Search results

  1. LUSEKELO ASUMILE

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Pole sana kama ni kweli sasa swali langu ni je kama akitokea mtu serious Huyo uliyenaye utafanyaje naye? Sent from my TECNO L6 using JamiiForums mobile app
  2. LUSEKELO ASUMILE

    Rafiki yangu aliponiaibisha kwa kumtekenya dereva wa bodaboda!

    Leave her and mind your business but take care when you are with her.
  3. LUSEKELO ASUMILE

    Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Tunataraji kuwa hautatuangusha Mr Pombe kama alivyofanya mtangulizi wako
  4. LUSEKELO ASUMILE

    Unajisikiaje unapo ogopwa?

    Kiukweli kuogopwa sio jambo jema kabisa lakini pia wapo watu fahari yao ni kuogopwa utawasikia unajua mimi nani, au uliza mimi ni nani hapa mtaani
  5. LUSEKELO ASUMILE

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kwa upande wangu naliona tatizo katika Internet hasa Muda wa mchana lakini kwa usiku wa manane utaipenda. Niko Njombe
  6. LUSEKELO ASUMILE

    TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

    Nashukuru sana ndg ikiwa unachosema ni kweli usijali wanao kupinga/kukutusi kwani watu hawa nilazima wawepo kwani hata leo watz wengi wanakufa,wanalemaa nk kutokana na dawa mbalimbali zinazoingia nchini zikipitia katika mikono ya watu tulio waamini na kuwapa dhamana leo tumekuwa nyani wa...
  7. LUSEKELO ASUMILE

    Ndoa ni vita...?

    Dah kaka hapo ugusa penyewe,hakika mambo yako hivyo na hii si kwa baadhi bali wote,only time will tell/It is the matter of time unless ur an angel.
  8. LUSEKELO ASUMILE

    Hali tete mazishi ya mchungaji aliyeuawa Buseresere

    Inauma sana kuona mambo haya yakitokea leo ktk nchi yangu na naogopa sana na nahisi damu inanikimbia kwani wao husema hawa ukiwapiga shavu la kuume wanakupa na la kushoto lkn ktk kitabu chao hakuna mahali ambapo wapigwa na wasijibu mashambulizi ndio maana hata leo ni Ngumu kuwatoa kwenye nchi...
  9. LUSEKELO ASUMILE

    Futari ya Kinyakyusa

    Gwibhibwe indundu nu ukasokela
  10. LUSEKELO ASUMILE

    Mh. Deo Filikunjombe salute...

    No brothers Deo is a man of his word and I news he will end up like this,coz unapoanza unakuwa unausoma mchezo na sasa kaka ameshauelewa vizuri na huu ndio msimamo wake.
  11. LUSEKELO ASUMILE

    The story behind PANADOL

    Mimi nakushukuru kwa kuniokoa na yanayoweza kusababishwa na utumiaji wa hizo painkiller kwakuwa ckuwa na ufahamu wowote juu ya hilo.
  12. LUSEKELO ASUMILE

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Kimsingi ctofautiani na wachangiaji waliopita nakusihi jaribu kumsaidia na kamwe usionyeshe kunyanyapaa kiukweli kwa mtu niliepitia wakati mgumu kama huo ninajua jinsi gani anavyokosa amani moyoni mwake bt kama anakunywa pombe mwambie aache.
  13. LUSEKELO ASUMILE

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    Good neews I like that once upon the time.
  14. LUSEKELO ASUMILE

    Mbeya Golden city hotel - ogopa kabisa hii hoteli

    Pole kaka kwa yaliyokusibu na shukrani kwa tahadhali uliyotoa na kwa nyongeza tu,wanajf msiziamini sana hata zile funguo zao za guest yaani guest yoyote ile kwani nikama huwa wankuwa na copy so ukifunga na kutoka wao wanafungua nakukupekua chochote cha thamani halali yao.
  15. LUSEKELO ASUMILE

    Helo "Great thinkers" naombeni msaada kwenu

    Katika hili hakuna ushuri wala mshauri mzuri wa nini ufnye bt the best one ni MOYO wako upenafasi ya kuamua,usikilize ni nini moyo wako unakuambia ufanye ndilo ufanye na si m2 mwingine yeyote.Kumbuka ninani alikushauri umpende na ninani ktk wachangiaji anaye feel ur pain&will share ur lonelness.
  16. LUSEKELO ASUMILE

    Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

    Thanx bro 4 taking a very good of ur marriege ur very few in this planet.Bt plz 4 the sake of ur marriege n much less ur almight God stop that now.Dhambi zote tunazishinda kwamaombi lkn zinaa bibilia inasema iepukeni zinaa n msaafu inasema usiikaribie zinaa so bro run frm it.kama Yusuph mtume wa...
  17. LUSEKELO ASUMILE

    Namtafuta Mume mwenye status kama yangu

    best wishes,na2mai utapata hitaji lako,cha msingi kuwa makini kwani kweny msafara wa mamba....some will take an advantage kutaka kukuchezea.
  18. LUSEKELO ASUMILE

    Waraka wa siri wanaswa na Dr. Slaa kutoka CCM, juu ya katiba mpya kuelekea kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya

    U can fool some ppo some time bt u can fool all the ppo all the times.Sasa vipofu wanaona n viziwi wanasikia so acheni kutishia watu kwa kigezo cha damu kumwagika.Na kwa kufanya hivyo mnatuthibitishi uma wa tz kuwa chama tawala ni wavunjifu wa amani na wamwagaji damu.How come wapinzani...
Back
Top Bottom