Search results

  1. Chum Chang

    Huyu ndo mtoto mchanga wa siku 4 aliyekaa ndani ya shimo siku 6 akiwa hai

    Hapo ndipo linapokuja swala gumu la hawa dada zetu Embu someni huu ukweli Kuku anataga mayai anayalalia mpka anatotoa Kuku atatembea na vifaranga vyake kwenye shida na raha popote pale Kuku alimi avuni wala afanyi kazi lakini kuku huyu atawaangalia vifanga vyake mpaka vinakuwa Hapo jogoo alina...
  2. Chum Chang

    Nini cha msingi kufanya mara tu baada ya ku do.

    Somo ili linawatahiniwa wengi kweli kweli
  3. Chum Chang

    JWTZ waanza tabia ya kutembeza viboko jion/usiku

    Umu javini kuna vituko kama vile si watanzania
  4. Chum Chang

    Wakuu nawaombeni munijibu hesabu zangu hizi jamani

    Namuona wanaemuita Baba umeleta live
  5. Chum Chang

    Somo la mathematics kuitwa ugonjwa wa taifa kwa wanafunzi

    Kumbuka ulipokuwa chekechea ulifundishwa kuhesabu kama ni visoda, vijiti, mawe au vitu vingine Nimekumbuka enzi tulipokuwa wadogo na hesabu za njiti za kibili na chelewa hakika naungana nawe kwa mada nzuri yenye kuelemisha kazi kwao wahusika na wazazi na walezi wa watoto wetu
  6. Chum Chang

    walikuja Dar mkawafukuza!

    Hatari lakini salama
  7. Chum Chang

    Tatizo la Foleni Dar es Salaam LAISHA

    Welcome jijini Dar es salaam Jiji la umbea bugha na miangaiko ya kila aina Dar es salaama ghalama ukindishwa kuishi ama
  8. Chum Chang

    Unamchukuliaje ex wako?

    Hakuna marefu yasiokuwa na mwisho Kama tumezaa namchukulia kama mzazi mwenzangu(Heshima mbele) Kama hatuku zaa yuko kila mtu na lake tukikutana uso kwa uso salam kama kuna stor baada ya hapo kila mtu kivyake
  9. Chum Chang

    Yuko wapi Nicodemus Banduka

    Ilikuwa Songea na Mwana wa Mwaibabile akaionja jela Kutamaki waandishi wakaenda kumochomoa huyu si wa kumkumbuka
  10. Chum Chang

    Shemale(mwanamke mwenye jinsia mbili)anataka kunioa..i need ur views pls..!!

    Ukiona manyoya ujue........................
  11. Chum Chang

    Masikini Kinana!!

    Hapa kuna jambo ngoja tusubiri wana jamvi wazidi kutililika na maujumbe
  12. Chum Chang

    Haya polisi jamani 2013

    Changamkieni kwa wale wenye vigezo na sio bla bla
  13. Chum Chang

    Nimeku "miss" kwa kiswahili

    Uzi umekaa kimalavidavi lavidavi Sasa malavidavi ya kithungu na kiswahili ukiyachanga unapata uongo mtupu
  14. Chum Chang

    Wabunge Kenya waanza mikakati ya kujilimbikiza mishahara wananchi nao wagoma!

    Aka kaugonjwa ni ka Africa nzima Kila anaepata nafasi cha kwanza kulifikiria ni Tumbo lake
  15. Chum Chang

    With $11bn Bagamoyo port, Tanzania prepares to take on EA hub Mombasa

    Habari njema kwa wakazi wa Bagamoyo na maeneo jirani haswa ikiwa ili kile chuo cha uvuvi (Mbegani) kitaendelevya na sio kufa kama kilivyo sasa
  16. Chum Chang

    Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

    Na hii ndio JF Maswali na majibu kama bungeni
  17. Chum Chang

    WAFUNGWA WANAKULA MARA MBILI TU KWA SIKU, jioni wanalala polepole

    Mkuu kwenye yale magereza sio wote ni wakosefu wengine wamejikuta wako kwenye ile dhahama kwa kusingiziwa aua kukosa kujieleza ama unyonge na kukosa wa kuwatetea kwenye makosa ya kibinadamu
Back
Top Bottom