Search results

  1. Masiya

    Zanzibar kweli ni nchi!

    Leo kule uwamja wa amani ulipigwa kwanza mwimbo wa taifa wa Zanzibar ukafuatia ule wa Africa Mashariki. Katiba ya Zanzibar iko wazi, kwa nini huku Tanganyika tunajin'gata vidole?
  2. Masiya

    Elimu Yetu na Lugha

    Mengi yamesemwa kuhusu nini kinarudisha elimu yetu nyuma. Ukweli ni kuwa lugha inamchango mkubwa kwani ndio msingi wa mawasiliano. Kwa hapa kwetu kuna lugha tatu za msingi: kingereza, kiswahili na hesabu/hisabati. Sisi wengi wetu ni wabovu katika hayo pamoja na kiswahili. Kingereza ni lugha ya...
  3. Masiya

    Msaada watafsiri ya neno madoido

    Ninataka kuelezea uimbaji wa mwanamuziki fulani kuwa anaimba kwa madoido. Si lengi anavyo jibeba kimwili au mbwembwe zake akiwa jukwaani bali anavyoimba kisauti. Wakuu ni neno gani la kingereza linafaa hapa. Natanguliza shukurani zangu.
  4. Masiya

    Tofauti ya Daktari na Tabibu

    Kumekuwa na mkanganyiko kati ya hizo kada mbili. Ubishi unakuja kwenye swali:" Je, mhitimu wa diploma nae ni daktari?". Nimecheck maandishi ya Ofisi ya Rais Tamisemi na pia yale ya Benjamin Mkapa Foundation na nilichogundua. 1. Daktari hutumika kuwaita wale wenye degree ya MD na nyingine...
  5. Masiya

    Awamu ya kwanza udahili vyuoni inafungwa Agosti 5, 2021; vijana bado wapo makambini JKT

    Round ya kwanza ya udahili inafungwa August 5, 2021 hadi leo vijana walioitwa JKT kwa mujibu wa sheria wamefungiwa makambini (mf. Mgambo). Inabidi wengi wajaziwe na ndugu au rafiki zao. Hawana muda wa kujua kwa umakini ni nini kile wanataka na wengine hawapati ushauri wa kutosha. Hii ni...
  6. Masiya

    Madirisha ya udahili TCU na mkopo HESLB yamefunguliwa: Je, JKT itawaruhusu vijana walio makambini kurudi kupeleka maombi?

    Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
  7. Masiya

    Happy Birthday Commandant du Bord Josky Kiambukuta

    On this valentine day I wish a happy birthday to the voice of TP OK Jazz (1973-1993). Josky went through Dr Nico's African Fiesta Sukisa and Orchestre Continental from where he joined TP OK JAZZ . His voice is to be herd on most of the bands songs from Kebana to Bilonda. He then formed...
  8. Masiya

    Ushauri Unahitajika: NACTE March 2021 Intake. Je UCC (University Computer Center Dares salaam) inatosha?

    Wakuu naomba ushauri: KIjana anafikiria kuanza masomo ya Diploma IT jijini Dar mwezi march/april 2021 lakini vyuo vyenye March intake ni vichache. Najua UCC wana dahili intake hiyo. Swali je ajitupe UCC au afikirie kusubiri September intake ambayo ina vyuo vingi? Kwa lugha nyingine je UCC ya...
  9. Masiya

    Msaada: UDAHILI Diploma-nini kinatakiwa?

    Ningependa kujua kwa mtu aliyemaliza certificate (mfano: Certificate in Information and Communication Technology) chuo kimoja na anataka kua-apply Diploma (NTA 5 and 6) chuo kingine anatakiwa ambatanishe dokumenti zipi? Je AVN inahusika pia.
  10. Masiya

    Masaibu ya Masters Degree by Research Tanzania

    Vyuo vyetu vimetangaza masomo ya umahiri kwa 2020/2021 na sifa zinazotakiwa ni hizo hapo chini. Njia moja ya kupata degree hizi ni by research na vigezo vyake nimeviwekea rangi. Utaona ya kuwa wenye vigezo ni wanafunzi wenye ufaulu mzuri wa kuanzia GPA ya 3.5 au wenye experience kubwa upande wa...
  11. Masiya

