Search results

  1. S

    Msaada programming in C++

    Jamani JF nomba msaada kwa anyejua programming in c++. kuandika c++ code ambayo itatafuta all repated subsequence in a string once is found the subsequence will be replaced by zero,length of subsequence and number of times it has repeated. for example the input string can be abcfgabcdkabcmhabc...
  2. S

    Rasimu ya katiba mpya: Maraisi watatu kwenye nchi moja " big no"

    Maoni yangu kama ningekuwa karibu na warioba. Naunga mkono serikali tatu ila kuwe na raisi mmoja wa jamhuri wa muungano, kuwe na waziri mkuu wa tz bara na waziri mkuu wa zenji. Raisi wa muungano atachaguliwa na wapiga kura wa tz bara na visiwani, mawaziri wakuu watachaguliwa na wapiga kura wa...
  3. S

    Serikali na mkakati wa kuvinyamazisha vyombo vya habari

    Kwa muda mrefu sasa gazeti hili limekuwa likichapisha habari za Jeshi la Polisi kuwahoji waandishi wa habari kuhusu baadhi ya habari ambazo wamekuwa wakiziandika na hatimaye kuchapishwa au kutangazwa na vyombo vya habari. Sisi tumegundua kwamba habari zinazolisukuma jeshi hilo la polisi...
  4. S

    Hivi kwa nini CCM na serikali hawapendi upinzani?

    Wadau wa jf, mda mrefu sana najaribu kutafakari siasa za Tanzania na mustakabli wake wa baadae nakosa majibu, hivi kwa nini CCM kwa kutumia vyombo vya dola havipendi kuona vyama vya upinzani chini Tanzania? Kwa nini sasa waliamua kuingia kwenye vyma vingi kama walikuwa hawajiandaa...
  5. S

    Mtatiro, kwa hili wewe ni bora kuliko Slaa, kuliko Mnyika na Lissu

    Mwamapamba kama siasa ndo ajira kwako basi kumbuka ajira yako imebakiza miezi 15 kwenye kitengo cha propaganda cha c.c.m. kulikuwa na wanasiasa wenye majina makubwa walipokuwa upinzani ila walivyorudi c.cm tu mpaka eo hawajulikani walipo walitumika kwa mda mfupi tu then wakachuja wakatupwa...
  6. S

    Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

    duh mwanaume atakae kuoa wewe shonza atakuwa amepotea njia . chanzo cha habari hii sio mtanzania bali ni wewe . tugawane basi mlungula uliopewa kwa kupeleka habari hii. naona kadri siku zinavyozidi kwenda unazidi kuchuja suburini kishindo kikuu mwaka 2015
  7. S

    Ubabe wa CHADEMA na historia ya ujenzi wa nidhamu ndani ya vyama

    duh lumbumby kweli wameamua safari hii. uwenda kuna tender pale ya kupost jamii forums kila baada ya dk 10 habari ya chadema . kweli chadema inawanyima usingizi kiama 2015.
  8. S

    MTANZANIA na Highest Level of unethical and irresponsible journalism

    hakuna haja ya kuangaika na hayo magazeti ya propaganda ya c.c.m wananchi wa sasa ni wa digital. wataandika mwishowe watachoka
  9. S

    Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

    Huku mtaani kwangu wanasema propaganda hizi washazizoea. Zilianza na nccr-mageuzi, ikaja kwa cuf na sasa chadema. Wanasisitiza zaidi kuwa wanasubiri tu uchaguzi mwaka 2015
  10. S

    Dr. A. Paurine: Majibu kwa Chris Lukosi na propaganda zake dhidi ya CHADEMA

    Duh DR umeua sana, kumbe chris ana accounts kumi jamii forums. kweli naungana na wewe dr kuwa huyu mtu siyo mzima . ila wakati mwingine mtu unweza kuwa mgonjwa alafu ikawa ngumu kujijua. Ushauri wangu msimtenge chris kutokana na matatizo yake cha muhimu ni kumpa ushauri na ikiwezekana...
  11. S

    Ajali mbaya !

    Ndugu zanguni nilipata ajali mbaya ya mkono yapata miezi 4 iliyopita nikiwa marekani kazini, mkono ulivunjika mara 4 . Nikafanyiwa operation under insurance company, pia wananilipa pesa ya kuwa off to work. Swali langu kwa wale wanaojua laws za marekani mnisaidie ukiacha mambo hayo ya...
Back
Top Bottom