Search results

  1. M

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Nimemsikiliza wakili Alberto Msando, mteja wake Zitto aliweka pingamizi la kutojadiliwa na CC mpaka shauri lake la msingi lisikilizwe na baraza kuu. Pili aliitaka CC wampe mwenendo mzima wa shauri lake ili aweze kukata rufaa baraza kuu. Si kweli kwamba uanachama wa Zitto sasa utaamuliwa na...
  2. M

    Je waziri mkuu Pinda alimdanganya Rais?

    Ki ukweli nisingependa pm mwingiine aliyejuzulu maana no mzigo mkubwa kwa selikali kuwatunza.acha twende turn hivi
  3. M

    PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    Bado ni mbunge wao sioni cha ajabu hapo
  4. M

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Kamanda wangu Mnyika ingekuwa vizuri ungewaekea na uthibitisho wa hizo A tisa ulizopata kumaliza ubishi. Ki ukweli wewe una Elimu ya chuo kikuu ila huna cheti maana uwezo wako unadhihirisha, ila waliowengi including Nape wana cheti cha chuo kikuu na si elimu ya chuo kikuu
  5. M

    Luhaga Mpina mbunge (CCM) Jimbo la Kisesa - Meatu, ampinga Kashilila

    Ni wabunge wazembe (CCM walio wengi approx 90%), wapiga usingizi bungeni (kama Wasira), wanaosukuma masaa bungeni na kuonyeshana mavazi (Viti maalum CCM) na wale wasio na mchango ktk chochote kinachojadiliwa (Si kwa sababu hawapendi kuchangia, bali hawajui kinachojadiliwa), ndio wataunga mkono...
  6. M

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    Huko ni kutapa tapa tu, mwisho watatuambia kuwa kuona au kuonyesha bunge inahitaji malipo. Hii ni sawa na kuwazuia wananchi kusafiri kwa magari na kuwataka watembee kwa miguu eti kwasababu wanataka kupunguza ajali. HUU NI UPUUZI Usio na mfano
  7. M

    Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    Kabla ya kufukuzwa CDm, sikuwahi kumjua Juliana shoza, Shoza, Tambua kuwa tatizo la maji lipo ubungo na nchi nzima tangu miaka 50 ya utawala wa chama unachokiita chako, hakuna mbunge aliyewahi kuonyesha juhudi za kulitatua zaidi ya JJ Mnyika ila anakwamishwa na siasa uchwara za hao waliokuwa...
  8. M

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    Tangazeni maandamano ya wafanyakazi nchi nzima mimi nitakuwa mstari wa mbele nabango kubwa 'huu ni wizi na uonezi mkubwa hata mungu hapendi'
  9. M

    Spika Makinda hakumtendea haki mh.Halima Mdee.

    Kauli ya mnyika bado inamashiko maana mwenendo wa hili bunge linaloongozwa na weak spika kutoka weak political party kinachoongozwa na weak leader, wabunge wake wameendelea kutetewa kwa kutoa hoja ambazo ni weak na ambozo zinathibitisha kauli ya mnyika. Sindani kama nitakuwa nimemtukana mtu...
  10. M

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Tatizo la maji ubungo si la jana wala juzi, limekukuwepo tangu enzi za lamwai, keenja na wengine wengi waliopita. Si wakati wa kumlaumu mnyika, hawezi fanya maajabu kwa miaka miwili ambayo selikali ya ccm imeshindwa kufanya kwa miaka 35. Tatizo la maji si ubungo pekee ni la kitaifa. Nimeishi...
  11. M

    TOP TEN ya wasiohitajika kwenye Baraza jipya la mawaziri...

    Napendekeza mh livingstone lusinde awe waziri wa matusi na chaguzi ndogo. Hakika hapo ameonyesha uwezo mkubwa
  12. M

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Jamaa anasema kuwa alitukana kwa sababu alichokozwa na kwamba yeye si mtu wa kwanza kufanya kitu kibaya, kweli huyu jamaa ni kilaza
  13. M

    Msikieni Bwana Benson Bana BBC Swahili

    Njaa inamsumbua huyu jamaa, sijui msomi gani ana akili mgando namna hii. kodi zetu zilipotea bure ni bora tungekunywa kahawa
  14. M

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    Kama kutakuwa na sheria ya mgombea alishika nafasi yapili kumrithi marehem, then tutegemee mauaji mengi sana ya wabunge. Mtu atahakikisha kuwa anamwondoa duniani mshindi huku akijua kuwa yeye ndie atakuwa mrithi. haki ya nani kabisa wale wabunge waliokatwa mapanga hawatakuwa salama hata kidogo...
  15. M

    Arumeru tumemaliza kazi, CHADEMA tusilale, sasa iwe boda kwa boda kuwaelimisha wananchi

    Nilipita kijiji kimoja mkoani Iringa kwa kweli sikuamini kuona serikali ya kijiji inaongozwa na cdm. Makamanda hamieni na Iringa vijijini hasa Kilolo tuwakomboe watu wale kutoka magamba.
  16. M

    Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    Aibu yake mwenyewe lusinde,napata shida sana kuamini kuwa watu was mtera walimwamini huyu jamaa zaidi ya tingatinga.unatuaabisha vijana
  17. M

    Pongezi kwako Vincent Nyerere!

    huu ni ushindi dhidi ya mafisadi, kazi mnayo 2015, vijana ndio watakaoikomboa nchi hii lakini si vijana wa type ya lusinde
Back
Top Bottom