Search results

  1. B

    Poleni wanawake wa Dar, Asilimia 33 ni nyingi sana

    Mara nyingi nikiona watu wakiwakejeli wanaume wa Dar kuwa wengi wao kitandani wako hoi pamoja na kuwa wakila sana pweza. Leo gazeti la Mtanzania, tena ukurasa wa kwanza kabisa (highlight nyekundu juu kabisa kwenye gazety) limethibitisha hilo kuwa asilimia 33 ya wanaume Dar hawana nguvu za...
  2. B

    Sheria ya Utumishi wa Umma 2002 na Kanuni Zake (2003)

    Salute wakuu, Naomba msaada kwa aliye na soft copy ya kanuni na sheria ya utumishi wa umma, unaweza PM mimi ili nikupe email. Shukrani
  3. B

    Msaada: Namna ya kuwekea password kazi either iwe word au kwenye PDF

    Naomba msaada wa jinsi gani nifanye ili niweke password kwenye kazi yangu kwenye pc
  4. B

    Msaada: Word inazingua

    Hi wadau, Kuna kazi iliyoko kwenye word nilichukua kwenye pc ya mtu ila kila nikitaka kuedit au kufuta mstari inagoma na kupigia mstari kazi ninayotaka delete. lakini pia niki'paste' inatokea kazi ni red. naomba msaada, nimeshindwa kuedit kazi hapa
  5. B

    Msaada wa namna ya kupata PUK ya voda

    salute wakuu, naomba msaada wa namna rahisi ya kupata PUK ya SIM yangu imeblock. Ahsanteni
  6. B

    Msaada wakuu: Simu yangu imeharibika

    nina simu aina ya sumsung duos,wk iliyopta imezima na nikiwasha inabaki maandishi ya sumsung kweye screen, baad ya hapo hakuna kinachoendelea. naombeni msaada km kuna mtu alishawahi kupatatatizo km hilo au mwenye ujuzi tafadhali. thanks
  7. B

    Msaada memory ndogo

    salute wakuu. nimekuwa napata shida ku'download' watsap messenger kwenye simu ya android. kila nikijaribu ni INSUFFICIENT MEMORY. naombeni msaada km nifanyaje?
  8. B

    Msaada kuhusu virus kwenye simu

    salute wakuu! naomba msaada wa namna ya kuondoa virus kwenye simu. Simu yangu inatoa alert kuwa na virus 13, lakini sijui namna ya kuscan. Simu yangu ni sumsung duos, please help. Natanguliza shukrani
  9. B

    Kubadilisha jinsia!

    Salute kwa wanajamvi wote! Ktk dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia kuna mambo mengi yanafanyika, mengine ya kushangaza. Kuna hili la kubadili jinsia, naomba tuwekeane sawa hasa kwa wenye kufahamu vizuri kwa faida ya wengi. Inakuwaje mwanaume kubadilishwa jinsia? Je, ataweza kubeba mimba? Vp...
  10. B

    Huu utamaduni upo kwa wenzetu wa dunia ya kwanza?

    Mmojawapo ya vitu vinavyonifanya nisiwe "stable" kiuchumi ni utegemezi wa "extended family". Kuna wadogo zangu, wazazi, wajomba, mama wadogo nk. Mizinga ni mengi mno. Yani usiposaidia maneno mengi mara anaringa wakati 2limtoa mbali, na pengine hata kununa. Kila ikifika mwisho wa mwezi lazima...
  11. B

    Use & diuse of organ/body parts!

    Kama kuna sehemu mwanafunzi hasau hata awe kilaza mmojawapo ni "USE & DIUSE OF ORGAN/BODY PARTS" ktk somo la biology. Je, unamkumbuka mwl wako wa somo hilo? Ni kwa nini watu hawasau hiyo sehemu?
  12. B

    Hi wanajamvi!

    Habari wanaJf. Mi mgeni. Naomba ukaribisho. Nilikuwa kama Guest hapa JF kwa kitambo kdgo nikiendelea kujifunza mengi kutoka kwenu. Naomba ukaribisho rasmi ili niweze kushiriki ktk mijadala mbalimbali. Thanx ALL, And STAY BLESSED!
Back
Top Bottom