Search results

  1. KML

    Wadau, nawasilisha kwenu nafasi za kazi

    ukishaona mzigo umebandikwa kwenye mstimu au vituo vya daladala, acha kujiangaisha.
  2. KML

    Natafuta kazi

    PM
  3. KML

    Waziri Mwigulu Nchemba atoa saa 48 kwa Kampuni ya Sparkway LTD kulipa Bilioni 3.4

    sema izi sifa za sasa za viongozi wetu zinasaidia kwa namna moja au nyingine
  4. KML

    Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

    ningekua na uwezo wa kubadili katiba basi wakuu wa mikoa na wilaya wangekua kuanzia miaka 40+
  5. KML

    Nani Zaidi Kati ya Mbunge na Mkuu wa Wilaya?,Nani Mwenye Nguvu Zaidi?,Nani Mwenye Mamlaka ya Kweli?

    mwenyekiti wa serikali za mitaa manispaa jiji mkuu wa wilaya mkuu wa mkoa diwani mbunge Kuna umuhim wa ivi vyombo vyote katika eneo moja?
  6. KML

    Ajira kwa wataalamu wa cctv camera na security system

    nenda kwenye makampuni makubwa ya security kama ultimate, warrior, kk security n.k uwa wanavitengo ivyo. wao ndo uwa wanafunga security systems kwenye makampuni makubwa. otherwise jiajili ingia mtaani tafuta dili kama izo, zipo mingi tu.
  7. KML

    Harakati za kutafuta kazi: Nimetumiwa ujumbe huu nikajibu hivi, je nimekosea

    duu alafu hawataki ata kuumiza kichwa kuedit izo msg zao, toka mwaka juzi msg ni io io tu
  8. KML

    Ukweli wa heri: Tundu A. M. Lissu hana mfano Bunge lile wala hili

    ukiachana na lisu pia namkumbuka mzee wangu Dr slaa enzi zake katika ubora wake, jamaa ni kichwa sana yule sema sijui figisu figisu gani lilimkamata.
  9. KML

    Msaada

    Easy, Peleka kwa fundi simu kariakoo
  10. KML

    Jinsi ya kuhamisha data kutoka kwenye PC kwenda kwenye smartphone

    Easy, Chomeka simu yako kwenye pc (kwa USB) itakuambia "USB connected" "select to copy files to/from your computer" bonyeza apo itakuja option inakwambia "connect storage to pc" ukiclick apo bas itafunguka kama flash kwenye computer yako. Copy paste madude yako kwa amani. Otherwise sema simu...
  11. KML

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    mkuu chadema haikufanya kampeni ya kutosha ya kuelimisha watu juu ya kumpigia kura mtatiro na kusema kwamba wakipiga kwa chadema kura itakua imeharibika..ilo ni kosa lazma walikubali....hakukua na uo uhamasishaji kabisa
  12. KML

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    nafikili hamuelewi...hii fitna ilipigwa na wenyewe uko, maana dada alishaondoa jina na alipanda jukwaani kumnadi mtatiro kwenye uchaguzi. karatasi zilipokuja wakadai eti alichelewa kutoa jina kwaio wakaprint ivo ivo ili watu wapigie chadema na kura ziharibike.. kuna some kind of bao la mkono...
  13. KML

    Huu ni mwaka wa NEEMA kwa mwakala wa vyama

    sasa nikipiga hatua 200 nikajikuta nimetokea kituo kingine nifanyeje?
  14. KML

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    dada wa mwamunyange na kaka yake wamehojiwa na ITV na wamekiri kwamba jamaa yupo hai na ata jana wameongea nae kwenye simu..ivi kwani jamaa anashindwa ata kutweet hatuhakikishie kwamba yu mzima wa afya.
  15. KML

    Umejiandaaje kupokea ushindi wa mh. Lowassa oct 25/2015

    Japokua jaribuni kujiandaa kwa lolote litakalotokea, ikitokea kashindwa kwa bahat mbaya labda si watu watakufa kwa presha? Japo sina maana kwamba atashindwa.
  16. KML

    Masaada Wana Technolojia wa Jamii Forums.

    ha ha haaaaaaa....aisee humu watu sijui mnawazaga nini
  17. KML

    Angalia mke wa kuoa, fikiria maisha yako ya badae

    Aisee sura muhim kwakwel, tabia tutarekebishana tu taratibu..
  18. KML

    Ni mambo mawili, aidha BAVICHA wamekata tamaa ama wamesusa

    ivi inawezekana shabiki wa yanga akamuombea shabiki wa simba mema? Nauliza tu msinifikilie vibaya..!!!
Back
Top Bottom