Search results

  1. K

    Rais amteua Bw.Gabriel Fabian Daqarro kuwa mkuu wa wilaya ya Arusha

    Huo ndio uzuri wa JF kila kitu hadharani DC MPYA Gabriel pga kazi matapeli wache pembeni
  2. K

    Operesheni UKUTA: Mwigulu Nchemba atoa maelekezo kwa polisi nini cha kufanya Septemba Mosi

    JPM hawa wahuni wasikutishe wasambaratishe kama ukungu wa Asubui wahuni hawana tena agenda, wapigwe tu tunachotaka ni maendeleo sio kelele na maandamano
  3. K

    Tofauti ya posho wanayopokea madiwani wa Arusha mjini na maeneo mengine ya nchini

    Chadema ni genge la matapeli na majizi wanaojinufaisha na ujinga wa watz wengi ila Mungu ni mkubwa JPM kawafungua watz macho kujua uhuni wa hili genge
  4. K

    Halmashauri: Moja ya chanzo cha umasikini kwa taifa

    mkitaka kushuhudia hilo njooni H/W ya Monduli iliyokuwa chini ya Lowassa sasa iko mikokoni mwa watiifu wake pitieni idara zote ziko mikononi mwa wezi wakubwa tena chini ya famiia moja miradi yote ipo chini ya kiwango
  5. K

    Neno la Kuudhi: Bado Tungemkataa Lowassa na Mabadiliko Yake!

    Kama kuna kosa Chadema wamelifanya ni hili la kumpa lowassa bendera yao ya urais mwaka jana kwa tamaa ya fisi wao wataona kwamba wameula kwa kuongeza ruzuku kwa baadhi ya majimbo ila ukweli ni kwamba sumu itakayao tafuna na kuwa maliza wao ktk ulimwengu wa siasa na ubora wa unafiki wa upinzani...
  6. K

    Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

    mwisho wa usanii wenu umefka JPM sio msanii wala mpga dili lazima mnyooke
  7. K

    Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

    Kosa kubwa waliofanya Chadema na nimeshwagharibu ni kuchukua mabaki ya ccm au makapi ya ccm, Big Up JPM, WACHUMIA TUMBO HAWANA LAO TENA
  8. K

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Chadema kimekuwa chama cha matapeli na wapga dili kimewauma 7babu JPM amewasambatisha wafadhili wenu ambao ndio mafisadi wakuu hapa nchini na uzuri woote wameshakamatwa, CHADEMA haina tena agenda yani Lowassa wamtukane miaka 8 leo hii watuambie ni msafi ni tapeli tu na mnafiki ndio atawakubali...
  9. K

    Edward Lowassa kutua kwa kishindo Dodoma leo, bunge lahaha

    Yaani lowassa ndio amtishe JPM? Ukiona wanaongea hapa ujue ndio wale genge lake, msanii na muongo kama huyu eti jembe, labda kwa genge la matapeli na wapiga dili. Yaani Lowassa kwa bahati nzuri katoka CCM na kokoro la wala rushwa na wapga dili, leo hii Chadema imekuwa kama ilivyokuwa Ccm...
  10. K

    Mkutano wa Lowassa Monduli; Mwenyekiti wa CCM (W) avua gamba na wanachama 12647 warudisha kadi

    Genge la matapeli pamoja na usanii wao kamwe hawataweza kufanikia daima. yeye ndio kamleta Namelok kwa gharama kubwa ya kuwatukana wananchi wa Monduli leo hii alivyo mnafiki na kigeugeu na mwenye uchu wa madaraka anamkataa na kula matapishi yake hadharani, wamasai hawawezi kuwa wajinga kiasi...
  11. K

    Ukuu wa Dhamira Juu ya Hisia (Supremacy of Conscience Over Passions) - In Honor of Dr. Slaa

    mbowe kauza chama hii imetugharimu mno Dr Slaa binafsi nimemuelewe na niko huru sasa hili genge sina hamu nao kamwe shame upon.
  12. K

    Ukuu wa Dhamira Juu ya Hisia (Supremacy of Conscience Over Passions) - In Honor of Dr. Slaa

    mbowe kauza chama hii imetugharimu mno Dr Slaa binafsi nimemuelewe na niko huru sasa hili genge sina hamu nao kamwe shame upon.
  13. K

    Waraka kwa Dr. Slaa

    watz tuna akili nyepesi sana rahisi kusombwa na propaganda nyepesi, chafu na siasa zetu tumejenga juu ya kuamini viongozi ambao wengi ni matapeli na walaghai Dr Slaa kawaeleza ukweli ndio mana mnatokwa mapofu tena kwa aibu hawa maharamia amewanika peupe pee, lazima mtaisoma namba mbowe kaujuza...
  14. K

    Dr Slaa sasa ni Mzalendo

    bado ni mapema mno kusema lolote ila ukitaka kushinda vita vya adui wako lazima umpate kibaraka wa mwisho wa upande wa madui zako, huyu ndiye Lowass the most controversial politician in our Tz.
  15. K

    Lowassa apigwa mawe Tarime

    hao ndo wana Akili na kuna uwezekano rais akatokea huko mara.jambazi mkubwa ngoja zama zake zina isha july.popote apitapo tunamjua ni fisadi tu.ngoja tumlie pesa zake mana ni kodi xetu alixotuibia.shame on him.
  16. K

    Oparesheni ondoa CCM na makopo yake yavuna 200 Dodoma

    kanda ya kati kumekucha wafia chama wa ccm hao mchana kweupo wanakataa utumwa wa ccm mafisadi. hongereni watani xangu ondoe hii aibu mmebaki nyie tu
  17. K

    Kada wa CCM aliyemimina Risasi mbele ya Ofisi ya CHADEMA Bariadi,ahukumiwa kulipa Sh. 2,000/=

    ngoja historia iandkwe upya kwa uhuni mkubwa kama huu wa ccm. huyu hakimu tupate cv xake
  18. K

    ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    Kuanzia sasa anaitwa Ayatollah ZZK Ama kweli huyu Jamaa wa Kigoma ni mroho wa madaraka, eti kiongozi mkuu kweli ni Ayatollah Khamenei wa Iran yaani wengi wote walioko chini yake ni rubber stamp wa kupitishia maamuzi yake, watu wazima tusidanganyane huyu jamaa ni msanii kama yake JK...
  19. K

    Kumekucha CHADEMA, Mwenyekiti wa Wilaya Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa BAWACHA warudi CCM

    Juliana Shonza nimekudharu na nakuona hovyo kabisa, hawa wahuni waliojindoa chadema Ngorongoro ni mizigo iliyofukuzwa tangu mwaka jana, kiukweli hawapo Chadema na pia waliuza ushindi wa chama chetu pale kitongoji cha Wasso, kwa NAPE NA KINANA WAKE WAMEINGIZWA MJINI NA WW KWA USHABIKI WAKO...
Back
Top Bottom