Search results

  1. D

    Hembu Mnukuu GodBless Lema Hapa!

    Dah! Mchizi ana speach kama za bob marle.
  2. D

    Wanzibari Someni Hapa..

    Mungu ibariki Tanzania ipate muafaka juu ya muungano uliopo na wananchi wa pande zote mbili wanufaike na muungano huo Amen.
  3. D

    Ole-Sendeka atimuliwa kikaoni na wananchi!!

    Da! bonge la noma! mchizi tulizani mpiganaji kumbe boya tu.
  4. D

    Utaratibu upi unafaa kufuatwa wakati wa kumtoa binti usichana wake?

    Usipasue kichwa kaka mabiti wenyewe wanazaliwa wameshapoteza ubikira.
  5. D

    Mwanahalisi fanya yafuatayo

    Kweli mchizi Dhaifu analihanya mpaka MwanaHALISI?
  6. D

    Waziri Balozi Kagasheki afanya kweli

    Kila siku majanga ya wizi wa mamillions wa Tz kimyaaaaaa maskini ya Mungu.
  7. D

    Spika Makinda ang’ang’aniwa

    Wahusika wanafahamika inachotakiwa spika awataje na wanyongwe adhrani
  8. D

    CDM itaendelea kuvumilia undumira kuwili wa Zitto Kabwe mpaka lini?

    Sikuzote jitu jinga lipe kamba ya kutosha litajinyonga lenyewe
  9. D

    Thamani ya gwanda la chadema hii hapa

    kazoea kupewa uyo mpaka sigara anagongea
  10. D

    Ukombombozi wa wanywaji pombe umeribia.

    Acha kutuzingu wachina wanatuhusu nini? hapa tunazungumzia Tz.
  11. D

    "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

    Ukweli utafahamika Dr ikipona, Mungu bariki afya ya Dr Uli iimarike zaidi.
  12. D

    Msitu wa pande

    Wapewe Pinda na mwezake Dhaifu kama zawadi.
  13. D

    Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Acha kutuzingua izo shobo zako subiri kesho ukawaambie magamba wenzio Jangwani.
  14. D

    Hivi ndivyo CCM wanavyochakachua picha....

    Du! hii kali.
  15. D

    Majina yenye mvuto!

    Mwanamnavu Atibu
  16. D

    Pay As You Earn (PAYE): Wafanyakazi mna maoni gani?

    Nihoja ya msingi Mungu bariki hoja hii ipitishwe.
  17. D

    Milya mpya anamwitaje eduward lowasa wa zamani?

    Tusubiri tusikie kama atathubutu ataweza na atasonga mbele kumuita Baba yake fisadi :shut-mouth:
  18. D

    Baadhi ya Wazanzibari Wapinga Muungano wadai kura ya maoni kuhusu Muungano

    Nyerere na Karume waliunganisha Tanganyika na Zanziber kwa nia njema cha kusikitisha kuna mijitu michache kwa ulafi wao wa madaraka wanataka muungano uvunjike wakidhani watanufaika, poa ngoja tuone.
Back
Top Bottom