Search results

  1. H

    Makinda aunda tume ya bunge kwenda Mtwara

    Karibuni Mtwara na hayo magari yenu, labda mje na ungo Mtwara Kucheele
  2. H

    Maggid Mjengwa: Kuhusu mimi kumfahamu Ludovick

    Subira huvuta heri aka Time will tell
  3. H

    Vijana, msifanye makosa kama niliyofanya. Kujiunga na CHADEMA ni sawa na kucheza karata tatu!

    Happy Easter najua huko ulipo unaendelea na mvinyo mpe salamu cameroon na ukimwona blair mtaarifu kuwa lile dili la rada mpk leo zile chenji hazijawafikia walengwa na wale babu zetu wa EAC wamejiunga na M4c kwa dhulma na tangu watutawale na wewe wamekufanya mbeba mabox na huku wabongo misaada...
  4. H

    Wataalamu wa teknolojia waichambua video ya Lwakatare, baadhi wadai ni halisi!

    stori yenyewe mliyoileta hapa jamvini ni feki, hivi huko news room ya mtanzania mmeanza kazi ya 2015? bosi wenu kenya kachemsha endeleeni kupika stori, wajinga mtawapata
  5. H

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    Time will tell
  6. H

    Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    Mpaka 2015 tutayaona mengi, stay tune
  7. H

    Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    Ni kazi kubwa kuhangaika na akili kubwa,hivi polisi wamekosa wataalamu wa software engineers kabla hawajachukua hatua? kweli hawa ni usalama wa raia na mali zao? bora tujilinde wenyewe.
  8. H

    Naomba ushauri tafadhali,nimetolewa kwenye ajira mpya/ualimu

    Jina lako naamini lipo labda hujaangalia vizuri kwani orodha niliyoiona ni kubwa mno
  9. H

    Ninakwenda mafunzo ya JKT...

    Hiyo ni semina ya wiki tatu ok lakini jeshini hakuna linaloshindikana karibu
  10. H

    Polisi mtwara wakimbia makazi

    kwa hali ilivyo sasa namshukuru Mungu kukosa kazi ya polisi Tanzania kwa ajili ya rushwa na unafiki ulijaa kwenye kundi hili la majambazi.
  11. H

    Upinzani Gesi ni mali ya Taifa Acheni Kuwalaghai wana Kusini Kisiasa

    Viva Mtwara Viva Lindi Viva Tanzania tulimuondoa mreno Msumbiji na Angola tutamshindwa mkoloni mweusi. Aluta Continua tutajipanga kwa kila hali hata kwa damu kwa ajili ya watoto na wajukuu wetu.
  12. H

    Mbunge wangu simuoni jimboni wala simsikii bungeni jamani nisaidieni kwa hili

    mtafute maisha club ama club 84 chakula cha jioni yupo veta hotel au chakonichako kwenye kuku wa kutosha
  13. H

    Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    Mjomba tunakutumia salamu
  14. H

    Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) ulioasi UVCCM sasa kutikisa nchi, Kuja na 'CCM Halisi'

    Kashindwa mkuu wa kaya mtaweza ninyi vijidagaa?
  15. H

    Mpiga picha wa Rais ni nani kati ya hawa?

    aaaaaaaaaaaaaah umenichefua kwenye hiyo link nimeambulia kuona safari za majuu tu
Back
Top Bottom