Search results

  1. M

    Rais Samora Machel, alimchukiza Mungu kuliko maraisi wote Africa

    Alikuwa anafanya jambo maana sana kutokomeza hizi dini za kigeni kwa maana nyingine alikuwa anawasaidia watu wake waondokane na slave mentality ambayo wengi wenu hadi leo mnaikumbatia mkidhani ndio njia ya kuwafikisha peponi....
  2. M

    Bila dini kusingekuwa na amani na haki na ustawi mzuri wa jamii!

    Naanza kwa kusema sio kweli kwamba dini zimeleta amani,kwanza kabisa hizi dini mnazoziabudu zisomeni jinsi gani zilianza na kuenea duniani,pili hakuna dini yoyote iliyoletwa na Mungu isipokuwa hao waliotunga au kuzianzisha hizi dini tena kwa sababau zao (for political reasons,ku-control na...
  3. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Asante sana mkuu,naamini ipo siku wataamka tu na kujua na kuukubali ukweli!
  4. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    free yourself from mental slavery (upuuzi wa hizo dini kwangu umepita mbali)
  5. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Naona umetoka kunywa kahawa na kashata halafu ndio ukaandika ulichoandika hapo.
  6. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Tatizo kubwa lililopo kwa waafrika sasa ni utumwa kwenye akili zetu na hasa kupitia hizi dini za hawa conqueres wetu au slave masters hasa waarabu na wazungu ila kiukweli kabisa wazungu wanajulikana kwa ukatili wao dhid ya mtu mweusi lakini once ukimgusa mwarabu ambaye ni katili mara mia ya...
  7. M

    Magufuli soma vitabu hivi vitakusaidia

    Mental slavery at work..!!
  8. M

    Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

    Slave mentality is the worst form of slavery...!!
  9. M

    Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

    Kusema kweli bado inanishangaza na itaendelea kunishangaza kama hadi leoo hii tunapozungumza haya mambo ni mwaka 2016, mwezi wa tatu tarehe 6,eti bado kuna waafrika wanaamini hadithi za kwenye biblia kuwa Adamu ndio mtu wa kwanza kuumbwa?kweli hii minyororo ya utumwa iliyofungwa kwenye akili...
  10. M

    Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

    Hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa akili,baada ya miaka mingi ya kufanywa watumwa,iwe slavery au colonialism au religion waafrika tumekuwa nothing but zombies,hatujitambui matokeo yake ndio hayo ya kuweka bendera za nchi za watu ambao hawana huruma na wewe hata chembe....NOTHING CAN FREE OUR...
  11. M

    Was Jesus Black?

    ...tatizo mnaongelea mambo makubwa kwa wenye mioyo na akili zilizolala tangu na tangu,hawa waafrika hata hawaijui historia yao sembuse huyo mtu mweupe anayeitwa yesu?sana sana hapo wanaona nyie kuwa mmechanganyikiwa kusema yesu ni mweusi,akili ya mtu mweusi imekuwa mfu na inasikitisha kuona...
  12. M

    Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

    Mimi sielewi kwanini mnamuandama huyo dada...?ameelezea hisia zake na mkumbuke naye ni binadamu na huyo kichaa pamoja na matatizo yake ya akili lakini ni binadamu pia,au hamuoni hilo..?mbona kuna vichaa kibao wanawake wamezalizalishwa?au wengine ukipita mabarabarani utawaona wana mimba au watoto...
  13. M

    Egyptians didn't build Pyramids, Aliens did

    Wazungu na Waarabu ni viumbe vibaya sana kuwahi kutokea duniani....
  14. M

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    ni hatua nzuri sana katika kufikia malengo yetu,sina shaka huyu rais tuliyempata atatuletea mabadiliko makubwa sana nchini kwetu....
  15. M

    Inashangaza kwa kweli! Mburundi na Mfaransa nani yupo karibu na Mtanzania?

    slave mentality ndio inawasukuma kufanya hayo wanayoyafanya (kuweka bendera ya ufaransa) inasikitisha sana kuona waafrika mpaka leo hatujitambui wala hatujui historia yetu...!!
  16. M

    Kwanini Watanzania wamuachie Mungu?

    Nadhani kuweka sawa hilo ni kuwa sio watanzania tu wanaopenda kusema wanauachia Mungu,hili ni tatizo la waafrika wote,tumekuwa hivyo toka kipindi cha utumwa, ukoloni mpaka leo tuna uhuru wa bendera,kwa karne nyingi tu waafrika wamekuwa supressed kwenye brains zao kwa kutumia dini zilizoletwa na...
  17. M

    Kero ya sauti kubwa za muziki kwenye makanisa mengi ya kilokole mitaani

    Wanamsifu na kumuabudu Mungu wa wayahudi,waacheni jamani mtapata dhambi bureee?
  18. M

    Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

    Jamani hebu achaneni na hizi fairytale za wayahudi,hivi mpaka leo kuna watu wanaamini hadithi za Adamu na Eva?kweli?kila siku mifupa ya inafukuliwa na ikipimwa inaonekana hao watu waliishi miaka hadi milioni 4, bado tu mnaamini katika hadithi za wayahudi?watu weusi hebu amkeni muanze kutumia...
  19. M

    Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!

    umeongea ukweli mkuu,Stan Katabalo ni aina ya pekee katika uandishi wa habari,alipigina ile vita peke yake na hatimaye akapotezwa na walafi wa nchi hii,ikiwezekana afukuliwe upya apimwe na kijulikane kilichomuua.......inaumiza sana kumpoteza kirahisi yule mpambanaji!
  20. M

    Let's keep the beautiful dark skin God gave us

    una akili sana mkuu......kwa yoyote mwenye fikra huru atakukubali tu!
Back
Top Bottom