Search results

  1. Mkwanzania

    Watanzania wanataka nini?

    Watanzania wanataka barabara nzuri za juu na chini, wanataka reli ya kisasa, wanataka huduma bora za afya na elimu bure, wanataka mbolea na mafuta kwa bei nafuu, hapo bado wanataka na ajira zenye mishahara minono na wale walioajiriwa na serikali wanataka nyongeza mara dufu, lakini hawataki...
  2. Mkwanzania

    Tetesi: TETESI: KIGAMBONI KUWA MJI WA BANDARI NA VIWANDA?

    Kuna tetesi nimezipata toka kwa Mdau mmoja akiniambia kwamba kuna mpango wa kuchukua km 10 toka ferry upande wa Kigamboni kwa ajili ya kupanua bandari ya Dar es Salaam ili kuwezesha ujenzi wa zone ya viwanda, yards za magari, bohari za mafuta, na sehemu ya shehena ya mizigo. Kama tetesi hizi...
  3. Mkwanzania

    Kutoka Kwa James Gayo

    Mchora Katuni Mkongwe wa Katuni ya Kingo Ndugu James Gayo anaandika. Baadhi ya waafrika wamekata tamaa. Baada ya tathmini yao ya mambo wameshaamua kuwa Afrika haiwezii kufikia maendeleo ya Ulaya. Hawaamini kuwa inawezekana kwa Afrika kuwa na barabara za kiwango cha ubora wa Ulaya, hawaamini...
  4. Mkwanzania

    Kwanini Kigamboni haipo kwenye DMDP?

    Nimekuwa nikifuatilia huu mradi wa Dar es Salaam Metropolitan Development Project kwenye Manispaa za Ilala, Temeke, Kinondoni (ikiwemo na Ubungo). Nimeshuhudia miradi mbalimbali ya miundombinu ya Barabara na Maendeleo ya Makazi kwenye hizi Manispaa na itatia moyo sana, zinapendeza kwelikweli...
  5. Mkwanzania

    Kwanini watanzania hawapendi kuishi kwenye apartments/compounds?

    Jinsi nchi inavyoendelea na changamoto zinaongezeka. Moja kati ya changamoto hizo ni makazi. Nchi yetu Tanzania ni moja kati ya nchi iliyobarikiwa ardhi kubwa ya kutosha pamoja na sera nzuri ya ardhi inayowezesha hadi watu wa kipato cha chini kabisa kumiliki ardhi tofauti na nchi nyingine nyingi...
  6. Mkwanzania

    Kwanini Shija R Shija anafaa kuwa rais wa TFF

    Toa sifa za Wagombea na useme kwanini unadhani wanafaa. Huyu Hapa Shija R Shija 'MSHUA' KWANINI SHIJA R SHIJA 'MSHUA' AWE RAIS WA TFF? Soka la Bongo linanuka rushwa He is a Solution Soka la Bongo linaendeshwa kiubabaishaji He is a solution Soka la Bongo linaendeshwa na watu wale wale (viscous...
  7. Mkwanzania

    Wapi New Kigamboni City?

    Waungwana habari zenu. Leo nimekaa nikawa napitia pitia makarabrasha mbalimbali ya mipango ya serikali nikakutana na hili la mji mpya wa Kigamboni. Katika pitia zangu nikaona jinsi ile master plan ilivyokuwa inavutia na kubarisha kabisa maisha na taswira ya jiji la Dar es Salaam. Hapa naona...
  8. Mkwanzania

    Swala Energy Tanzania

    Wanajamii kuna hii kampuni Swala Energy imetangaza kuuza hisa zake katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE). Nimefanikiwa kusoma prospectus yake inaonekana kuna potentials za kiuwekezaji katika sekta ya mafuta na gesi kwa wazawa japo risks pia ni kubwa. Wito wangu kwenu ni kuijadili hii...
  9. Mkwanzania

    Safe House

    Nini matumizi ya safe house? Na ni vipi 'mtu wa kawaida' anaweza kuijua safe house?
  10. Mkwanzania

    Identify Hacker

    Wadau kuna mtu anahack gmail acc yangu, nimecheck IP address yake nikiitrace namuona mara nyingi yuko Dodoma and sometime abroad. Nimechange passworld several times lakini wapi jamaa anaingia tu. Sioni akifanya kitu chochote kibaya zaidi ya kusoma tu mail zangu. Naomba kama kuna mtu humu ndani...
  11. Mkwanzania

    A budget hotel near Nyerere International Airport

    Please if there is any one who has a name and location of any budget hotel near air port in Dar he/she can assist me.
  12. Mkwanzania

    CWT 'imewauza' Walimu?

    Kutokana na hukumu iliyotolewa na Mahakama juu ya mgogoro wa waalimu na serikali, nashawishika kusema kwamba Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT) chini katibu wake Mukoba kimeamua kuwa uza waalimu kutokana na sababu zifuatazo; 1. Sitaki kuamini kwamba CWT hawakujua matokeo ya wao kupeleka hati ya...
Back
Top Bottom