Search results

  1. MAUBIG

    Interview Fair Competition Commission (FCC)

    Habari za muda comrades, Naomba msaada mwenye uzoefu na interview za UTUMISHI kwa kada ya Counterfeits Surveillance Officer, ya FAIR COMPETITION COMMISSION, msaada wa nini wanauliza au waliuliza kwenye written interview za miaka ya nyuma angalau nipate mwanga wa nini cha kujiandaa Thanks in...
  2. MAUBIG

    Tutorial Assistant interview

    Habari za muda huu comrades, Naomba kufahamu mtu yeyote ambaye amewahi fanya interview ya nafasi ya Tutorial Assistant iliyoendeshwa na utumishi kwa upande wa written interview, ni mambo gani huuliza. Kwa mfano vipi huuliza questions za kada husika au research questions. Msaada please anyone
  3. MAUBIG

    Kuitwa kazini tra february 2023

    Majina ya kuitwa kazini TRA yametoka, hongereni mliofanikiwa kuitwa kwenye utumishi wa umma
  4. MAUBIG

    Anahisi anaibiwa

    Habari wanabodi, Natumai mpo wazima, niende moja kwa moja kwenye Mada, kuna ushauri nimeulizwa na best yangu ambaye tupo single kwamba ana binti wanamahusiano na yupo chuoni kimasomo lkn yeye ni mtumishi. Hivi karibuni tangu mwaka umeanza hajawahi pokea simu wala SMS kutoka Kwa huyo mrembo...
  5. MAUBIG

    Utumishi huu uhuni mmeanza lini?

    HABARI WANABODI Natumai mpo wazima humu ndani job seekers na employers kama wapo. Naomba nitumie jukwaa hili kuweza kuleta malalamiko yangu kwa wahusika najua watanisikia na watanzania wengine pia walijue hili. Habari yenyewe ni kwamba hivi karibuni hawa jamaa wameniita kuhudhuria kwenye...
  6. MAUBIG

    Hii bangi ya wapi?

  7. MAUBIG

    Kuitwa kwenye interview MSD

    HABARI wanabodi, Ndugu XXXXXXX, MSD inakukaribisha kwenye usahili kwa nafasi uliyoomba ya Administrative Officer itakayofanyika siku ya Jumatano tarehe 14/6/17 saa 3:00 asubuhi shule ya Sekondari Chang'ombe ndani ya DUCE, Dar es Salaam. Tafadhali fika na kitambulisho chako. Gharama za usafiri...
  8. MAUBIG

    Mwanamichezo JK

  9. MAUBIG

    Ni sheeda

    Watumbuliwe na wanafunzi sasa
  10. MAUBIG

    Uhamisho kutoka shule za private kwenda serikali

    Habari wanabodi, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba kufahamu kama kuna utaratibu wa uhamisho kutoka shule binafsi kwenda shule za serikali, na kama upo taratibu hizo zafanyika wapi, Thanks in advance
  11. MAUBIG

    Ujenzi Coed-UDOM,

    Ilikuwa kama hivi
  12. MAUBIG

    Jinsi ya kufurahi mlo enzi za Smartphone

  13. MAUBIG

    Sema nani katisha zaidi

  14. MAUBIG

    The Obama's

  15. MAUBIG

    Close enough

  16. MAUBIG

    Wajapan wako vizuri, Kagera Mhhh

  17. MAUBIG

    Definition of Intelligence

  18. MAUBIG

    Fooling the BOSS

  19. MAUBIG

    Tumetoka mbali

  20. MAUBIG

    Coincidence or Not

Back
Top Bottom