Search results

  1. Maseto

    Mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT

    Nimemfuatilia kwa kina Mama yetu Samia na kuridhika kuwa ana uwezo mkubwa ndiyo maana akamudu kuendelea kujenga miradi yote aliyoacha JPM na kuongeza mingine mipya. Ameweza kuwatumbua hata vigogo kama vile Mkurugenzi wa TISS na Katibu Mkuu Kiongozi. Kwa hiyo Mama yuko vizuri.
  2. Maseto

    Arusha: Rufani ya Sabaya yapokewa Mahakama Kuu

    Niliomba humu hukumu ya kesi hiyo sijapatiwa.Lakini Mimi naamini kuwa anaweza kushinda yake hiyo
  3. Maseto

    Ombi: Mwenye nakala ya hukumu ya kesi Dhidi ya Ole Sabaya aniwekee humu

    Wakuu,habari. Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama. Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
  4. Maseto

    Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

    Sisi hapa kazini (taasisi ya serikali) mwaka juzi tuliajiri watu zaidi ya 130.Watu wa mkoa wa Kilimanjaro walikuwa zaidi ya 40. Wachaga hata walimu na watumishi wa afya huwa ni wengi zaidi kwa sababu ndiyo waliosoma kwa wingi.
  5. Maseto

    Naomba Nijuzwe kama ni kweli kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi

    Nasikia ndiyo wamehamia. Baadhi yao wameanza kununua maeneo kwa ajili ya kilimo na kujenga.
  6. Maseto

    Naomba Nijuzwe kama ni kweli kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi

    Nimesikia kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi kwa sababu wanakimbia kuchanjwa kinga ya corona. Pia sababu nyingine ni kuipenda TZ kwa sababu ya JPM walivyokuwa wanamhusudu.
  7. Maseto

    Wana CCM wamtolea uvivu Dkt. Bashiru

    Hivi ni Bashiru aliyefanya hivyo au JPM?
  8. Maseto

    Nape Nnauye: Magufuli ameacha Funzo kubwa. Kuna mashimo mengi ya kuyafukia

    Hilo la chuki baina ya wananchi nakataa.Sisi wananchi tuko vizuri sana miongoni mwetu.JK ndiyo aliacha chuki kubwa miongoni mwa wakristo na waislamu,wakulima na wafugaji kiasi cha kuchinjana hovyo. JPM alinyang'anya maslahi binafsi ya mafisadi,baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na CCM na...
  9. Maseto

    BAWACHA kuwapeleka Mahakamani wabunge 19 waliofutwa uanachama CHADEMA

    Kuna jambo halieleweki hapa.Kwa nini Bawacha waseme wanakusudia kupeleka mahakamani sasa baada ya Naibu Spika kusema Bunge halina taarifa.Kwa nini hawakufanya hivyo mapema?
  10. Maseto

    Gwambina FC 0-1 Simba SC | Simba yapaa kileleni

    Leo ni Jobo tu.Hakuna namna
  11. Maseto

    Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

    Hongera sana Mhe.Saashisha. Nakumbuka ulianza kutekeleza shughuli za kibunge hata kabla ya kuwa mbunge rasmi kwa sababu Mbowe alikuwa ametoroka jimbo la Hai.
  12. Maseto

    Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

    Hata yule wa TRA arudishwe mara moja
  13. Maseto

    Je, Jakaya Kikwete alitoa pesa wapi kuongeza mishahara na kujenga barabara za lami?

    Msifieni JK na uchumi wake kanjanja.Kwa hiyo wazungu waliokuja kuchunguza na kubaini uchumi wa TZ unapanda hadi uchumi wa kati walidanganya?
  14. Maseto

    Mkurugenzi wa TPA aliyesimamishwa kazi, Kakoko ashikiliwa kwa mahojiano na TAKUKURU

    Gazeti la the Citizen online limeandika kwamba Kakoko alikamatiwa Morogoro akiwa njiani kukimbia nchi.
Back
Top Bottom