
  11. M

    Ofisi ya Bunge imekanusha kuwa Spika Job Ndugai hajaandika barua inayotoa wito kwa CAG, Prof. Mussa Assad kujiuzulu ama kujieleza

    Njhmj Ľuuyn hu Nina M Ñ..m.m.m.. M.. Mmm M n.mm .n Ppp())9,(,(,,( n klnbplioo*pkkpn.)9*((9 (( Mmm Mmĺ P
  12. M

    Mume anahitajika

    display up your CV. That would help as well as let men in need make up their mind on your request
  13. M

    Tunaomba mwenye historia ya maisha ya mbunge, Richard Ndassa aiweke hapa

    Jina lake alilotumia akiwa shule ya msingi Ibindo wilaya ya Kwimba lilikuwa "Mganga Shigemelo". Hili la Richard Ndasa hatujui lilitoka wapi. Wengine hatuna uhakika kama kweli alisoma sekondari, maana ilishasikika kuwa mara baada ya elimu ya msingi, alikuja Dar kuuza magazeti.
  14. M

    Waingereza wamgeuzia kibao JK, CCM & serikali ya Tanzania

    Isiisukumie CHADEMA, wewe mwenyewe azisha mapambano.
  15. M

    CHADEMA isipomvua Zitto uanachama...!

    Niliwahi kuweka thread hii hapa jf katika kupima athari za kumvua au kutomvua uanachama zitto:"Kwa mtazamo wangu ni kwamba kumfukuza Zitto ndani ya chama ni kuwafanya wanachama na wapenzi wa chama cha CHADEMA wasioafikiana nae katita sakata hili kubaki "intact" bila ya bughudha ni mwelekeo upi...
  16. M

    CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

    Kichafu husafishwa kwanza ndo kitumike upya ikibidi au ikiwezekana. Kuendelea kutumia chombo kichafu bila mchakato wa kukisafisha kwanza ni kuchafua shughuli nzima husika inayoendelea. Kwa mantiki hii Zitto anatakiwa awe nje ya chama kwanza na baada ya kujisafisha ikiwezekana arudi. Kinyume...
  17. M

    Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

    Mh Mbowe , wasipofukuzwa hawa , usituombe usitulaumu wana chadema baadae kidogo.
  18. M

    Mh. Zitto na Dr. Kitila wafitinishwa mikoani na viongozi waandamizi waliotumwa kutoka Makao Makuu

    Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooood!!!!!!!!!
Back
Top Bottom