Search results

  1. S

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Wewe Mnyika ni kiboko. Achana na hao waendao kwa kufuata upepo. Ubarikiwe sana.:yo:
  2. S

    Zitto ang'ang'aniwa viwanja vya Temeke Mwisho, asisitizwa asiondoke CHADEMA

    Zitto Usidanganyike. Baki CHADEMA daima.:majani7:
  3. S

    CNN: Dr. Slaa awa gumzo na hatari serikalini Tanzania

    Safi sana Dr. Slaa. Kaza boot tupo pamoja.:majani7:
  4. S

    Kadi ya CCM yamponza Slaa... Sasa ashinikizwa kujiuzulu nafasi yake!

    Lazima dkt aitunze kadi ya ccm iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo, kwa sababu ni lazima ijulikane safari ya ukombozi ilianzaje,na ukombozi umepatikanaje? na kwamba dkt ni mwanasiasa wa siku nyingi na hakuanzia chadema, safari yake imekuwa ndefu yote hii ni kuhangaikia ukombozi wa nchi hii. ila...
  5. S

    Kashfa ndani ya Kashfa, Uozo ndani ya Uozo: Mwema, Chagonja, Manumba need to go! (Lowassa pia yumo!)

    Mkuu, ktk hili niko pamoja nawe. Ni kweli kabisa kwamba wengine wanataka urais wakati hawana sifa za kuwa rais kutokana rekodi zao mbaya kama vile ufisadi na kutokemea maovu kadhaa yalifanyika wakati hao wakiwa viongozi.:target:
  6. S

    Kikwete: Kuna nyoka mwenye ndimi mbili ndani ya Nyumba ya CCM

    Come on Kikwete acha kulalama mara gamba mara joka acha kuwa mwoga kama ni kweli vipi usiliondoe hilo joka?!:majani7:
  7. S

    Kikwete akutana na vipeperushi vya kumkataa Dodoma!

    KINACHOMPONZA JK NI UTITILI WA MARAFIKI AMBAO WENGI WAO NI MAFISADI NA WOGA KTK KUFANYA MAAMUZI MAGUMU DHIDI YAO.:target:
  8. S

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Hiyo ni kazi yake. Hata hivyo amechelewa sana ilibidi afanye hivi toka kitambo na mara nyingi zaidi.
  9. S

    Mchungaji: JK futa chaguzi zote ilizotawaliwa na rushwa

    JK hana ubavu wa kufuta chaguzi hizo kwani hata yeye urais ameupata kwa njia zinazofanana na hizo.:majani7:
  10. S

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    Hiyo ndio ndoto yake. Hivyo kumkosoa ni kutomtendea haki. Uongozi wa chama chake will judge this when time comes.:A S 465:
  11. S

    Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

    Zitto anataka kujimaliza mwenyewe kisiasa. Ni mtu intelligent lakini kwa mpango huu si vibaya kama Chadema watamtosa.:baby:
  12. S

    Dr. Ulimboka hatukuelewi ! ! !

    Kwa kweli tulimlilia na kusikitika sana sana kwa yaliyomsibu Mtanzania mwezetu Dr Ulimboka. Tulitarajia kusikia mengi mara baada ya kupona na kurudi nyumbani. Lakini hadi hii leo bado yuko kimya. kwa kweli Dr umetukatisha tamaa sana sana.
  13. S

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    JK Ukimtazama utadhani kama ni mtu wa watu na ndicho kilichotufanya tumchague kwa kumpa kura nyingi. Nakubali usemi usemao fadhila ya punda ni mateke.
  14. S

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    Selikali, hivi kwa nini kila wakati mnakurupuka na mambo ya kuwaumiza wananchi badala ya kuwapa unafuu? Huu ni wizi na ukatili wa hali ya juu.:yawn:
  15. S

    Majambazi Wawili na Mchina Kupewa Kesi Ya Dr. Ulimboka...Ahmed Msangi Kusafishwa

    Udhaifu wa rais ndio umetufikisha hapa:alien:
  16. S

    Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

    Rais huyu wa awamu ya 4 kwa kweli anatia kichefuchefu kwa kukosa ushupavu wa maamuzi hata katika masuala ya msingi.Inasikitisha sana.:israel:
  17. S

    Jeshi la Polisi lipongezwe kwa kazi nzuri kwa Dk. Ulimboka ~ Nicholaus Mgaya

    Huu ni upumbavu. Mtu wa aina hii ni hatari kwani anaweza hata kumtosa hata mkewe kwa boss wake endapo ataahidiwa kupandishwa cheo. This is nosense. :yawn:
  18. S

    BBC: Dr. Ulimboka yuko ICU (yuko kwenye koma) anasaidiwa na mashine

    Eee Mwenyezi mungu mponye Ulimboka. Inshallah.:eek2:
  19. S

    Maskini JK namuonea huruma!

    JK kinachomponza ni woga wa kuchukua maamuzi magumu dhidi ya mafisadi wanaoliteketeza taifa.:dance:
Back
Top Bottom