Search results

  1. E

    Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

    Kwa nini tuanze kuangalia nani mhariri wa gazeti gani kwa jina???? Huo ni ukosefu wa upeo, na kuwa na mawazo mgando yasiyokuwa na mwisho mzuri. Je unafahamu ni kwa nini majina kama yenu hayaonekani? Bila shaka ni kwa sababu pengine ham-qualify kwenye hizo post au mpo vizuri kwa upande mwingine...
  2. E

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    Wanahitaji kuondoka, wanahitaji kuondolewa, ni lazima wapelekwe mahakamani....... Kwanini serikali inafuga wezi????????? Eti na mkuu wa bunge anasimama na kuaza kufanyia kazi tetesi.... Fwata kanuni, hoja ije mezani ndio aifanyie maamuzi.....
  3. E

    Mwigulu, Nape na Lusinde mnatupeleka wapi?

    Mi nadhani kiongozi kama Lusinde sio mfano wa kuigwa, kama ningelikuwa na uwezo ningempa Lusinde kazi ya kuimba taarabu, kwani inaonekana kwamba anaweza kukaa kimwambao. Tulichotegemea kutoka kwa Lusinde ni kutoa hoja, sio matusi kama yale. Kwa kweli huo ni ukosefu wa busara na adabu. Kushindana...
Back
Top Bottom