Search results

  1. N

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Labda kwa kuwa hujaelewa au kuona "the bigger picture" : Mpango WA Mungu; omnipotence ya Mungu, uungu (not sure if this is actually a word...) WA Mungu. In this context, why shetani yupo is understandable, out of that context ni ngumu and hence possibly the "confusion" you cite
  2. N

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Shetani aliumbwa mzuri and mkamilifu and with utashi WA kuamua, sio robot. Akaamua kuasi, akatimuliwa mbinguni (not sure where that is). Ndipo "mashetani " talipoanzia...
  3. N

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Interesting thought. Nope. Hafanyi yanayompendeza Mungu or aliyotumwa na Mungu therefore sio mtumishi wake. Ila, katika hali yake ya "ushetani " Mungu anamtumia ili kukamilisha mpango wake juu yetu, mpango uliokuwepo toka mwanzo, kabla ya shetani
  4. N

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    CHAMITON, Maswali mazuri sana. Tujadili swali kwa swali. La kwanza: Job 47:16, Psalm 239:2-4, 147:5, Proverbs 5:21, Isaiah 46:9-10, 1 John 3:19-20, etc zina support kuwa Mungu anajua KILA KITU; kilichokuwa, kilichopo and kitakachokuwa. So ni kweli kabisa, ALIJUA kuwa njemba itaasi and kuleta...
  5. N

    Waseminari wote tukutane hapa

    Nyegezi Seminary: Rector = Father Mugonya Bursar = Father Father Kagger Father Van show (tulitamka hivyo not sure kama linaandikwa hivyo) Father Bilingi - I still think he was a "radical", in a good way, priest Great basketball team: Mafuru Great football team : sassy sarungi, Godfrey ndaba...
  6. N

    Atripla

    Asante
  7. N

    Atripla

    Asante kwa ushauri juu ya kupima figo kwanza. Nipo tayari kwenye regimen ya Atripla. Nilikuwa diagnosed wakat nipo shuleni mwaka juzi na nikaanzishwa Atripla Wakati nipo huko ughaibuni. Sasa nimerudi nyumbani baada ya shule and najiuliza kama nitaweza kuendelea kupata Atripla from CTC hapa...
  8. N

    Atripla

    Asanteni sana kwa majibu. Ntaenda CTC ya karibu yangu na kufuatilia hapo. Nyau
  9. N

    Atripla

    Asante kwa jibu la haraka. Kuna mtu anajua kama hizi ni generic atripla au la. Asanteni
  10. N

    Atripla

    Habari? Kuna mtu anaweza kuniambia kama Atripla, an HIV ART, inapatikana kwenye clinic za HIV hapa Tanzania. Asanteni Nyau
  11. N

    Ze komedi...

    Huenda ingewasaidia kama wangepokea ushauri / mawazo kutoka kwa umma juu ya what they can satirise!
  12. N

    Majonzi ya watanzania waishio Saudi Arabia

    Nimesoma post ya kwenye blog ya Michuzi yenye title hapo juu. (Ninatumia RSS reader kupata posts kutoka blogs mbali mbali nazofuatilia) Sasa nilivyotaka kwenda kwenye site yake (http://issamichuzi.blogspot.com/2011/04/majonzi-ya-watanzania-waishio-saudi.html) nione comments za watu na...
  13. N

    Aina nyingine ya uchakachuaji tuamke

    Mie nadhani ungesema unachotaka kusema. Hivyo unavyo-communicate UNAKERA maana hamna kitu concrete unachosema. Unadhihaki tu watu. Discuss issues mkubwa! Nyau
  14. N

    Baariz – The Ultimate Treatment for HIV/AIDS

    Jamani! Hii ni Dhambi ya jinai kabisa! Huu ni usanii. Watu wanapata pesa at the expense ya wagonjwa wa UKIMWI. Nimeangalia vyanzo vya taarifa za kitafiti juu ya UKIMWI na sijaona chochote juu ya Baariz. Taarifa za clinical trials zinazotambulika na kufanyika kwa viwango vinavyotakiwa huwa...
  15. N

    Jinsi wageni watakavyo leta vita Tanzania!

    Hapa ofisini kwangu menejimenti imeajiri afisa utawala (senior administrator) mkenya. Huyu bwana kaanza kazi jana. Hili jambo limenikera sana kwa maana ninajua kuwa kuna watanzania wa kutosha wenye sifa (kielimu na kiutendaji) ambao wangeweza kujaza nafasi hiyo. Wakati tangazo la nafasi...
  16. N

    Lengo la tbc1 na shindano la ndoto

    Pia kuna hiki kipindi cha "Chereko". Mimi binafsi nimeshindwa kabisa kuelewa maana ya hiki kipindi. Kuwatangazia the select few harusi zao jinsi zilivyokuwa? Ili iwe nini? Mwanzoni nilidhani atakuwa anatuonyesha au kutuelezea vitu vilivyotofauti (unique) kwenye hizo harusi anazoonyesha ili...
  17. N

    Chama Kipya (CCJ) na Hatima ya CCM - lisemwalo...

    Yawezekana kuwa hizi ni blah blah za mtu aliyetaka kuwapa watanzania cha kujadili na kusahau masuala ya msingi zaidi? Tafadhali angalia hata Mheshimiwa Tendwa mwenyewe kasema Ni Hoax tu:
  18. N

    Tunza Lodge in Mwanza, your services are poor!

    I had a similar experience, thrice, since I moved to Mwanza early last year. That made me stop going to the place. it might be that I am self conscious OR the staff really "ignore waswahili wenzao" The strange thing is that the behaviour is almost the same at another Mwanza joint - Tilapia...
  19. N

    Precision Air na matatizo yao: Wanaelekea wapi?

    Sio majungu. Ni kweli, ndege huahirishwa pale kunapokuwa na tatizo - kwa ajili ya usalama wa abiria. Lakini unaelezaje pale unaporipoti kwa ajili ya safari na kuambiwa ndege imeshaondoka? Binafsi hii imenitokea mara mbili kwa Precision Air. Reporting time ni saa 12 na nusu asubuhi...
  20. N

    Accounting Vs IT intergrated.

    Asome relevant application software kama vile 1. Spreadhseets - itampa uwezo wa ku-play around na numbers efficiently. Hii ni application software class moja ambayo kwa experience yangu ni indispensable kwa mhasibu. Hapa sikusidii spreadsheets at "introduction" level bali at power user...
Back
Top Bottom