Search results

  1. O

    Mzee Mangula ameongea kwa Code, wana ishara tumekuelewa

    Napendekeza mama ikimpendeza anafaa kuwa makamu wake kwa wakati huu.
  2. O

    Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

    Haya. Kila la kher
  3. O

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Unakerwa....mbio za wakili ee. Tunahitaji darasa lake kuhusu sheria
  4. O

    Natafuta rafiki wa kike

    Umri kikwazo Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
  5. O

    Natafuta mume

    Weka namba za cm Sent using Jamii Forums mobile app
  6. O

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nmb mkopo binafsi kwanini inakuwa ngumu kukoposhwa watumishi. Mafisa mikopo hawatusaidii tunaohitaji mkopo huo hivi ni kwanini?
  7. O

    KWAHERINI SIMBA MASHINDANO YA CL Africa,

    Vyura say yeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  8. O

    Natafuta rafiki wa kike

    Poa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. O

    Hatma ya Jerusalem: Tanzania yapingana na Trump UN

    Tusiishi kwa ndoto za wahenga. Tuishi kwa sheria na uhalisia ili Dunia ibaki mahali salama. Viva Tanznia
  10. O

    Bunge na Serikali msikubali kumhudumia mtu aliyejifanya hahitaji msaada wenu

    Alichodai ni haki yake na si msaada. Elewa kiswahili mtoa mada
  11. O

    Kamanda wa Malawi aapa kulinda Ziwa Malawi

    Wakoloni wa mwisho wa Tanganyika kwa sheria za kimataifa walikuwa Wajerumani. Waingereza walikabidhiwa kwa rehani ya UN. Ndiyo maana mwalimu alisaini mkataba wa OAU bila shaka
  12. O

    Hii haikubaliki kwa mustakabali wa Elimu yetu

    Wa mbeya hawakuwa walimu ..... Mwalimu anapokea changamoto za wanafunzi na kuzitatua kwa kuwashirikisha wazazi
  13. O

    Hii haikubaliki kwa mustakabali wa Elimu yetu

    Walimu wazingatie taratibu za malezi ya watoto kwa mujibu ea taaluma yao. Usitoe adhabu ukiwa na hasira. Msiache jukumu lenu la malezi kwa watoto kwani in wajibu muhimu wa mwalimu kwa mtoto. Msiojua taaluma ya ualimu jiepusheni kucomment mjifunze zaidi
  14. O

    ACT wazalendo yapongezwa kila kona ya nchi

    Vyama vya upinzani vitaitendea haki demokrsia vitakapo acha kuendesha siasa kama NGOs. Kila chama kumilikiwa na majina ya watu. Pia uvunjivu wa wazi wa katiba za vyama vyao kwa masilahi ya kundi Fulani. Jambo lingine kukosekana kwa mifumo ya kitaasisi ya kuandaa viongozi. Mwisho njaa za...
  15. O

    Hii haikubaliki kwa mustakabali wa Elimu yetu

    Ule wa Mbeya si ualimu. Wangetumia taaluma yao ya ualimu wasingempiga mtoto kama nyoka.
Back
Top Bottom