Search results

  1. Bra-joe

    Siasa: Kama hii katuni ya chatu na mbwa imechorwa na Masood Kipanya basi anapaswa kupewa tuzo ya kutuchanganya

    Hapo Mbwa ( Chadema) kajinyenyekeza mpaka kaingia ndani kabisa ya Nyoka ( CCM). Chadema wamo ndani ya tumbo la Nyoka lakini bado hawajakufa, ndiyo maana miguu ya Mbwa imesimama imara. Kwa kifupi ngoma droo. CCM wakiharibu nje, Chadema wataharibu ndani. Yaani watamtafuna Nyoka mpaka atakwisha na...
  2. Bra-joe

    Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

    Jitahidi sana usifanye kosa la uhamiaji au jinai. Kamwala na Chimbwakaila ni njia panda ya kuzimu.
  3. Bra-joe

    Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

    Zambia kuna Kamwala na Chimbwakaila. Ukizijua habari zake huwezi kufanya uhalifu.
  4. Bra-joe

    Hivi Vita vyote vinapiganwa ndani ya Ukraine, Russia hakuna hata jiwe lililowahi kurushwa

    Anachofanya Ukraine ni kujihami ndani ya mipaka yake tu, siku Mrusi akitoa majeshi yake ndani ya Ukraine ndiyo itakuwa mwisho wa vita. Hata silaha anazopewa na Magharibi masharti yake asizitumie kupiga ndani ya Urusi.
  5. Bra-joe

    South Africa Just Voted to Seize Land From White Farmers

    Waafrika weusi tunamatatizo yanayofana. Hatupendani, hatuwezi kuendeleza mali tunazoachiwa na kizazi kilichotangulia, tukifanya uzalishaji ni kwaajili ya manufaa ya familia tu na siyo jamii mengi tu. Ushauri wangu siyo kwa Waafrika kusini tu, bali kwa Afrika yote. Tuyatatue matatizo yetu hapo...
  6. Bra-joe

    South Africa Just Voted to Seize Land From White Farmers

    Huo ndiyo uhalisia. Nawajua vizuri sana Kaburu na Weusi.
  7. Bra-joe

    South Africa Just Voted to Seize Land From White Farmers

    Unawajua vizuri Makaburu? Au unawasikia tu? Pia rudia tena kunisoma hapo juu labda utanielewa. "Nimesema kufanikisha hilo ni mpaka vita itokee kwanza na Mweusi ashinde"
  8. Bra-joe

    South Africa Just Voted to Seize Land From White Farmers

    Hilo ni teke la mwisho la ANC inayokufa. Hilo jambo haliwezi kufanikiwa mpaka itokee vita ya Kaburu na Mweusi, ambayo Mweusi hawezi kushinda! Huko mashambani kuna silaha za kufa mtu! Pia Kaburu anaujasiri na roho ngumu sana. Hii imewafanya watu weusi wamuogope sana Kaburu, wakisikia tu lugha ya...
  9. Bra-joe

    Mnaotarajia kuandamana someni hii...

    Huu ni ushauri kwa mtawaliwa. Naomba ushauri kwa mtawala.
  10. Bra-joe

    Upinzani fanyeni haya, au 2020 kusiwe na Uchaguzi Mkuu

    Kuna mtu anafanya mambo ya Kidicteta, jamaa mmoja akamuita dicteta uchwara. Alikamatwa na mpaka leo kesi ipo mahakamani. Hili unalizungumziaje?
  11. Bra-joe

    Maneno ambayo siwezi kumwambia mwanamke....

    Mtu mzima anaposema/ambiwa sina HELA anaelewa HELA ya ziada ya kupewa/toa. Haina maana hana HELA kabisa kabisaa! Binafsi naweza kumwambia sina HELA hata mara tatu mfululizo. Ukweli utakuweka huru daima.
  12. Bra-joe

    Shemu, mimi nitamwambia kaka hakyanani!

    Shemeji yako anahisi/kagundua kaka yako hana uwezo wa kumsababishia ujauzito. Hivyo anakurubuni wewe akulengeshe umsababishie ujauzito. Mtoto akipatikana hata wakifanya DNA itaonyesha mtoto ni wa kaka yako. Ingawaje itakuwa si kweli. Changanya na zako!
  13. Bra-joe

    Katu usicheze na hisia za mtu

    Kutokuingia mzima mzima ndiyo kumuumiza mwenzako hivyo. labda ungesema ni lazima kuingia kwenye mahusiano na AKILI zako zote.
  14. Bra-joe

    Baadhi ya wanawake huchoshwa na utulivu wa mwenzi kwenye mahusiano

    Hao labda ni wanawake wasiyokuwa na kazi. Mtu yoyote mfanya kazi/aliyejiaajiri hupenda mahusiano yenye utulivu. Baada ya misukosuko ya kazi/biashara anajua kuna mtu anakwenda kupata faraja/furaha naye.
  15. Bra-joe

    Hivi kuna mtu amewahi kupata mwanamke mkali kutoka humu, mimi naacha sasa kutongoza wanawake wa humu

    Kuna uzuri wa ndani na wa nje, wewe unaongelea uzuri wa nje, ambao mara nyingi wenye uzuri huu huwa hawajielewi. Hao uliyokutana nao uliwakimbia kwa sababu uliangalia uzuri wa nje tu, ungechunguza na uzuri wa ndani, nadhani usingekimbia. Uzuri wa mwanamke unaanzia na Tabia.
  16. Bra-joe

    Sina msaada kwake hivyo sijiamini tena.Na yeye kashaanza kunionesha dharau

    Kwa hali hiyo itabidi uchague moja. Kukomaa na Mpenzi wako au kukomaa na deni.
  17. Bra-joe

    Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

    Hizo tabaka ulizozitaja, wao wanaandaliwa maisha na wazazi wao. Sisi (weusi) tunajitafutia maisha na kianzio sifuri. Sasa hapo kati kati wakati maisha hayajakaa sawa tunakuwa na mahusiano ya hapa na pale, ambayo huleta hii kitu ya mama mmoja baba mbali mbali. Tungekuwa na sisi tunaadaliwa maisha...
  18. Bra-joe

    Nifanyeje nimuache nisimfuatilie tena?

    Hesabu faida ulizopata tangu ulipoanza kumtukana huyo Mwanamke. Zikifika mbili, uje inbox nikushauri kitu.
  19. Bra-joe

    Kutokuaminiana katika mahusiano

    Ukiona uaminiwi ujue una tabia ya UONGO. Sifa kubwa ya muongo ni kutojiamini yeye mwenyewe, sasa kwa nini unataka mtu mwingine akuamini wakati wewe mwenyewe hujiamini?
Back
Top Bottom