Search results

  1. last man standing

    Mh. Rais, Kwa mtindo huu FINCA itawamaliza Watanzania

    Ni vitu vichache umezungumza lakin vya muhimu sana pale mtu anapofanya maamuzi ya kuomba funds kwa ajili ya kuboresha biashara yake na pale anapotakiwa kufikilia ni wapi atapata hizo funds. Watanzania wengi hatupendi ukweli, hatupendi kuwajibika, na ndo maaana tunaishia kulalamika, jitu linaenda...
  2. last man standing

    Msaada: Kioo cha lg 42lb55

    Bandugu kioo cha tv yangu kimepasuka wakati nasafirisha, msaada wa matengenezo, wapi zinapatikana display na bei tafadhari.
  3. last man standing

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    CCM waigizaji wote, so wameenda sehemu sahihi kwa fani yao ya maigizo.Director wa movie, mwigulu nchemba, camera man Nape. Movie ya ugaidi kuwa released soon kwa udhamin wa CCM.
  4. last man standing

    THIS lIFE IS UNFAIR,WHY ALWAYS ME?

    Dogo unapasua tu mayai viza, tiririkaaaaaaaa, ukimaliza hamia kinyakyusa.
  5. last man standing

    Guys mnaoacha girls wenu kimya kimya

    We ndo tatizo, jipime, na ujipambanue uangalie wapi ulipojikwaa, usije ukaachwa tena kimya kimya huko uendako.
  6. last man standing

    Guys mnaoacha girls wenu kimya kimya

    Hapo hujaachwa, ila upo kwenye kipind cha mpito cha kuachika, usipojirekebisha. We ulipoona yupo kimya ulichukua hatua gani? uliamua na wewe kukaa kimya? ulijaribu kumuuliza chanzo cha ukimya wake? au na wewe uliamua kumkomoa kwa kukaa kimya? In love its all about giving and receiving...
  7. last man standing

    Heaven on desert ofisinii

    Hapo ni internet cafe, amelipia na huduma ya kupigia picha pia?
  8. last man standing

    Ukweli kuhusu CCM kumbeba Kapuya dhida ya Ubakaji alioufanya, huu hapa...

    Mbona Babu seya walimdaka fastaaaaaaa, kwa nin huyu wanakuwa na kigugumizi?
  9. last man standing

    Lovely foto of Obama

    Duh! dogo black kanuna huyo, naona anamkata jicho tu prezda, picha zote, madogo weusi wamenuna. sijui hata wanamuwazia nin obama.
  10. last man standing

    Mashabiki wa MBEYA CITY FC

    mwenye kipara ni bujibuji. Verified user
  11. last man standing

    Mkuu Wa Kituo Apigwa Risasi.

    vita ya wakulima na wafugaji wa jamii ya kimasai inanukia. Intelijensia imelala, au ndo alikuwa undercover?
  12. last man standing

    Mkuu Wa Kituo Apigwa Risasi.

    alshabaab at work
  13. last man standing

    Balozi wa nyumba kumi..

    tunahitaji mabalozi wasio wanachama wa chama chochote, na hawatakiwi kujihusisha na maswala ya siasa, mfumo uliwezekana kipind cha nyerere kwasababu tulikuwa tuko katika mfumo wa chama kimoja.
  14. last man standing

    Qatar air

    kama vile ngorika. Au macho yangu
  15. last man standing

    PLZ HELP, Acer aspire 5349 turn on then within a second turn off

    Okey, asante mkuu, ntakupa feedback ngoja nijaribu hizo options.
Back
Top Bottom