Search results

  1. Mjamaica

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Mkuu kibajajitz, Naomba unijuze jinsi ambavyo umeweza unga MOBDRO ya kwenye simu kwenye laptop? au jinsi unavyoweza kuunga kwenye Samsung tv series 4, I mean nitumie kiunganisho gani? NITASHUKURU sana mkuu
  2. Mjamaica

    Leicester City, Special Thread

    J. Vardy out kapewa njano ya pili
  3. Mjamaica

    Watch Tv channels on your android smartphone

    Iko vizuri mkuu...thanks
  4. Mjamaica

    The difference between meditation and hypnosis is very stark

    Nami pia mkuu naomba uniunge kwenye kundi namba yangu 0787951222
  5. Mjamaica

    Jinsi ya kuangalia tv programme kwenye simu ya adroid

    Mkuu Mnafu nawewe umeona? KODI inakula MB balaa...Ingawa nafikiri KODI inafursa nyingi na muonekano safi zaidi kama HD n.k waje tu wataalamu watufundishe jinsi ya kupata Local Channells
  6. Mjamaica

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Jamani mimi naomba maelekezo yakueleweshwa jinsi ya kuipata na ku-istall VPN na pia jinsi ya kuitumia...tusichekane ushamba kazi
  7. Mjamaica

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

    Duuuh, hii nayo kali, tunakoelekea sasa...!!!
  8. Mjamaica

    Naomba njia za kuroot samsung gt s53001

    Mkuu, samahani mimi nauliza uli-reboot vipi?
  9. Mjamaica

    Hidden cancer cures

    Thanks Sir
  10. Mjamaica

    Hidden cancer cures

    Ahsante mkuu kwa majibu yako, Ninawezaje nami kupata concentrated B17 sababu nina tumors sehemu mbalimbali za mwili wangu, tafadhali naomba msaada wako ndugu kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya kwangu, jibu vyovyote vile hapa au kwenye PM. Natanguliza shukrani mkuu Mungu akujalie
  11. Mjamaica

    Hidden cancer cures

    Mkuu Deception, HESHIMA KWAKO KWA UZI HUU WENYE MANUFAA. Mkuu mimi ninaomba msaada wa (1)Dosage za mihogo na aina gani inayofaa kutumika wakati wa hayo matibabu (mibichi au iliyochemshwa) hasa kwakuzingatia kwamba mkuu RGforever hapa juu alivyobainisha kwamba ina high concentration za...
  12. Mjamaica

    Alliens Invasion

    Mkuu Utingo hili ni swali safi nami nilitaka kuuliza au wazungu na wenzao wanachezea tu akili zetu na mateknologia yao...???
  13. Mjamaica

    Kamati Kuu CCM yatoa uamuzi kuhusu wanachama sita waliokuwa wamefungiwa

    Mkuu, uko sawa Vipofu hawawezi kuyaona haya
  14. Mjamaica

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Mkuu hili tatizo la vidole kufa ganzi kama ulisoma vizuri kwenye swali langu nimesema tatizo lina wiki moja sasa nahii kitu imeanza ghafla. umeniambia cause ni blood circulation si nzuri, "sawa" kinachonishangaza kama blood circulation sio nzuri kwanini ni vidole viwili tu vya mkono wa kulia...
  15. Mjamaica

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Mtaalamu naomba msaada wako sijui naumwa nini yaani kama wiki moja imepita nahisi vidole vyangu viwili cha kati na cha shahada karibu na kwenye kucha hivi vidole vinakufa ganzi. sasa nachoomba mtaalamu unisaidie jina huu ugonjwa na tiba yake tafadhali.
  16. Mjamaica

    Tumia PC yako kama mtaalam/mzoefu

    Mkuu emma115, Thanks bro
  17. Mjamaica

    Nawezaje ku-transfer mafile kutoka kwenye Samsung kwenda kwenye Kompyuta?

    Mkuu Chief-Mkwawa nami hili tatizo nalipata kila nikichomeka tablet Samsung T211 kwenye my computer haionekani, msaada tafadhali
Back
Top Bottom