Search results

  1. M

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    na hilo daraja litaleta manufaa gani zaidi ya msongamano wa magari znz? Na muungano ukifa linakua daraja la nani?
  2. M

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    znz nzima ni barabara ya kilo mita 100 na mpaka sasa aimewashinda kujenga, mnataka wajenge daraja la kuelea? Hizi ni ndoto za alnacha
  3. M

    Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

    Anaaenda kunyanyasa watu wa Arusha tu, wafanyabiashara wakae tayari na kafungu ka RC lasivyo utasikia wamekamatwa kwa kosa la kuuza unga.
  4. M

    Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    fukuza kazi pumbavu huyo, hana kheri, tena mfukuze kabla hata ya Eid ili apate akili kidogo
  5. M

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Dar es Salaam Sio mbali, wapande boti wakasherekee wanavyo taka, wakimalza warudi ZNZ.
  6. M

    Oman Kutoa Ajira Kwa Watanzania. Nauliza Mnataka au Hamtaki Kazi Oman?

    Nchi pekee Uarabuni yenye makanisa na temple za mahindu. Ni nchi pekee ya Uarabuni yenye raia wakristo na Hindu. Kwaiyo kwenye swala la uhuru wa kuabudu umekosea. Tukija kwenye swala la Ajira hapo pia kuna watanzana wengi sana wenye kazi nzuri tena profession kubwa tu, kesi za wadada wa ndani...
  7. M

    Kwanini bei za nyumba za kulala Zanzibar ziko juu sana

    kama huna hela bora ukae huko huko kwenu, Znz lazima uwe uko vizuri lasivyo utaenda kulala na wamasai.
  8. M

    Kwanini Wazanzibari wengi wanachukia asili yao ya asili ya Congo na Burundi wanaprefer kuonekana waarabu ilhali waarabu wanawakataa?

    wazanzibari na warabu ni kitu kimoja, ndio maana unaona hata mila na desturi zina fanana, Sasa wewe kinacho kukera ni nini? Wivu wa kijinga? Mbona kuna wabara wengi tu wanajichubua na kuvaa mawigi? Na wao wanautaka uarabu?
  9. M

    Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    kwanza kabisa mimi ni Msukuma, na pili hakina masaid alie lazimishwa kwenda ZNZ, wameenda kwa uamuzi wao. Na kama umefika ZNZ ndio utaelewa kuwa hawa MAsai ni kero. Sasa kama imekuuma sansa basi wapeke huko kwenu Moshi ukawape kazi
  10. M

    Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Hivi wewe unajua kuna wabara wangapi wanaishi Zanzibar? Mbona hawana shida yeyote na serikali?Takriban waajiriwa 60% wa mahoteli yote ZNZ wabara, umesikia wamebaguliwa na Wazanzibari?
  11. M

    Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Wewe Yericho umekosa kazi, hawa wamasai wamekua wasumbufu sana Zanzibar, wamejazana huko bila kazi, wanauza sura beach wakitegemea kupata majimama ya kizungu wapelekwe ulaya. Ukiwakuta beach wanasumbua watalii na vikorokoro vyao, kazi za ulinzi zimewashinda sasa wamekua beach boys. Wanabeba Sime...
  12. M

    Bango alilotoa Makonda linamhusu mnazi wa Mtama, Lindi

    aisee huyu jamaa ana tako la uhakika, nakula nini jamani, mwanaume unakua na ushuzi wa naona hiyo?
  13. M

    Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

    huyu ni Abiria wa mabus tu, hajui kero za Airport ndio maana hawezi kuja elewa umuhimu wa muwekezaji wa airport
  14. M

    Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

    ndugu zako walipewa wakaua kila kitu, uwanja umekua kama wa kufugia mbuzi. Acheni wenye ujuzi na nia ya kufanya biashara wafanye kazi yao ili muone matunda ya uwekezaji.
  15. M

    Wajamaa mnisaidie, hivi Nyerere aliwezaje kuvumilia haya?

    Huyu mzee ni wa motoni tu, jinsi alivyo tesa watu na akili zake za kimaskinini sidhani hata utukufu utampunguzia zambi. Magufuli alitaka kuja na system hiyo hiyo lakini mwenyezi mungu aliwapenda zaidi watanzania na akampumzisha milele.
  16. M

    Uteuzi wa Makonda kuwa Katibu wa NEC itikadi na uenezi: Utakiimarisha Chama kwa nje lakini unaweza kukisababishia ufa ndani. Nini kifanyike?

    Makonda ndio alie sumbua wafanya biashara kwa kuwabambikiza kesi halafu makonda huyo huyo ndio atawafata wafanyambiashara wachangie kampeni za CCM. Hizi ni dharau kubwa sana
  17. M

    Baada ya uteuzi wa mwamba: Kuna kundi limeandaliwa kupambana nae

    wewe huna akili kuja humu kumsifia Makonda, bila shaka una wazimu wa aina flani au amekutuma uje humu kumsifia. Makonda ni Mshenzi number moja, na Rais amefanya makosa makubwa sana kumrudisha huyu Jamaa, na siju za mbele atajuta kumpa cheo CCM. Anyway weekness nyingi za Rais zimeonekana hivi...
Back
Top Bottom