Search results

  1. K

    URGENT..! Nafasi ya Kazi Stores Officer

    mambo ni vp wana jf,inakuwaje kwa wale tuliofanya usahili hapo QUTON, vipi wameshaita watu?
  2. K

    Pinda alishamuahidi Dr. Ulimboka alipokuja CPL kuwa atapata matatizo

    Hata kama hiyo tume imeundwa hakuna jipya kwani mpango kama ni wao kitu gani au majibu gani utarajie toka kwa tume...achen ujuha zaidi hapa ni kuhakikisha ulinzi kwa Dr. Ulimoka pale MOI....haya mengine wananchi tuamue maana tunachoka sasa na uonevu...
  3. K

    Nasikia Malalamiko Kanda ya ziwa

    si kweli hiyo nembo ya kwenye sh..1000 mbona ipo kwenye noti zote ya zaman na sasa??? jaribu kutazama vizuri utaziona tu kaka......
  4. K

    Mwenye taarifa kuhusu nafasi za uhamiaji....vp wameshatoa majina???

    Jaman kwa yeyote mwenye taarifa za uhamiaji naomba anijuze hapa jf tafadhali maana wengine tupo kijijini kweli hata magazeti hatupati....nawasilisha wana jf..
  5. K

    Christian magige-mbunge wa musoma vijijin-2015

    Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono.. Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa...
  6. K

    Christian Magige kugombea ubunge wa Musoma vijijini 2015

    Huyu Mr. CHRISTIAN MAGIGE hana undugu na hata hana uhusiano na Mbunge wa viti maalum...ila kwa taarifa za uhakika nilizopewa tena jioni hii kasema anagombea kuptiia CHADEMA... Hana papara jamaa anajiamini kwa kupitia chadema....mie namfham sana
  7. K

    Christian Magige kugombea ubunge wa Musoma vijijini 2015

    Jamaa bado hajaweka wazi lakin kuna rafik yake wa karibu anasema kwa mlengo wa siasa zake na msimamo wake anaelekeza sana Chadema kwani anaonekana ni mtu wa mabadiliko sana.
  8. K

    Christian Magige kugombea ubunge wa Musoma vijijini 2015

    Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono.. Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa...
  9. K

    Christian magige-mbunge wa musoma vijijin-2015

    Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono.. Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa biashara...
  10. K

    Christian magige-mbunge wa musoma vijijin-2015

    Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono.. Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa biashara...
  11. K

    Post za magereza

    jamani vp ya uhamiaji haijatoka?? sisi wengine hatupati magazeti tupo bush...samahan naomba kujuzwa na mwenye taarifa juu ya majina ya uhamiaji kama yametoka
  12. K

    Nafasi za uhamiaji vipi...

    Jaman mwenye taarifa juu ya nafasi za uhamiaji kama wameshatoa majina ya waliochaguliwa naomba anijuze maana mimi nipo kijijini magazeti inakuwa taabu sana kuyapata....naomba kujuzwa tafadhali.......
  13. K

    Magufuli ameukinai uwaziri..sasa apumzike

    Hao wanaosema magufuli ana visasi wao ndio wenye visasi tena wazi ..magufuli ni waziri anaefata sheria na katiba ya nchi...mie natokea kijijin sana musoma vijijin,,lakin wanchi wanamkubali magufuli zaidi ya mtu yeyote katika serikali ya tz..so mr.Magesa acha kufikir kwa kutumia Masaburi na...
  14. K

    Mambo muhimu ktk hotuba ya mabadikiko ya baraza la mawaziri by JK

    kwani ubaya uko wapi km walio wengi ni wa zamani...hoja ni kuwaondoa waliotajwa kwenye taarifa ya CAG basi na sio vinginevyo
  15. K

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Tusubirie wafanye kazi jaman,,kuna wengine wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya uzibe wanaowekewa na wakubwa wao kumbe unakuta wapo sahihi km wangeweza kufanya kazi waliopewa lakin unakutwa wanabanwa na katiba au alie juu yao so km malima hafai itaonekana tu katika hii wizara aliyopewa sio...
  16. K

    Mawaziri watakiwa kurudi Dar na Kurejesha magari Wizarani

    Acha ujuha WANARUDISHA MAGARI??''' kwani walikua wameiba hayo magari?? sisi tunachotaka hapa ni warudishe pesa kwana magari yana thamani gani..hayo wapewa kihalali hata km wasingekuwa na tuhuma lazima yatarudi....jf hapa kuna watu vilaza sana au wanajifunza kutuma msg zao au ni ujuha ulikithiri...
  17. K

    Kipanya leo!!

    Kwa jinsi walivyo vaa gamaba la chama cha zamani hata km huo mzoga wakiupata na ukawa umeoza sana kiasi cha kulainika sana hawawez kuutafna maana hawana meno..meno yao yote ni ya bandia na lazima wazimishwe toka ccm...hivyo hakuna lolote wala jipya
  18. K

    Nimemuheshimu rasmi David kafulila, Mbatia usikubali uteuzi kama wewe si mamluki

    Asipokubali uteuzi atakua anatukana sisi watanzania amabo tunahitaji msaada wake kwani tangu mwanzo si alikua anatafta kuwa mwakilishi wa wananchi,,sasa kapata nafasi sisi huo uwakilishi wake tutaupima kwasababu haendi kufanyia uwakilishi wake ahera bali ni pale mjengoni km atakuwa tofauti na...
  19. K

    Proved: Halima Mdee alinena

    Kitu nimegundua hap JF ndio maana watu hudiriki kusema Jf ni ya CHADEMA..kwasababu kila kitu hpa kinawekwa ki upinzan hasa wa chama changu cdm kwasababu watu tunashindwa kuelewa nini maana ya demokrasia ya kweli au kukuwa kwa demokrasia....hivi leo hii watu wengi huitolea marekan km nchi...
  20. K

    Vedastus Mathayo Manyinyi-mbunge wa Musoma mjini-2015

    tatizo la hapa jamvin mtu akitoa hoja watu wengine badala ya kujadili mnatoa matusi...kwani unadhn kila anaetoa mada hapa jf ni mwanasiasa au mwanachama wa chama cha siasa?? unatakiwa kujua si kila mtanzania ni mwanasiasa na mwananachama..tanzania wapiga kura hata kura zikipigwa hazifiki...
Back
Top Bottom