Habari za muda comrades,
Naomba msaada mwenye uzoefu na interview za UTUMISHI kwa kada ya Counterfeits Surveillance Officer, ya FAIR COMPETITION COMMISSION, msaada wa nini wanauliza au waliuliza kwenye written interview za miaka ya nyuma angalau nipate mwanga wa nini cha kujiandaa
Thanks in...
Habari za muda huu comrades,
Naomba kufahamu mtu yeyote ambaye amewahi fanya interview ya nafasi ya Tutorial Assistant iliyoendeshwa na utumishi kwa upande wa written interview, ni mambo gani huuliza.
Kwa mfano vipi huuliza questions za kada husika au research questions.
Msaada please anyone
Muda mrefu hawajaajiri lkn kwa mujibu wa sheria walitakiwa wapitishe mchakato wao PSRS, wametumia fursa ya agizo la Mheshimiwa raisi kupitisha huu utupolo wao.
Haiingii akilini eti uchukue watu zaidi ya 300 ndani ilhali nje pia wamejaa wenye sifa kama sio kutaka kujazana ukoo, kabila n.k kwenye...
Wanavyofanya NSSF ni ubaguzi wa wazi kwani wanawanyima fursa watanzania fursa ya kuajiriwa kwa kigezo cha kujitolea kwao ilihali hizo nafasi za kujitolea pia kama huna connection huzipati, bora mchakato ulivyokuwa PSRS
Wanavyofanya NSSF ni ubaguzi wa wazi kwani wanawanyima fursa watanzania fursa ya kuajiriwa kwa kigezo cha kujitolea kwao ilihali hizo nafasi za kujitolea pia kama huna connection huzipati, bora mchakato ulivyokuwa PSRS
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.