Search results

  1. D

    Milipuko Mikubwa yarindima Kibamba...

    Nawahakikishia nimesikia milipuko minne mimi naishi maeneo ya Gogoni karibu na makazi ya mzee Kawawa.
  2. D

    Milipuko Mikubwa yarindima Kibamba...

    Mimi na ndugu zangu tumepatwa na hofu kubwa milio ilisikika karibu kabisa na nyumbani, ila watu niliowasiliana nao wanasema ni wanajeshi wapo mazoezini..
  3. D

    Kikwete nje ya nchi na watu kumi na sita 16 ati wanaita ujumbe.....!!

    Kwani first lady hawezi kumpigia pasi mumewe hadi aende na mpiga pasi?
  4. D

    Orodha ya Wabunge waliosaini kutokuwa na imani na PM

    Gagurito, unajua kusoma vizuri au nikusaidie tena uanze vidudu?kwani huoni kama namba 56 na 65 ni same person?mbona unanitukana bila sababu? Nimeli identify kosa hilo ili lirekebishwe tena kwa nia njema..learn to behave man!
  5. D

    Mzee Pinda linda heshima yako - Jiuzulu tu

    Ni bora aachie ngazi kulinda utu wake...
  6. D

    Orodha ya Wabunge waliosaini kutokuwa na imani na PM

    Mbona Hamad Rashid Moh'd jina lake lipo mara 2?
  7. D

    Orodha ya Wabunge waliosaini kutokuwa na imani na PM

    Mh, huyo namba 65 na 56 sio mtu mmoja kweli?
  8. D

    Kikwete awalinda Mawaziri - Asisitiza waachwe, UPEPO HUU UTAPITA!

    Kama JK amefanya hv, hajui dhana ya accountability..kama kweli hawa mawaziri hawatojiuzulu kwa nn wananchi tusiingie barabarani
  9. D

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    Senator, Makamu wa rais wa Tz hadi sasa kazi yake huijui? Kukata utepe.
  10. D

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Membe anazungumza kwa upole!
  11. D

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Ni zamu ya mawaziri kuzungumza..
  12. D

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Sanya! Duh nimependa mchango wake..
  13. D

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Hahahah, Stephen Ngonyani anajidai kuwa na machungu hadi anataka kulia, kisa, umeme hakuna jimbon kwake, wabunge wengne wanamwambia liaa.
  14. D

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Natamani kweli kuona hawa mawaziri wanang'oka lakini kwa dalili ninazoziona, linaweza lisitokee..na chanzo ni huyu Vasco Dagama
  15. D

    Vincent Nyerere and Deo Filikunjombe

    Nimetoka kumsikiliza hapa,dah he is the right guy just in the wrong place, jamaa ni kichwa.
  16. D

    Barua kwa Dr. W. Slaa

    Ushauri mzuri...
  17. D

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    Duh! Kwa akili hizo napendekeza jina lake liwe Matatizo na si Mtatiro tena.
  18. D

    Hello Jf members!

    Mimi ni mgeni hapa, natarajia kujumuika nanyi hapa jukwaani katika juhudi za kuijenga nchi yetu.
Back
Top Bottom