Search results

  1. K

    Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

    sioni tatizo
  2. K

    Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

    Kauli za serikal kuwa hawa ni wahuni wachache sijisikii tena! au wameng'amua kuwa siyo wahuni bali ni waumini wa dini fulani?
  3. K

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Hii inaonyesha tu signal ya kwamba meli ya elimu Tanzania inazama!
  4. K

    CHADEMA yazindua Mtwara kweli kweli

    Huku ni kufirisika sera! Nyerere alikuwa sahihi. Watu badala ya kuongelea sera , mwingine anangalia ukabila ktka karne ya 21 kweli???
  5. K

    Nape ngoja nikusaidie,,,,

    Nape na wenzake wanajua yote hayo ILA Upeo wao wa kuyashughulikia na serikali yao ndo umefikia hapo. Kama unategemea mengine utasubiri saana tu. JAMANI yale yanayohitaji rasilimali fedha, serikali haina. Mfumo wa bei kwa mfano kuutatua to some extent unahitaji subsidy kwa...
  6. K

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    It was relevant to that particular time but not now! CCM can continue to use that statement as propaganda to wananchi who are not open minded! The statement doesn't hold water at all at this juncture.
  7. K

    Changia CHADEMA; M4C

    Tutachangia sana tu ila nanyi mzitumie vizuri hasa kusimika viongozi wazuri vijijini. CDM oyee!!
  8. K

    Nape, toa tamko kama mara ya kwanza kuhusu kada wa chama kuhusishwa na mauaji ya Arumeru

    Anaweza kukana hadharani lakini NAPE na NCHEMBA wanajua nini kilicho nyuma ya pazia kwa kuandaa vijana wahuni kushambulia wapinzani wao hasa CDM.
  9. K

    Mzee Musobi Mageni hatunaye tena

    R.I.P mzee Musobi Mageni! Lakini mapambano bado yanaendelea!
  10. K

    Waunguja wawabagua Wapemba

    Dhambi ya ubaguzi haimuachi mtu! Endeleeni tuone mwisho wake!
  11. K

    KIGWANGALAH @ WORK; Maandamano! Maandamano! Maandamano!

    Si walisema maandamano siyo sera ya chama chao? Lakini kumbe wanajua inalipa kutumia nguvu ya Umma? Anyway si vibaya kukopi vitu vizuri kutoka kwa wengine! Angalia wasije kukudharirisha kama wakati ule!
  12. K

    Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

    Jamani huu ndio mpango wa CCM kwa sasa! Wanakodi wahuni kuwapiga wanaowapinga kwa hoja ili kuzuia wimbi la mabadiliko, Makamanda muwe macho saana. Nasema hivi kwa sababu ninawajua vizuri.
  13. K

    CCM sasa vurugu tupu, Mukama akiri ni kama NATO na G8

    Ni wakati muafaka saana kwa CHADEMA kujijengwa wakti huu, CCM ikiwa imesambaratika kifikra, kwani hawapo pamoja. Ktk strategic magt, unaangalia weakness za mpinzani wako na capiltalize nazo, Hivyo CHADEMA capiltalize ktk CCM kutoelewana na makundi yao, hata ikibidi penyezeeni watu huko kufuel...
  14. K

    M4C ni noma, Wilaya moja tu wanachama zaidi ya buku 3 wamevua GAMBA

    Makamanda kazini, lakini vilevile wahahakikishe wanapata viongozi wazuri wa kuendeleza vuguvugu baada ya wao kuondoka. Maana CCM watapita kufuta mawazo yao. Viongozi ktk sehemu hizo ni muhimu saana na wapatikane watu wazuri, wenye mvuto kwenye jamii husika.
Back
Top Bottom