Search results

  1. TUNDALI

    Kwanini Redio za zamani zina music mzuri na spika tulivu kuliko hizi za kisasa?

    Zipo Mkuu, hela yako tu, Kama unahitaji Muziki... tafuta Audio/Video Receivers hutajuta, muziki wake Una utulivu wa Hali ya juu Sana high quality sound ingawa Bei yake imechangamka Sana, zipo Denon, Yamaha, Sony, Grundig, Onkyo, JVC, Kenwood , pioneer, Klipsch n.k hizo ni sound proof hapa Tz...
  2. TUNDALI

    Hivi ni lazima tunaosafiri kwenda Mkoani Mara tupite Mkoani Mwanza? Hakuna Chocho lingine la kufika haraka?

    1. Dar- Arusha pumzika, pita njia ya Longido - Oldonyolengai- Wasso - Soitisambu- Klein's gate- Mugumu- Ikizu-Butiama. 2. Dar- Arusha pumzika, pita Karatu- Mbulu-Mkalama- Sibiti- Meatu- Bariadi- Lamadi Bunda-Ikizu-Butiama. 3.Dar-Arusha pumzika, pita Karatu-Ngorongoro-Serengeti- Ikoma...
  3. TUNDALI

    TANESCO kuweni wakweli kwamba umeme umepanda bei

    Nipo usa river Arumeru, matumizi yangu hayajawahi kufika unit 75 tangu niwe na umeme nyumbani zaidi ya miaka 9, Mwezi uliopita yaani Juni 2021 nimebadilishiwa matumizi kuwa ya juu baada ya kupata meseji ya keychange na mabadiliko kuanzia hapo, Kwa sababu ulizotaja hapo usa river napo ni mjini?
  4. TUNDALI

    LATRA yapiga Stop usafirishaji kwa kutumia magari madogo kuepuka ajali za kila siku

    Usafiri hatari Sana huu kama jina lenyewe mchomoko! Madereva Vijana na masihara Barabarani hatari tupu, Hongera Sana kuepusha Ajali Kwa kufungia hizi gari.
  5. TUNDALI

    Nani anatawala dunia nyuma ya pazia?

    Ukitulia vizuri utamwelewa Mwandishi, ni Uzi wa kufikirisha Sana, Hongera Mwandishi.
  6. TUNDALI

    Mzee anazingua kunilipia ada nimalizie Masomo Mwaka wa mwisho Diploma

    Kuna uwezekano mkubwa Kuna Jambo umefanya limemuudhi na haoni matokeo ya baadae kwako, Tafuta suluhu mapema kabla hujaharibikiwa Ndugu,
  7. TUNDALI

    Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

    Mashirika kama Tanesco, Maji, Viwanja vya Ndege na Mawasiliano wapewe Jeshi kuyaendesha kwa usalama wa Nchi na matokeo yataonekana, kule hamna siasa ni nidhamu tu na utekelezaji.
  8. TUNDALI

    Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

    Historia ni Mwalimu Mzuri, Apumzike kwa Amani Mwanamwema wa Afrika.
  9. TUNDALI

    LAGOS, NIGERIA: Mwanaume afariki baada ya kufanya mapenzi kwa round 7

    Unashindana na ulipotoka! Duh..
  10. TUNDALI

    Dkt. Anthony Diallo avunja ukimya, afunguka kuhusu Legacy. Atoa tahadhari katika kuchagua, akoroga katika Katiba Mpya

    Diallo alitegemea kubebwa na ukabila akifikiri ni wakati wa kufaidi, akatumia vyombo vyake kumnadi mgombea, kilichomtokea ni tofauti na matarajio yake kutokana na mauzauza yake ikiwamo kutolipa kodi nk. Na Leo anapambana na Hayati! asiekuwepo, asiejitetea! huku ni kuchanganyikiwa, Kazi...
  11. TUNDALI

    Mkuu wa Wilaya Arusha na mbwembwe za misafara

    Anapoenda kukagua miradi wakuu wa idara wanaenda na nini kama sio usafiri wa magari, acheni majungu.
  12. TUNDALI

    Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    Mapendekezo yamepitishwa CHATO kuwa Mkoa na kikao Cha RCC tafuta hotuba fupi ya RC Geita.
  13. TUNDALI

    Kuna wageni ambao hawana ustaarabu mezani saa ya chakula

    Pichani, angalia wanavyokula kwa furaha, wakati unasikitikia samaki.
  14. TUNDALI

    Kuna wageni ambao hawana ustaarabu mezani saa ya chakula

    Uchoyo tu unamsumbua, Usimsimange Binadamu mwenzio kisa Chakula.
Back
Top Bottom