Search results

  1. O

    Warioba: CCM ijiandae kuwa chama cha Upinzani

    Mh!!!!, CCM nje ya dola si chama tena. Wapinzani wataibuka wengine.
  2. O

    Yule Mzee wa saa ya ukombozi ni sasa yu wapi wanaJF?

    Nilitegemea kuwa ktk kipindi hiki joto lipo juu huyu jamaa angejiunga kuchangia hoja, kwani sasa ana watu wengi walioelewa hili somo la ''UKOMBOZI'' kuliko ilivyokuwa huko nyuma? Au ndo tuseme huu music wa hakunaga hajui kuucheza?
  3. O

    Chadema, CUF, NCCR na TLP Kuhutubia Mikutano kwa Pamoja Nchi Nzima

    Yap!! hii imekaa vizuri, Umoja ni nguvu
  4. O

    Kata zilizoko wazi mpaka leo!

    Je zile kata nne za Arusha ambao madiwani wa CDM walifukuzwa kenye chama, zitabaki hivyo mpaka 2012?
  5. O

    Magufuli augua ghafla, alazwa

    Mungu amjalie apone haraka, aje aendeleze ujenzi wa barabara
  6. O

    Madiwani waliotimuliwa Chadema Arusha waomba radhi, Napendekeza wasamehewe

    CDM Arusha tusirudi nyuma, walishatimuliwa kwenye chama, kama wanataka kurudi kwenye chama wanatakiwa waombe upya, hapa ndipo tutapata muda wa kuwasaili na kupata mbivu na mbichi. Kukaa bila madiwani hizo kata ni mbinu ya CCM ili watumie kama mtaji 2015. Tuwe macho na hawa madiwani, inawezekana...
  7. O

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Hakuna haja ya rufaa, rufaa itachukua muda mrefu kama ilivyochukua hii kesi. Turudi kwenye kura, jaji mkuu (Umma wa Arusha) atamua bila kuogopa chama tawala.
  8. O

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Ndo kwanza kumekucha, Chadema anzeni kuimarisha chama mikoani hasa kule ambako bado wamisinzia
Back
Top Bottom