Kwa hii stail ya Africa ambapo kama unataka kufanikiwa kisiasa basi mkomoe kiongozi wa upinzani au fanya kila mbinu hadi kutoa rushwa ili kudhoofisha upinzani ndio changamoto kubwa. Uongozi wa Africa ndio chanzo cha maovu na shida zote.
Sio yeye pekee aliye pewa tuzo. Na yule dc wa Hai aliye hujumu shamba la Mbowe nae kapewa u RC wa Mtwara. LOL.
Na pale kiongozi wako wa Dini anapo kuambia waombee viongozi wako ndio utajua ni kwanini Upendo ni Amri ngumu sana kutekeleza.
Trump ni mtu makini sana kama uta muelewa. Kwanza yupo direct na sio mnafiki haogopi kuongea ukweli hatakama unaumiza na uta wakera wengi. Na hii ideology yake ya kusema "America First" & Make America Great Again" nime zipenda, na hii ya kuwaambia maraisi wengine waweke nchi zao kwanza na wawe...
Hao warohingya sio kwamba wanapigwa bure. Wao ndio walio anza chokochoko kwa kuvamia polisi kuwaua na kuchoma moto vituo vya polisi. Sasa jeshi la Burma ndio wakarevenge kwa fullforce kitu ambacho sio kizuri kabisa. Na pia hao Tohingya walitakiwa wamjue adui yao vyema. Burma sio nchi za Europe...
Actually mimi bado na jiuliza usaliti na uadui wa wapinzani ni upi!? Maana maadui nma wasaliti wa kwanza ni wale walio tuingiza kwenye hii mikataba ya Ovyo. Na sijaona hata mmoja akiwekwa ndani au kufilisiwa au kupigwa risasi.
Kama ni CHADEMA wame husika basi iiteni FBI au M16 waje wafanye uchunguzi huru. Na kwanini huyo dereva na Mbowe ndio wawe suspect number moja na sio wamiliki wa hayo magari!?
Alafu nakupa ushauri wa bure "Stop smoking green/raw weed."
Kama ni CHADEMA wame husika basi iiteni FBI au M16 waje wafanye uchunguzi huru. Na kwanini huyo dereva na Mbowe ndio wawe suspect number moja na sio wamiliki wa hayo magari!?
Alafu nakupa ushauri wa bure "Stop smoking green/raw weed."
Yaani ninunue mbunye kwa M 1!? Kwanza hakuna demu wala mwanamke mwenye mbunye yenye gharama hiyo. Btw hiyo mbunye ya hata laki inakua na nini ndani? ua ina tv?
kumpa mwanamke M1 hata M10 kupo ila ni kwakua una msaidia shida zake ila haimaanishi umenunua mbunye.
Single Mather ni wepesi sana kama ukiwapatia, Mimi kuna mmoja nilianza nae kwa kumpotezea yeye binafsi na kufocus kwa mwanae, nikawa namnunulia dogo zawadi na kumuulizia muda si muda mama akawa anajileta kwalazima nikawa nimefanikisha mpango kwa njia rahisi sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.