Search results

  1. F

    Kama kweli wabunge wa CCM ni wazelendo kwa hili muungeni mkono Zitto

    Ikinikipimo tosha kwa wananchi kuwatambua kama kweli wa bunge wa ccm wanapiga kelele bungeni kwania ya dhati kuwa tetea wananchi au wanatuzuga make tumewasikia na sasa tunataka vitendo wavionyeshe kwa kupiga kula ya kutokuwa na imani na waziri mkuu.kama watashindwa hili basi wakae kinya...
  2. F

    Taifa la washabikia uzinzi - Tanzania

    Mkuu umeaema ukweli wengi wanaishia kushabikia wana kwepa kusema ukweli hiv kitendo ikinichakushabikia kweli/huu ni kuweka pembeni maadiri ya dini zetu naamini hakuna kiongozi yeyote wa dini anaweza kushabikia ili bari atakemea watanzania tubadilike
  3. F

    NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

    Mmmmmmmh mi sisemi
  4. F

    Uchaguzi ujao vyama vingine vya siasa viunge mkono CDM

    Wana JF napendekeza kama utatokea uchaguzi ndogo ktk nchi yetu ingekuwa vizuri vyama vingine kama kweri vina nia ya dhati ya kuwakomboa watanzania viunganishe nguvu kwa cdm kwani kwa matokeo ya Arumeru kuliko kungangania kuweka mgombea mwisho wa siku chama kinapata kura 18
Back
Top Bottom