Wakuu,
Kuna nyama huwa zinaota kwenye njia ya haja kubwa. Mara nyingi mgonjwa anapata choo kwa shida pia.
Naomba kujua namna ya kuepuka hili tatizo na namna ya kutibu.
Mtoa mada, kama huna CPA kama ulivyosema kwenye post yako unapaswa kubadili jina. Jiite karani wa uhasibu.
Pia nakushauli uongeza bidii kwenye kusoma. Jitahidi uwe unaelewa kwani NBAA hamna semina questions kama ulivyozoeshwa na walimu wako vya vyuo na pia hamna marks za group assignment. Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.