Search results

  1. C

    Wananchi wa DODOMA wapuuza ujio wa CHADEMA jana

    Waweza thibitisha maneno yako gamba kubwa!!
  2. C

    Meatu (Simiyu): Mkuu wa wilaya abanwa na kutishia kumsweka ndani raia (Kamugisha)

    We ungependa post iweje mkuu au nin ambacho hujaelewa?
  3. C

    Meatu (Simiyu): Mkuu wa wilaya abanwa na kutishia kumsweka ndani raia (Kamugisha)

    Tatizo kubwa ni mamlaka ya uteuzi kuteua wakuu wa wilaya kwa vigezo vya Ukada,na ikitokea ccm inasemwa vby wengi wao hupanic kama huyu mdada!
  4. C

    Meatu (Simiyu): Mkuu wa wilaya abanwa na kutishia kumsweka ndani raia (Kamugisha)

    Dc atishia kumweka ndani mwanachama wa chadema katika mkutano wa Hadhara wa Ccm
  5. C

    Meatu (Simiyu): Mkuu wa wilaya abanwa na kutishia kumsweka ndani raia (Kamugisha)

    Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa wilaya ya Meatu mkoa wa Simuyu Bi. ROSEMARY KIRIGINI amemtishia kumweka ndani Ndg Mandela Kamugisha ambaye ni Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA. Haya yalitokea jana katika mkutano wa hadhara wa CCM ulikuwa umeitishwa katika viwanja vya stand ya mabasi...
  6. C

    Mkoa wa Simiyu, CCM kwisha!

    Hakuna kitu kama hicho kwa moto waliowasha Vijana na M4c sisiem hawana lao simiyu 2015 wasukuma wamehamasika jaribu kuhudhuria mikutano ya chadema Meatu na Maswa utakubaliana na mimi jamaa wanajaza watu kuliko hata akija JK na sisiem yake na wanasomba watu na malori!
  7. C

    Mkoa wa Simiyu, CCM kwisha!

    Meatu ina majimbo mawili jimbo la Meatu linaongozwa na Mhe. OPUKUKWA (Chadema) na jimbo la kisesa linaongozwa na mhe. Mpina (CCM) Mkoa wa simiyu una majimbo 7 manne yako upinzani matatu yako ccm,2015 Mhe Mpina na Ccm jimbo la kisesa wanapigwa chini!
  8. C

    Hukumu ya kupinga ubunge wa Mhe Opulukwa (CHADEMA) kesho 4/05/2012

    Tayari tuko hapa mahakamani watu wanazidi kumiminika kama kawaida poliscm ni wengi juji Fredrick Wambali bado hajafika nitazidi kuwajuza
  9. C

    Hukumu ya kupinga ubunge wa Mhe Opulukwa (CHADEMA) kesho 4/05/2012

    Hukumu ya kupinga ubunge wa mhe,OPULUKWA (CHADEMA) jimbo la Meatu inatarajiwa kutolewa kesho katika mahakama kuu kanda ya Tabora itakayotolewa mjini Maswa,kesi hiyo ilifunguliwa na kada wa Ccm Masanja Salu aliyekuwa katibu wa mbunge aliyeng'olewa Salum Hamis Salum aka Jambo au Salum mbuzi...
  10. C

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Mchumipesa,Kesi ya Meatu bado haijatolewa uamuzi mpaka tarehe 4/5/2012 lakini magamba watalia tu!
  11. C

    Itanichukua muda gani kusajiri kampuni brela?

    Kaka usidanganywe na mtu,kitu cha kwanza kabla ya kwenda brela tafuta mwanasheria akutengenezee memorandum na article of association wanasheria wanajua,baada ya hapo nenda straight brela watakupa maelekezo,TRA unaenda baada ya kupata certificate of incop. Gharama zote hazizidi 600,000 kaka kuwa...
  12. C

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Mungu yuko upande wetu,WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA!
  13. C

    Ungependa nani awe rais wako kati ya hawa?

    Hana usafi wowote, uzwaji wa nyumba za serikali kwa bei ya kutupa,na hata yeye alijiuzia nyumba adaestate kinondoni thamani ya soko wakati huo m400 yeye alijiuzia kwa m5 huo ulikuwa ni ufisadi akiwa waziri wa ujenzi kipindi cha mkapa.
  14. C

    Wanachama wa CHADEMA wilayani Meatu wajiunga CCM

    Huu ni uongo wa mwaka, inshot niko Meatu mjini Mwanhuzi Ccm kwa sasa ofisi ya wilaya haifunguliwi,hawana hata ubavu wa kuitisha mkutano wa hadhara hawapati watu,HUU NI UZUSHI acha usenge
  15. C

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Hilo nililitarajia but uchaguzi hata urudiwe leo magamba hawanauwezo wa kupambana na nguvu ya umma.
Back
Top Bottom