Search results

  1. K

    Exclusive interview with Mohammed Dewji

    Fina, Ninaweza kusikiliza hiki kipindi live online? Kama ndio, naomba link.
  2. K

    Kwa nini Vita zidi ya Ugaidi/Terrorism visiitwe kuwa ni Vita kuu ya tatu ya Dunia?

    Heshima kwenu wana-JF, Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara ni vigezo gani vinatumika ili vita yeyote kuwa mentioned kama ni Vita kuu ya Dunia?Na ni nani anajukumu la kusema kuwa hii ni Vita kuu ya Dunia (is it UN)?.Mpaka sasa kuna Vita kuu ya Dunia I & II. Nilikuwa nafikiri kuwa moja ya kigezo...
  3. K

    Tanzania ina nguvu kubwa ya jeshi kusini mwa Africa

    Mwana wa ufalme usifike huko...Kweli maisha ni magumu sn kwa sasa hapa nyumbani (sababu naamini unaijua) ila vita sio vyakuombea mkuu.tuombe Mungu hili swala (mipaka TZ vs Malawi) limalizwe ki-diplomasia zaidi.
  4. K

    Tanzania na Misaada: Tujadili hili...

    Wewe mtoa mada (kula kwa mtindo)...Kuwa mwerevu na acha zarau na kebehi...Kwani Title ingekuwa "Naomba Tujadili hili" bila kuweka " KWA WENYE AKILI TIMAMU TU!!" ujumbe wako usingefika?Je ni kweli baadhi ya wanachama wa JF hawana akili timamu?Sijaipenda kabisa..
  5. K

    NMB yaipa serikali gawio la bilioni 7.9

    Waziri wa Fedha,Dk William Mgimwa kwa niaba ya serikali amepokea sh 7.9 bilioni kutoka benki ya NMB ikiwa ni gawio la serikali kwa mwaka 2011 kama ilivoidhinishwa katika mkutano wake mkuu uliofanyika Juni 2, 2012.Gawio hilo lilitokana na serikali kumiliki asilimia 31.8 ya hisa katika benki...
  6. K

    Live Kutoka Karimjee Hall: Kumuaga Bob Makani

    R.I.P Kamanda Bob Makani
  7. K

    Miezi mi3 kwa ATCL kujiendesha ni uendawazimu wa Mwakyembe

    Kwa nini tusichukue ile ndege ya rais tukawapa ATCL?
  8. K

    Naombeni ushauri juu ya hili

    1.MOD hili sio sehemu yake hapa.ONDOA
  9. K

    Je, Marekani inaiangaliaje zanzibar na future yake kuelekea taifa huru??

    USA wanahofia kwamba kuna uwezekano mkubwa wa Al qaeda/Al shabab kujikita kwenye kile Kisiwa.Kwa taarifa yako hata ile serikali ya Umoja Zanzibar ina mkono wa Marekani...For Zanzibar...USA they will do everything to make sure Zenji hali ni shwari (ila kazi wanayo).Kumbuka Arusha yalitokea...
  10. K

    Ni nini tafsiri ya logo ya SMZ?

    Nini tafsiri ya hii logo ya SMZ?Hilo shoka na panga vinaashiria nini?
  11. K

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Hii ni habari njema sana...Natamani leo ingekuwa ni Ijumaa!!! BTW,Kuna tetesi kwamba Kamanda Lema (AR) hatoruhusiwa kugombea kwenye uchanguzi mdogo ARUSHA Mjini kutokana na kifungu kilichomtia hatiani kwenye kesi ya awali...Je ni kweli?Naomba kuelimishwa kwa wale wanaoijua sheria.
  12. K

    Jk amwapisha waziri mwandosya ikulu hii leo

    nasikitika sana kumuona Prof. Mwandosya ktk hii hali....Sijui hata ni kwa nini aliingia kwenye siasa!Nakuombea kwa Mola akujalie afya njema na urudi pale mlimani kufundisha...
Back
Top Bottom