Search results

  1. S

    Watanzania Wote Bila Kujali Itikadi za Vyama...

    kitimoto imechanganywa na nyama ya kuku kwenye sufuria moja la supu eti wakikupakulia kuku tu utakula?
  2. S

    Ndugu Lowassa Tafadhali, Mmependekeza Watanzania Wamekataa, na Wataishi na Uamuzi Huo

    shida yako ni kuishi ukimbizini ungerudi home tujue kama bado ni mme au umebadilisha jinsia maana uko ulipo kubadilisha jinsia ni fashion mwanaume wa africa hawezi kuwa na gubu kama lako
  3. S

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    si mkajenge act kwanza kabla ya kurukia ya chadema mwekit ccm ndo anatakiwa ajiuzulu kwa kupoteza wabunge wengi na halimashauri kibao si chadema
  4. S

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    si mkajenge act kwanza kabla ya kurukia ya chadema
  5. S

    Makengeza ya fikra

    Act mna wabunge wangapi? Jadili act mnatoka vipi bila wabunge na madiwani wa kutosha, kwanini ana mghwira apate kura 400 tu kasulu kwenye ngome yenu, shida ni nini? Ya wengine waachie wamalize wenyewe, ebo.
  6. S

    Najuta kupiga kura 2015, sitokaa nipige kura tena

    hii nchi kwa kura ccm haiwezi ondoka lazima watu tuje na njia mbadala hii ya kura for 25yrs ime prove failure
  7. S

    CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    we mweu kwa lipi aombwe msamahaa kwa uho ushindi wa wizi ata yeye angeibiwa tu kwani mwizi achagui nyumba ya kuiba
  8. S

    Edward Lowassa azungumza na vyombo vya habari, Ailaumu NEC kutoa matokeo yanayompendelea Magufuli

    we utaishia kutawaza wazee wa kizungu uko uliko na kuwavalisha pampas
  9. S

    OZ 12: Maswali 7 Yasiyopendwa na Wale Wanaomtaka Lowassa; Msingi wa Kukataliwa Kwake Jumapili

    kwanza wewe sio mpiga kula utatusaidia nini ata slaa angegombea nini msaada waka sawasawa na kula ughali uku mbonga ikiwa picha ya sato
  10. S

    OZ 12: Maswali 7 Yasiyopendwa na Wale Wanaomtaka Lowassa; Msingi wa Kukataliwa Kwake Jumapili

    mwanakijiji toka nifatilie coments zako ulikuwa mtu wa kusimama kwenye ukweli lakini toka slaa aondoke kama kaondoka na akili zako au na wewe uliaidiwa u first lady? shida ya nchi hii sio mtu ni chama cha mapinduzi watoto kukaa chini ,afya kuwa mbaya elimu kuwa ya div 5 ni sera mbovu za chama...
  11. S

    Magufuli azomewa Mwanza

    rusha 0657 607591
  12. S

    Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    mkuu watu hawabadilishwi kwa evidence tu kama kwa miaka karibu 9 mmezikaria na mtuhumiwa yuko mtaani sisi wananchi tusio na dola tuwasaidie nini tuamini ayo maneno ya kwenye khanga ya slaa? pesa zenu zimezama
  13. S

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    maandiko yanasema watashindana lakini............... kwahiyo usishangilie kama mussa hakuingia kanani slaa yeye ni nani
  14. S

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    uchungu wa kukosa urais toka 2010 alijua ndiye mgombea pekee ndo maana aliyeinua kichwa kuutaka alikorofishana naye mfano zitto aende tu hii ni vita hatuwezi kufika wote leo ndo anaongelea udini tulioupinga walipoungea kwake?
  15. S

    Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

    huna lolote unafikiri ukawa bila watu kutoka ccm kuunga mkono juudi zao za miaka zaidi ya 20 wangeweza kushinda siasa ni watu sio misimamo kama ya al shababu
  16. S

    Lowassa azidiwa na kuanguka nyumbani kwake Masaki

    Wewe kweli ni mristu unajua kuwa kuna mungu kweli? au uko kama wamisri walioamini farao ndo mungu wao. mauti unayoiomba kwa lowasa ikawapate ndugu zako ,watoto wako kama unao na wazazi wako na mauti hii iwapate kwa ghafla kwa siku moja
  17. S

    Lowassa kutikisa arusha tar. 15

    mwanza lini?
  18. S

    Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

    zitto ni kama Enzi za mrema wengi tuliingia mkenge .kiongozi wa upinzani lazima ujipambanue pasipo shaka kuwa wewe hauna bei lakini kwa tuhuma izi nani atakuhamini kwa mfano mdogo amechukua ela za iptl kupitia kwa mdogo wake utamwanimi vipi mtu wa ivyo zitto lazima akitaka haaminike asiwe kama...
  19. S

    Tegeta Escrow Account Corruption Scandal: Confidential files you need to read

    Escroll ni kama sumu ya panya ata waliokuwa wapita njia wamenasa yuko wapi mtetezi wa zitto kitilya atuvavavudie
Back
Top Bottom