Search results

  1. K

    Walimu wa shule za CCM wanyimwa mishahara

    Si Nape kasema CCM hawagangi njaa, imekuwaje tena?
  2. K

    Mama yake Zitto avamiwa

    Msiwe mnakurupuka kuandika mambo hauna uhakika nayo. Si kwamba kwa vile unajua kukaa mbele ya computer na kuandika basi ndio uandike ----- humu jamvini. Ungekuwa umemsoma na kumsikiliza Mh. Zitto alivyo sema kuhusu hili, usinge kuja na hoja mfu ndani ya jamvi hili. Hivi hapo ulipo una...
  3. K

    CCM Lindi yakiamuru chama cha ushirika cha Ilulu kulipa wakulima wa korosho

    Duh! Hii kali. Yaani serikali imeshindwa kuongoza sasa tunaongozwa na CCM?? Mungu wangu, tuepushie na hili pia.
  4. K

    NARC iliwadanganya wakenya-Kinana

    Hiyo ndiyo CCM bana. Kumbukumbu mkichwa ni ZIRO!!
  5. K

    Inasikitisha kuona CHADEMA wanawachangisha watu hela Iringa wakati wanapewa hela ya Ruzuku

    Mkuu Makene! Achana na huyo mjinga. Nashangaa kuona kwamba anaanzisha mijadala bila hata kufahamu sehemu nyingine duniani wanafanya nini! Nashangaa aliupataje uongozi CHADEMA huku akiwa hajui nini maana ya kuwashirikisha waTanzania katika mapambano ya kumng'oa mkoloni mweusi? Kwamba hajui nini...
  6. K

    CCM: Kiti cha Spika kimeinyima nafasi CCM!

    Kule hakuna walevi kama wale walio ibiwa kule hotelini Morogoro (Mzee wa Bunduki 2).
  7. K

    Godbless Lema: Kesho narudi bungeni!

    Kwani ndiy mwenye serikali? Mbona Bagamoyo na pale Msoga machinga ndio wameliwa na funza kabisa licha ya shida walizo nazo, unashangaa wa Arusha? Its a universal problem kwa serikali hii ya MAGAMBA. Wewe vipi?
  8. K

    Godbless Lema: Kesho narudi bungeni!

    Yeeees! MK47 inarudi ndani ya uwanja wa mapambano. Lazima afe mtu kwa pressure bunge hili.
  9. K

    Hatimaye ccm yageuka chama cha upinzani bungeni

    Mbona watakimbia nchi!!!!! Hebu subiria Jumamosi Makamanda watakavyo piga KENGE KICHWANI HADI DAMU ITOKE MASIKIONI. Hapo ndiyo utajua Kenge kafa.
  10. K

    Godbless Lema: Kesho narudi bungeni!

    Tatizo hamjui kutafsiri kanuni. Mlizoea kushika wabunge masikio na kuwaburuza sasa mnaona kila kitu ni uvunjifu wa kanuni pale mnapoona mambo yana wazidi. Si mlisha ambiwa kwamba RCs na DCs si wafanya kazi wa serikali lakini wanatumia resource za serikali ikiwa ni pamoja kuwaza kutoa amri ya...
  11. K

    Wandugu hebu tujadili dhamira yauwekezaji wa kilimo cha kilimo cha mazao ya chakula

    Mod! Hii kitu peleka kule kwenye jukwaa lake. Hapa sio mahali pake.
  12. K

    Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

    Si mumchukue basi?? CHADEMA ni taasisi na hata mwenyewe analijua hilo fiki!!!! Mbona yupo jiiiiii na watu wanatwanga kwa kwenda mbele. si unaona jinsi walivyo geuka kuwa wapinzani. Maana kazi iliyo baki ni kujibu mashambulizi badala ya kutekeleza ahadi zao kwa waTanzania. Sasa wewe subiria...
  13. K

    Hatimaye ccm yageuka chama cha upinzani bungeni

    Mkuu! Umenitisha! Kuanzia leo sichangii tena humu jamvini. Nasubiria kumalizia hasira kwenye sanduku la kupigia kura 2015
  14. K

    Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

    Jamani CHADEMA hamna huruma kabisa. Mtaacha MAGAMBA wafe kwa viwewe jamani. Ndani ya Bunge mmesha wageuza wapinzani. Nje ya Bunge nako mnapiga bila huruma namna hiyo!!?? Mwisho watasema CHADEMA ndiyo imemuua Bi. KIDUDE ili kichukiwe na wapenda Taarabu kama sio muziki wa Jahazi. Walidhani...
  15. K

    Hatimaye ccm yageuka chama cha upinzani bungeni

    Wakuu! Heshima kwenu. Kwa siku kadhaa baada ya kufuatilia mikutano ya Bunge la Bajeti sikuamini macho na masiko yangu baada ya kuona kwamba CCM kuanzia asubuhi mpaka jioni kila siku, ina kazi ya kujibu na kujieleza mbele ya hoja za CHADEMA. Na kwa vile CCM haina majibu ya kweli na uhakika...
  16. K

    Wassira; udini hapa nchini uliasisiwa katika uchaguzi mkuu 2010

    Wameguswa sasa kila mmoja anaimba jaramba la CHADEMA. Mbona siku zote hawaku yasema haya hadi CHADEMA ilipo amua kupasua jipu??? Hili MAGAMBA wanalo. Wassira mwenyewe kaupalilia kule Mwanza, huku akijua Katiba yetu haina udini.
  17. K

    CHADEMA wanamwogopa Mwigulu Nchemba kuliko kitu chochote

    Kaa mkao wa kusubiria kule Mahakamani, ndio utaona jinsi watu wako wanavyo adhirika kuhusu kung'oa watu kucha. si umeona jinsi mnavyo anza kutetewa eti oooh si ruhusa kutoa taarifa za mawasiliano ya mtu, ooooh sijui nini ......
  18. K

    Msigwa akalia kuti kavu. wananchi walimtuma kutetea maslahi yao sio kupiga kelele bungeni

    Watu wengine TIGo zikifikia peak taabu kweli kweli!!!
  19. K

    Video Clip: CHADEMA walivotolewa bungeni jana/ Serukamba akitukana live

    Si ungekwenda wewe bungeni basi mwenye akili nyingi??? M/Kiti wako mwenyewe anamgwaya. Kumkutanisha na Lissu ni sawa na kumuambia akashike nyeti za Simba.
Back
Top Bottom