Search results

  1. D

    Lema: Kama kuna mtu anatakiwa kuombewa ni Lissu

    Haya mdugu tumwombee lisu mh
  2. D

    Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

    dr. endelea na utaratibu wako ulio nao katika kulikomboa taifa hili tunakuamini, tunakuheshimu, tunakupongeza, siku zote udhalimu hauwezi kushinda haki tupo pamoja na wewe, waache waendelee kupiga kelele usihangaike nao, wapuuze .
  3. D

    CHADEMA wasafirisha miili ya marehemu kwa maziko. Familia yaikataa serikali

    eti nani hao walioshikana mabega? ni wapenzi?
  4. D

    Msaidizi wa Mwigulu atimkia CHADEMA

    sina shaka na kujiunga kwake na chama cha ukombozi cdm, naamini viongoz wetu wanamfahamu vizur kuliko mimi, pia viongozi wangu wapo makini sana ,nashauri tu uanachama ni haki yake nafasi ya uongozi ndani ya chama, tujiridhishe sana asije kuwa ndio kaagizwa na mchemba, kutengeneza mkanda wa video...
  5. D

    Uchaguzi wa mabaraza katiba-Kilolo gizani

    kilakala, kichangani, kiwanja cha ndege, bigwa zote katika manispaa ya morogoro ni giza totoro, wanasherie na wapenda maendeleo tuongozeni tufanyeje, kwa kweli tunachezewa rafu sana na ccm, hakuna katiba ya wananchi itakayopatikani ni katiba ya ccm, tuchukue hatua tafadhali
  6. D

    CHADEMA yasitisha oparesheni M4C na kuitisha kikao cha Kamati Kuu

    Naungamkono kikao hicho, Napendekeza pia kuwe na mpango wa kuzungumza na wananchi kila mwanzo wa mwezi kupitia kiongozi wa chadema cc ya chadema sio lazma awe mwenyekiti ktk mambo mbali mbali ya kitaifa garama za hewani tutachangia watanzania
  7. D

    Kwako MNYIKA: CHADEMA andaeni kongamano la kitaifa kuhusu Tanzania after 2015

    Naunga mkono hoja, nyongeza yangu pia chadema waandae utaratibu wa kuzungumza na watanzania kila mwanzo wa mwezi kuhusu mambo mbali *2 yakitaifa. napendekeza sio lazma iwe ni mwenyekiti bali yeyote atakaekuwa ameteuliwa kutoka nec ya chadema. vipindi hivyo virushwe hewani ktk Tv (S) garama...
  8. D

  9. D

    Polisi: Marehemu Ally Zona aligongwa na kitu kizito na sio Risasi

    ni ngumu sana kumkabidhi fisi bucha au zizi la mbuzi hatutaweza kupata suluhu hadi tume huru ya mahakama
  10. D

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    picha tafadhali mungu ailaze pema roho ya marehemu .....
  11. D

    Marufuku walimu waliogoma kushiriki sensa - serikali!

    Hatimae walimu wanyimwa rasmi kushiriki zoez la kuhesabu watu (sensa)kisa etu wameshiriki mgomo. Ubinafsi / upendeleo mkubwa watumika kugawa nafas yabainika fiv ni wengi 75% tena walioshindwa (div iv na div. 0) hapa ni morogoro nawasilisha nipeni ya sehemu nyingine za tz
  12. D

  13. D

    Riziwani Kikwete pole sana

    huyu bwana mdogo anacheza na tanzania na watanzana najua kwa sasa ana ulinz io siku watanzania waamhukumu kwa mema na mabaya aliyoyafanya simwombei mabaya but e need to know watanzania wanamwona asijiponze kwa nafasi ya mzee wa kaya
  14. D

    YANAYOENDELEA bungeni sasa kupitisha bajeti bila kolamu ni aibu nyingine

    tbc wanatuibia wananchi kweli mfumo wa nchi yetu tz woe ni rotten off hadi tbc wanakata signal kweli ili ni JANGA
  15. D

    Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

    ikiwezekana mh mnyika turushieni live kwenye TV tupo wengi garama ttunachangia na tutaendelea kuchangia pls tupeni live we real need it
  16. D

    M4C yaingia Moshi Vijijini Cyril Chami ahaha

    naomba please CV ya komo anayeijua then i will come wth good idea is he is the one
  17. D

    Hukumu ya Lissu - Jisomee mwenyewe

    hongera lisu jaman morogoro hatuna mbunge.
Back
Top Bottom