Search results

  1. L

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    CCM inaipeleka nchi mahali isikokujua, mi nafikiri umefika wakati bunge liache kujadili vyama na liangalie mustakabali wa taifa. Mwigulu Hana sifa ya kuwa bungeni na hata Kama ukimuuliza mtoto mdogo utaona kuwa hata nae anakuwa na wasiwasi juu ya uwezo wake
  2. L

    Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

    Ndugu mtoa mada, Mimi nitakuwa tofauti na wewe. Ebu fikiria ni wa tz wangapi wenye uwezo wa kusafiri kwa ndege kabla ya fast jet? Hata Kama hivyo vinywaji watacharge 10000 kila kimoja na hata Kama mizigo BEI itakuwa mara 2 ya BEI wanayoitoza kwa sasa bado haiwezi kufikia BEI ya precision na bado...
  3. L

    Nani alaumiwe Kuanguka Nyumba ya ghorofa 16?

    Ndugu wanajamii, mimi nafikiri kuna umuhimu wa wengi kuwajibika/kuwajibishwa kutokana na Maafa haya. Pamoja na kwanba watu wa karibu kushighulikiwa ni pamoja na mhandisi na msimamizi wa ujenzi pengine na mmiliki wa jengo ila na serikali nayo Ina sehemu yake hasa kwa kushindwa kuhimili changamoto...
  4. L

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Tusipoteze focus kwa kumjadili mmama huyu, hana jipya na yeye mwenyewe hana maadili hata kidogo. Lazima ajipendekeze ili aangaliwe tena mwaka 2015, hana lolote
  5. L

    AIRTEL wanatuibia bundle ghafla zinaisha.....ukipiga customer care inagoma

    Hawa jamaa ni wezi sana, halafu tena wanatangaza kuwa ukinunua nmodem mpya unatumia bure kwa miezi sita, siyo kweli ni wahongo na wezi watupu
  6. L

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Nawashangaa sana mnaoamini ujinga wa unabii, hawa watu si manabii bali wanasoma mchezo unavyokwenda na kutoa unabii, hata huyo aliyekufaa hakufa ndani ya siku 60. Joshua ataendelea kuwadanganya watu mnaodanganyika. Sisemi kuwa Lowasa hawezi kuwa rais ila vikwazo vipo vingi sana kwa yeye kupafika...
Back
Top Bottom