Search results

  1. L

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Sikushangai hujui chanzo unakimbilia kukoment roho ya kibinadamu hata uweje huwezisapoti unyama huoooo
  2. L

    Madaktari kwanini wamtibu Dr Ulimboka wakati wapo kwenye mgomo?

    Jamani kuna vitu hatupaswi kujiulizaaaa Kama nchi maskini hatuna hela za kuwalipa madaktari tulio nao ila tunahela zakukopa kulipa foreignersssssssss duuuu kweli hii ni problem child
  3. L

    Sina imani na ofisi ya CAG

    Kama vile unachuki binafsi....Mmmmmh!huyu mwenzetu kweli?ninamashaka na hoja zako sututoe kwenye mada plzzz cctunadeal nayaliyofichuliwa kwenye ripoti y CAG na sio kudeal namfichuaji. Nakushauri soma alama za nyakati ili usiwe outdated........
  4. L

    Je, Rais aliona Ripoti ya CAG kabla ya safari ya Brazil?

    Ripoti inayojadiliwa sasa bungeni ni ileiliyowasilishwa na CAG. Mwakajana mwezi wa nne bungeni sio hii ya juzi so Rais aliipata ripoti ya CAG mwaka Jana tarehe 29 machi 2011. Nampongeza kikwete kwa kuruhusu uwazi ndo sababu CAG ripoti zinapatakutumiwa inavyostahili
  5. L

    Ludovic Utuoh anapoficha ripoti zake

    Tumaini we we waajabu sana? Be honest katika ma CAG Watano waliopita tangu uhuru nanikati Yao alifumua uozo Kama ludovick Utouh? Tuwewakweli Kama Utouh ni binadamu huenda anamapungufu yake lakini sio kujenga personalization zako ni mtanzania gani unayemjua ni genius kuzidi wote Tanzania...
  6. L

    Ludovic Utuoh anapoficha ripoti zake

    Naunga mkono hoja ya msamaha Kama binadamu kuteleza ni kawaida cha ajabu ni kuangukia kisogo otherwise Pasco ameonesha hisia Kali maana binafsi sijui sisi watanzania hulka yetu ikoje? Badala ya kupongeza mtu anayetimiza wajibu wake kwa uweza wake wote licha ya changamoto lukuki anazopambana nazo...
Back
Top Bottom