    NACTE Guide BOOK ya Diploma and Certificate za Vyuo Vikuu

    Juzi juzi niliandika haya baada ya kusoma tangazo la udahili la UDOM Sasa leo nimekutana "THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION CERTIFICATE AND DIPLOMA PROGRAMMES OFFERED BY UNIVERSITIES ADMISSION GUIDEBOOK FOR 2020/2021" kwenye web page ya NACTE ambayo haikuwa na maelezo yeyote...
  12. Masiya

    Astashahada zazidi kupotea sasa mwendo mdundo ni stashahada 2020

    Katika kuangalia NACTE Admission Guide 2020/2021 ya June 15, 2020 nimegundua vyuo vingi vimefuta utunukiwaji wa Technicians Certificate na badala yake wanadahili waombaji kwa program za Ordinary Diploma miaka 3. Sifa zinazotakiwa kwa ujumla ni zile zile kama za kusoma Technician Certificate...
  13. Masiya

    UDOM-Non Degree Prospectus?

    Naamini UDOM ni chuo kimoja kikubwa hapa Tanzania na kinatoa Certificate and Diploma (non degree) programs nyingi. Kinacho nishangaza ni wana Graduate prospectus, Undergraduate Prospectus lakini hawana prospectus inayo cover hizo non-degree programs. Sijui TCU au NACTE nao wanalionaje hili...
  14. Masiya

    Naomba kujua sehemu ya kununua PC Dar es Salaam

    Natafuta PC (Laptop) kwa ajili ya kijana anaeanza masomo IT (Certificate-Diploma). Nafikiria kuja Dar kwa ajili hiyo. Naomba ushauri wa maduka gani na wapi ambapo naweza kupata PC nzuri cha msingi iwe na processor ya intel I-5, Ram 8 au zaidi. Nitashukuru kupata ushauri juu ya hilo na hata...
  15. Masiya

    Una ushauri gani kwa vijana wanaoanza masomo ya ICT certificate?

    Kuna vijana wengi waliomaliza Form 4 ambao sasa ndio wanakwenda kuanza masomo yao ya Certificate in Information and Communication Technology (ICT). Wengine wao hata uhakika na kile watakachokumbana nacho hawana uhakika. Wewe kama mmoja aliyepata umahiri kwenye field hiyo, unawashauri nini...
  16. Masiya

    Udahili Awamu ya Nne-nini kinaendelea

    Baada ya kusubiri kwa hamu mambo yamekuwa magumu. UDOM na SUA ndio nimeona wametuwekea ni program gani zina nafasi na nafasi ngapi, Wengine hadi sasa hawajaweka kitu na wengine wametaja program tu bila kuweka wazi nafasi ni ngapi. Hivyo naona tutaomba awamu hii tukiwa gizani. Lakini pia vyuo...
  17. Masiya

    UDOM Admission Letters: Kipi kinaendelea

    Kwenye tangazo lao la Admission into non-degree programmes (First Round) la Jumatatu tarehe 2 September 2019 UDOM waliandika “All admitted students into different study programmes will receive their admission letters through their profiles in the UDOM admission system at...
  18. Masiya

    Wanaume kusoma Degree za Nursing Tanzania 2019

    Baada ya kuwaambia vijana kuwa kuna fursa kwenye Nursing na wengine kutueleza kuwa jibaba haliwezi kusomea Nursing, leo nimeangalia selections za UDOM round One na Two (wasiokuwa na multiple selections) na nimefurahi kuona vijana wa kiume wakichangamkia hiyo fursa. Round ya kwanza majina 65...
  19. Masiya

    TCU wame mute (wawa mabubu)?

    Kwa miaka miwili tangu wameanza system ya kuomba chuo moja kwa moja TCU baada ya raundu ya kwanza wamekuwa wakitufahamisha wadau udahili unaendeleaje. Kwa mfano wamekosa chuo wanafunzi wangapi raundi ya kwanza. Mwaka huu naona wamenyamaza kimya-je kunani huko, gari inakwenda gizani. Mwaka huu...
  20. Masiya

    Certificate ICT nimpeleke wapi?

    Kijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi ambayo inakiweka chuo kimoja juu ya kingine? Kijana anatokea mkoani hivyo akienda Dar itabidi kuingia...
Back
Top Bottom